veta

Veta (transl. Hunt) is a 1986 Indian Telugu-language period action film starring Chiranjeevi, Jaya Prada and Sumalatha in the lead roles. The film was made by Samyuktha Movies, whose earlier blockbuster was Khaidi. The movie is based on Alexandre Dumas' 1844 novel The Count of Monte Cristo. The successful team of director A. Kodandarami Reddy, composer K. Chakravarthy and writers Paruchuri brothers was repeated in this movie as well. The movie was dubbed into Hindi as Farrar Qaidi.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Badala ya vijana kwenda JKT kwa mujibu wa sheria wapelekwe VETA kwa ufadhili wa serikali

    Kwa sababu ya tatizo kubwa la ajira the vijana wanaomaliza vyuo hoja ya waziri mkuu Majaliwa inahitaji mjadala wa kina zaidi badala kupuuzwa kwa sababu ya kutoeleweka kwake na hasira ya waliomaliza vyuo vikuu wasiokuwa na ajira. Ukweli ni kwamba muundo wa uchumi wetu unatoa fursa chache sana...
  2. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Wazazi tumesahau kuwaandalia watoto vitu vya kimaisha. Tunakomalia elimu ya gharama huku ajira ya kumpa mwanao huna,,Watoto wataenda sana VETA

    Kama wewe ni mzazi una maisha ya kawaida ya kipato chini ya milioni mbili kwa mwezi please please Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu ukisikia maneno aende VETA Wazazi wengi wana site hazijakamilika miaka 10 hadi 15 nyumba haijapauliwa...
  3. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Waziri Majaliwa haina mgogoro, amekosea tu kuwataja degree holders, VETA ishauriwe kwa vijana wote chini ya miaka 26

    Kwasababu huyu wajina wangu Majaliwa katupatia hoja mezani, lazima tuijadili, kwa akili za wazi kabisa Nchi yetu sasa ina watu kama milioni 70 ambao asilimia 50 (Milioni 35) wana umri chini ya miaka 24, na Milioni 8 kati ya hao ni vijana wa miaka 15 mpaka 24. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu kamaliza shahada ya udaktari 2023 hadi leo hajaajiriwa, jumatatu nampeleka Veta akajifunze udereva wa malori

    Nimemsomesha kwa shida, shule za gharama, najuta, najuta najuta, Bora angeishia darasa la saba B tu aingie mtaani ajifunze hata ufundi makenika chini ya mwembe. Jumatatu nimeamia nimpeleke Veta Chang'ombe akajifunze kuendesha malori. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, hata wakisoma VETA Baada ya kuhitimu wanahitaji aidha mtaji au waajiriwe

    Salamu ndugu Watanzania! Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena. Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya...
  6. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Kusoma VETA hakutakusaidia lolote kwenye nchi hii, tatizo ni mifumo wezeshi mibovu. Angalia madereva wa mabasi yanayowakuta kwa ground.

    Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana. Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa. Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ya Kassim Majaliwa, Veta na Making Kayumba Schools Great Again

    Likud: Enyi wazazi masikini wa kitanzania. Wacheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems watoeni watoto wenu huko muwarejeshe Kayumba kwa sababu huko Ems wanatumia mtaala wa Necta pia ambao una muandaa muhitimu Kuwa muajiriwa. Warejesheni Kayumba muwasimamie kwa ukaribu then hiyo...
  8. Harmful

    JamiiForums Tanzania Karibu VETA

    Bado unalalamika???au ushakubaliana na mpango wa kuja VETA We njoo VETA ila jua kuwa 1.tunawahi namba,ukichelewa Kuna adhabu Kali sana sio poa 2.Hatutongozani,mambo ya maboyfriend na magirlfriend mnaacha getini ukiingia ndani NO LOVE ni kusoma tu 3.fimbo zipo wanangu,halafu walimu wengi wa...
  9. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Serikali iwape mikopo wahitimu wa vyuo vikuu wakaongeze ujuzi veta na mitaji ya kujiajiri

    Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
  10. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Vijana waliomaliza VETA na hawana kazi serikali inawasaidiaje

    Tanzania mpaka sahivi asilimia 80 ni informal sector mean mpaka sahivi tunawatu wengi waliojiajiri lakin tatizo la ajira bado ni kubwa ukweli ni kwamba wengi waliojiajiri wanabangaiza wakipata nafasi ya kuajiriwa wanaacha hizo kazi walizojiajiri Sio kila mtu atajiajiri kujiajiri ni kwa watu...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Golden Jubilee Hall, DSM, Miaka 30 ya VETA, Kongamano la Wadau Sekta Nguo na Mavazi: "Watanzania Vaeni Nguo za Tanzania" Made in Tanzania!.

    Wanabodi https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek https://youtu.be/EEMSp2L7MZk Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza zaidi, na kuvaa...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
  13. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Mzazi akigoma kumpeleka mtoto sekondari mnamchukulia hatua. Huyo mtoto akimaliza degree hamumuajiri. Leo hii mnawaambia warudi kusoma VETA!!!

    Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu. Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya maisha, ama uendelee na shule mpaka utakapokomea. Enzi hizo ilikuwa "utafika mbali endapo una akili"...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Awatunuku Wafungwa Vyeti vya Ujuzi Vinavyotambuliwa na VETA

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti vya ujuzi wafungwa 201 wanaoendelea kutumikia vifungo vyao gerezani, waliohitimu mafunzo ya fani mbalimbali yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Bashungwa...
  15. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa walimu au wahitimu kujiajiri au kwenda Veta kwa sasa?Ungana nami

    UJUMBE KWA WANASIASA WOTE: MSITUDANGANYE KWA KAULI ZENU! Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, viongozi wa serikali wamekuwa wakirudia kauli ya "Wasomi wajiajiri" *"Wenye Degree Waende VETA" kana kwamba tatizo la ajira lipo mikononi mwa wahitimu wenyewe. Lakini swali ni moja tu: Kwa nini...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Adha ya kupata leseni kwa wahitimu wa VETA

    Mimi ni mhitimu wa chuo cha mafunzo na ufundi VETA Dar es salaam, kozi ya udereva wa awali, ila kumekuwa na adha katika suala la kupata leseni nimeenda TRA zaidi ya mara mbili ila nimeambiwa kwamba chuo chetu hakijajisajili katika mfumo mpya wa ukataji leseni. Hivyo naomba niripotie hii kwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CPA Anthony Kasore: Vyuo vya VETA kufika 145 mwaka huu

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata tangu kuanzishwa kwake mwaka 1994, ikiwemo ongezeko la vyuo vya ufundi stadi kutoka 14 hadi 80, kuongezeka kwa vyuo binafsi hadi zaidi ya 770, na kupanuka kwa wigo wa udahili wa wanafunzi kutoka 38,560 hadi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zipi fani zinazotolewa na veta kwa sasa ni nzuri kwa mabinti

    Fani zipi za ufundi nzuri kwa watoto wetu wa kike , Nina mtoto wa mama yangu mdogo kaja kwangu nataka kumpeleka course za ufundi maana ndio naona Kuna ajira nyingi, kumrudisha shule na kufanya arudie mitihani naona haitamsaidia sana au kumpeleka vyuo vya NACTE naona ni wastage of time and...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wafungwa kuanza kupewa ujuzi gerezani na vyeti vinavyotambuliwa na VETA

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili kuwajengea...
Back
Top Bottom