viatu

  1. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Michael Jordan: Viatu vya nguli wa NBA vyauzwa kwa rekodi ya $560,000

    Jozi za viatu za nguli wa mchezo wa kikapu Michael Jordan za mwaka 1985 zimeweka rekodi ya kuuzwa kwa kiasi cha dola za Marekani 560,000, kwenye mnada wa mtandaoni. Jozi hiyo ya viatu ya Nike Air Jordan 1s, ilivaliwa na Jordan wakati wa msimu wake wa kwanza akiwa kinda na klabu ya Chicago...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Lwakatale, Silinde na wenzao wameonewa sana na kudhalilishwa sana

    LWAKATALE, SILINDE NA WENZAO WAMEONEWA SANA NA KUDHALILISHWA SANA Sitaki kujadili juu ya uhalalia ua kutokuwa halali kwenda au kutokwenda Bungeni hili lingeitimishwa na sheria na Miongozo ya CHADEMA kama ingefuatwa wakati wa kuhitimisha jambo lenyewe. Mimi nitajikita kwenye sheria na kanuni...
  3. Boutafrica

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata nguo za mtumba kwa Dar?

    Wakubwa anaejua chimbo za kulenga mitumba nguo hasa kadet,viatu nk kwa jumla anisaidie.
  4. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya viatu Magereza yawasili

    AWAMU ya kwanza ya mitambo ya Kampuni ya Kutengeneza Viatu ya Jeshi la Magereza imeshawasili nchini kutoka nchini Italia. Hayo yamebainishwa na Msemaji wa Jeshi la Magereza nchini, Amina Kavirondo alipozungumza na HabariLEO. Kavirondo amesema makontena 15 kati ya 80 ya mitambo hiyo yaliwasili...
  5. toplemon

    JamiiForums Tanzania Hivi viatu vya 3000 huwa vinatoka wapi? Nataka niingie kwenye biashara ya viatu

    Ni alhamis tamu sana kukiwa na hali ya hewa ya mawingu na ubaridi na kimvua hapa dar hakika napendaga hii hali sana. Ok niende kwenye mada unaweza ukapita mahali au kwenye masoko hapa dar unakuta viatu vinauzwa 3000 mpaka 4000 ni viatu vizuri sana mimi siku zote nimekua na ndoto ya kufanya...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Chuo Kikuu anayejikimu kimaisha kwa kusafisha viatu Ethiopia

    Chekole Menberu, mwenye umri wa miaka 27,alikuwa na matumaini makubwa ya kupata ajira mara baada ya kumaliza shahada yake ya uhandisi wa kemikali(chemical engineering) miaka miwili iliyopita nchini Ethiopia. Ulikuwa ni wakati wa ukombozi, akiangalia miaka aliyoteseka kufikia kiwango hicho cha...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mikoba, viatu na nguo kutoka Uganda naomba msaada wa mawazo

    Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda. Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu Uganda na kuleta Tz naomba aje nahitaji mwongozo. Juu ya namna ya kufika Uganda masoko ikiwezekana...
  8. masai dada

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Habari wana jamvi, Naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba, pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje, mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA...
  9. William mushi

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Sehemu au gulio la mitumba Uganda lipo maeneo gani?

    Hello sehemu au gulio la mitumba Uganda ipo maeneo gan na bei zikoje balo la viatu na nguo first grade
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere kurithi viatu vya mzee Sumaye kanda ya Pwani Chadema?

    Nimepata taarifa ambazi siyo rasmi sana huko kigamboni kwamba kijana machachari na mwandishi wa vitabu vya ujasusi Kamanda Yericko Nyerere atajitosa kulitwaa jimbo la Pwani kama mwenyekiti wake kupitia Chadema. Namtafuta Yericko atuthibitishie hili. Maendeleo hayana vyama!
  11. Boyla

    JamiiForums Tanzania Tusukali online store

    Jipatie Timberland boots original kwa bei ya offer ya Tshs.100,000/= only.Offer hii ni ya mwezi huu tu wa 11. Wahi kuweka order ujipatie Timbs yako Original kabisa..Unaletewa ulipo kwa Dar na mikoani utatumiwa package yako. Huduma hii ni online ..#ulipo tupo..WHATSAPP/CALL 0652015525
Back
Top Bottom