Veta Hotel and Tourism Training Institute na Ministry of Agriculture Training Instiute Ilonga, Kilosa

JFmember

Member
Nov 4, 2019
10
13
Habari wakuu,

Naomba Kuuliza kwa yeyote anayefahamu au mwenye mawasiliano na vyuo tajwa hapo juu.

Maana kuna mtu nataka ni mfadhili kwenda kusoma moja ya chuo hicho kwenye fani ya Ordinary Diploma in Culinary Arts (food Production) au Ordinary Diploma in Food Technology and Human Nutrition.

Hivyo nahitaji kujua namna ya kutuma maombi, muda wa masomo kuanza na gharama zake.

Pia ikiwezekana na ushauri kipi chuo kizuri na kozi nzuri, yeye mwenyewe anapendelea masuala ya chakula, yaan kupika pika na ndo amechagua kuwa fani yake.

Naombeni msaada wenu wakuu.
 
Upumbavu ni kushindwa kutumia akili yako vizuri. Unampigia mtu simu saa nane usiku halafu unamuuliza umelala?

Nenda Google
 
Mkuu ahsante, ila nimeenda huko, nimeenda website ya nacte na ya veta lakin sijafanikiwa kupata nilichokihitaji, kama unaweza nisaidie hata link niifuate
 
Ahsanteni wakuu, cha Ilonga kilosa nishafanikiwa, bado hicho cha Veta Arusha
 
Back
Top Bottom