Taarifa zetu za Uchunguzi zinaonyesha kwamba Chuo cha Ufundi cha Taifa (VETA), kwa sasa ndio Taasisi duni kabisa miongoni mwa Taasisi kongwe za serikali ya Tanzania, zipo habari kwamba kwa sasa VETA inaweza kuahirisha mitihani kutokana na kukatika kwa umeme tu, hii ni kwa sababu hawana jenereta...