veta

Veta (transl. Hunt) is a 1986 Indian Telugu-language period action film starring Chiranjeevi, Jaya Prada and Sumalatha in the lead roles. The film was made by Samyuktha Movies, whose earlier blockbuster was Khaidi. The movie is based on Alexandre Dumas' 1844 novel The Count of Monte Cristo. The successful team of director A. Kodandarami Reddy, composer K. Chakravarthy and writers Paruchuri brothers was repeated in this movie as well. The movie was dubbed into Hindi as Farrar Qaidi.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Kuhusu Wasomi Kusoma VETA!, Kila Msomi Anayeendesha Gari, Udereva ni Ujuzi wa VETA, Hivyo Hakuna Ajabu Wasomi Kusoma VETA!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu katika gazeti la Nipashe la leo. Paskali
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania “The Year 2000” .Kitabu kilichotoka mwaka 1967.

    Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni. Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
  3. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Kwa nini veta ina umuhimu mkubwa Kwa vijana wa kizazi cha miaka ya 2000s

    VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi) ina umuhimu mkubwa kwa vijana wa kizazi cha 2000 kutokana na sababu zifuatazo: * Ajira na Ujasiriamali: * Kizazi cha 2000 kinakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. VETA inatoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanawawezesha vijana...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya sera mpya ya elimu na wahitimu wa vyuo vikuu kwenda VETA ni kichaka cha serikali kujifichia au kukwepa majukumu.

    Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake. Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
  5. bosy

    JamiiForums Tanzania VETA na suluhisho la ajira kwa Walimu

    Habarini wanajamii, Leo napenda kuwashirikisha jambo moja kuhusiana na umuhimu kwa WAHITIMU wa elimu ya juu kurudi nyuma na kutafakari kauli ya Mh. Waziri mkuu Kassim Majaliwa (Mb) aliyoitoa hivi karibuni inayotoa pendekezo kwa wahitimu wa elimu ya juu kuangalia uwezekano wa kwenda VETA...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kumrudia EX wako wa tukupeleke VETA. Utachagua nini??

    Kumrudia EX wako wa tukupeleke VETA. Utachagua nini??
  7. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Vijana chaguo ni moj; Kilimo au VETA

    Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA, Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo NDIO Maisha., Wale wenzangu na mimi nyumbani pakavu utaamua wewe usubiri ajira kwenda tandahimba...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania VETA ni Upotevu wa Muda na Fedha – Ukweli Mchungu

    VETA ni Upotevu wa Muda na Fedha – Ukweli Mchungu Watu wengi wanapohangaika kutafuta elimu bora ya ufundi, huambiwa VETA ni suluhisho. Wanawadanganya! Ukishapita huko, utagundua kuwa umepoteza muda, pesa, na nguvu zako bure. Huu ni ukweli mchungu ambao wachache wanathubutu kusema hadharani. 1...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa BA Sociology, Political Science & Archaeology waitwa VETA kujifunza Mapishi kwa ajili ya AFCON 2027

    Wito umetolewa kwa wahitimu haswa kozi za BA Sociology, Archaeology & Political Science wakimbilieVETA kujifunza mapishi kwa ajili ya wageni wa AFCON 2027. GHARAMA zote zitalipwa na Madiwani
  10. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Masabo: suala la wahitimu kuambiwa kwenda kusoma mafunzo ya ufundi stadi (Veta), ni kama zima moto ya kutatua changamoto ya ajira iliyopo sasa

    Mhadhiri wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Dk Conrad Masabo amesema suala la wahitimu kuambiwa kwenda kusoma mafunzo ya ufundi stadi (Veta), ni kama zima moto ya kutatua changamoto ya ajira iliyopo sasa. “Tujiulize nchi gani duniani imetatua changamoto ya ajira kwa watu...
  11. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo Cha veta kinacho fundisha Architecture Au Mechanical

    Mimi ni degree holder, ila nimekuwa motivated kwenda veta ,kusoma hizo kozi tajwa hapo juu Nataka chuo kilichopo Dar es salaam. Sina background ya hayo mambo, Mimi ni muhasibu
  12. mapema

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wanaotarajia kwenda VETA

    Naomba kutoa tahadhari kwa wanaotarajia kwenda VETA wawe makini na aina ya fani watakazo chagua. Miaka ile tunamaliza elimu ya msingi wakati huo kukiwa na uchache wa madarasa ya kidato cha kwanza huko mikoa ya pembeni na uduni wavipato kwa wazazi wetu chaguo pekee lilikuwa ni Veta. Nafasi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoshabikia VETA hawaujui mfumo wa elimu Tanzania

    Veta ni level 1,2,3. Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma. Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree. Sasa utoke uje chini?
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mshuhudie Mwanamke wa shoka, baada ya kuhitimu Chuo Kikuu, alikosa Ajira, akajiongeza kwa kusoma VETA

    Wanabodi, Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea, Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma! https://youtu.be/hrFHfkk06Wk Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Majaliwa anakosea; serikali inapaswa kuwaanzishia graduates mkakati wa commercial farming kama vile Burkina Faso, sio waende VETA

    Sehemu ya kwanza: Kauli ya Majaliwa kusema graduates waende VETA, sio tu limenisikitisha kwa mtu anaejiita kiongozi kutoa tamko kama hilo, bali kumenifanya nizidi kutambua jambo ambalo siku nyingi nimelijua; Tanzania hatuna viongozi wenye vision. Majaliwa anapendekeza graduates waende VETA...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kelele, kila mwenye degree apply hata kozi 7 VETA. Tutasikia mlio huko huko walipo! Hamtafundishwa kila kitu!

    Vijana tunapiga kelele mishipa inatusimama kuhusu kauli ya Waziri Mkuu kwa waliomaliza degree kwenda VETA. Ni dharau ndio, Anko Maja amezingua? Ndio, pakubwa sana. Sasa tunaingia kwenye propaganda na kurushiana maneno ambayo kimsingi hakuna kitu kitabadilika. Ndio kwanza wanaendelea kujitoa...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mimi kama muhitimu wa degree badala ya kwenda VETA nitajiunga na mradi wa BBT je huu mradi wa BBT umefikia wapi ?

    Mimi nahitaji kujiunga na BBT mradi wa kilimo ningependa kujua umefikia wapi. Maana VETA sitoweza Naomba ufafanuzi Ahsante.
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania, wanasisasa sasa wanabuni Upya Elimu ya Ufundi ( VETA) kwa watoto wa Maskini

    Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania: mtaala ambao umekuwa mbovu kwa miaka mingi. Tatizo kuu linatokana na kushindwa...
  19. Fateema

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wenye degree kwenda VETA, Likud apewe unabii

    Kila siku mkuu LIKUD amekuwa akiimba humu jukwaani akishauri watanzania wenye vipato vya kuunga unga wasi jistress kulipa hela nyingi kwenye shule za Ems zinazo fuata mtaala wa Necta na badala yake wawarejeshe Kayumba kwa sababu mtaala wa Necta unamuandaa mhitimu kuwa muajiriwa. Hela wanayo...
  20. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Natafuta VETA inayofundisha Ubunge

    Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata kuhesabu ni shida. Nimeona ni sehemu nzuri ya kwenda. Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya...
Back
Top Bottom