veta

Veta (transl. Hunt) is a 1986 Indian Telugu-language period action film starring Chiranjeevi, Jaya Prada and Sumalatha in the lead roles. The film was made by Samyuktha Movies, whose earlier blockbuster was Khaidi. The movie is based on Alexandre Dumas' 1844 novel The Count of Monte Cristo. The successful team of director A. Kodandarami Reddy, composer K. Chakravarthy and writers Paruchuri brothers was repeated in this movie as well. The movie was dubbed into Hindi as Farrar Qaidi.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Suala la VETA limemshushia hadhi Waziri Mkuu Majaliwa

    Tulifikiri waziri mkuu huwa ni mtu wa busara sana mpaka watu walianza kumtabilia urais kisa tu kufoka foka enzi za zile za giza kumbe ni hewa tu. Badala ya kusisitza elimy ya juu iwe bora unasisitiza VETA kwa kusema na kukiri kwamba wenye degree, masters au PhD eti wamepoteza muda. Hakika...
  2. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  3. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Wasomi mna options mbili tu kwasasa, kwenda VETA au kufanya career development

    CAREER SPECIALIZATION, PROFESSIONAL GROWTH, AND MARKET VALUE The world has changed significantly, and no one will value your education (profession) alone. Employers today do not hire based solely on academic qualifications, although they still look for some connection to professional...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania VETA ianze kutoa mafunzo ya vitendo KWA watoto wa chekechea na darasa la kwanza wakati wa Likizo

    Nimeona chekechea za china watoto wanafundishwa kupika, kushona ,ujenzi, ujasiliamali, ufundi na mambo MENGI ya maana. Lengo lao ni kuwaandaa watoto hata kama watafika darasa la SABA wae na uwezo wa kujiajiri na kujitafutia vipato. Badala ya kumvizia amalize Chuo akiwa na stress nyingi za...
  5. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Nina imani na ubora wa Elimu itolewayo na vyuo vikuu nchini. Viongozi wetu wanapotoka. Chuo Kikuu na VETA, wapi na wapi?

    Mwl. Nyerere aliweka dira pevu kwa kutenganisha majukumu ya viongozi watunga sera na watekeleza sera. Leo hii, watekeleza sera ndio viongozi na watunga sera ndo watekelezaji!!!. Unamchukua form four failure unampa uongozi wa Mkoa, aongoze wenye Div one nk kufikia malengo ya Dira ya Maendeleo...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wanawake 3000 Dodoma kunufaika na kozi mbalimbali kutoka VETA, wewe unasubiri nini?

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewahimiza wakina mama wa kikundi cha wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanajifunza kwa makini na kuwa tayari kupokea mafunzo watakayopatiwa na Mamlaka ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA) kwani yatawasaida kwenda kuajiliwa na kuwa...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania ULIYEMFICHIA MAJIBU NECTA NDIE MWAL WAKO VETA UTAIPENDA

    Utajua ujuiii Xyz Utaipenda
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kati ya mhitimu wa VETA na mhitimu ya kitivo cha Uhandisi utamwajiri yupi?

    Naenda maonyesho ya sabasaba kila mwaka, huwa napitia mabanda ya VETA, SIDO na Kitivo cha UHANDISI UDSM kote nakutana TU na mashine za kufyatua matofali zenye ingini kutoka China, ninashindwa kutofautisha viwango vya ujuzi kati ya taasisi hizi tatu. Je, ni mhitimu yupi Bora kati ya wanafunzi wa...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Kuhusu Wasomi Kusoma VETA!, Kila Msomi Anayeendesha Gari, Udereva ni Ujuzi wa VETA, Hivyo Hakuna Ajabu Wasomi Kusoma VETA!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu katika gazeti la Nipashe la leo. Paskali
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania “The Year 2000” .Kitabu kilichotoka mwaka 1967.

    Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni. Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
  11. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Kwa nini veta ina umuhimu mkubwa Kwa vijana wa kizazi cha miaka ya 2000s

    VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi) ina umuhimu mkubwa kwa vijana wa kizazi cha 2000 kutokana na sababu zifuatazo: * Ajira na Ujasiriamali: * Kizazi cha 2000 kinakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. VETA inatoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanawawezesha vijana...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya sera mpya ya elimu na wahitimu wa vyuo vikuu kwenda VETA ni kichaka cha serikali kujifichia au kukwepa majukumu.

    Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake. Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
  13. bosy

    JamiiForums Tanzania VETA na suluhisho la ajira kwa Walimu

    Habarini wanajamii, Leo napenda kuwashirikisha jambo moja kuhusiana na umuhimu kwa WAHITIMU wa elimu ya juu kurudi nyuma na kutafakari kauli ya Mh. Waziri mkuu Kassim Majaliwa (Mb) aliyoitoa hivi karibuni inayotoa pendekezo kwa wahitimu wa elimu ya juu kuangalia uwezekano wa kwenda VETA...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kumrudia EX wako wa tukupeleke VETA. Utachagua nini??

    Kumrudia EX wako wa tukupeleke VETA. Utachagua nini??
  15. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Vijana chaguo ni moj; Kilimo au VETA

    Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA, Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo NDIO Maisha., Wale wenzangu na mimi nyumbani pakavu utaamua wewe usubiri ajira kwenda tandahimba...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania VETA ni Upotevu wa Muda na Fedha – Ukweli Mchungu

    VETA ni Upotevu wa Muda na Fedha – Ukweli Mchungu Watu wengi wanapohangaika kutafuta elimu bora ya ufundi, huambiwa VETA ni suluhisho. Wanawadanganya! Ukishapita huko, utagundua kuwa umepoteza muda, pesa, na nguvu zako bure. Huu ni ukweli mchungu ambao wachache wanathubutu kusema hadharani. 1...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa BA Sociology, Political Science & Archaeology waitwa VETA kujifunza Mapishi kwa ajili ya AFCON 2027

    Wito umetolewa kwa wahitimu haswa kozi za BA Sociology, Archaeology & Political Science wakimbilieVETA kujifunza mapishi kwa ajili ya wageni wa AFCON 2027. GHARAMA zote zitalipwa na Madiwani
  18. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Masabo: suala la wahitimu kuambiwa kwenda kusoma mafunzo ya ufundi stadi (Veta), ni kama zima moto ya kutatua changamoto ya ajira iliyopo sasa

    Mhadhiri wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Dk Conrad Masabo amesema suala la wahitimu kuambiwa kwenda kusoma mafunzo ya ufundi stadi (Veta), ni kama zima moto ya kutatua changamoto ya ajira iliyopo sasa. “Tujiulize nchi gani duniani imetatua changamoto ya ajira kwa watu...
  19. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo Cha veta kinacho fundisha Architecture Au Mechanical

    Mimi ni degree holder, ila nimekuwa motivated kwenda veta ,kusoma hizo kozi tajwa hapo juu Nataka chuo kilichopo Dar es salaam. Sina background ya hayo mambo, Mimi ni muhasibu
  20. mapema

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wanaotarajia kwenda VETA

    Naomba kutoa tahadhari kwa wanaotarajia kwenda VETA wawe makini na aina ya fani watakazo chagua. Miaka ile tunamaliza elimu ya msingi wakati huo kukiwa na uchache wa madarasa ya kidato cha kwanza huko mikoa ya pembeni na uduni wavipato kwa wazazi wetu chaguo pekee lilikuwa ni Veta. Nafasi...
Back
Top Bottom