uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa operation mwenye uzoefu wa kazi za usafirishaji

    Habari tena wadau. Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye uzoefu katika usafirishaji.
  2. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Uzoefu Wangu na Mafunzo Niliyojifunza Kutoka Israeli

    Nikiwa mwanafunzi wa shahada ya juu katika chuo flani cha kilimo hapa nchini, nilipata nafasi ya pekee ya kuhudhuria kozi fupi (short course) usawa wa siku 14 ivi nchini Israeli. Katika safari hii, niliona kwa macho yangu jinsi wenzetu wanavyoendesha mambo, na nilijifunza masomo muhimu...
  3. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Je, uzoefu siyo tatizo kwa wayahudi huko vitani? Angalia umri wa huyu kamanda aliyeuawa huko Lebanon.

    Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu! Israeli commander killed in Lebanon, Israel says The Israeli military says an army squad commander has been killed in Lebanon. It's the first combat...
  4. haszu

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average. Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

    Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu. Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya...
  6. chibuOG

    JamiiForums Tanzania Kwa Milioni 15 naweza kujenga nyumba ikakamilika na nikahamia?

    Nina milioni 15 CASH na kiwanja kipo kigamboni nataka kujenga naomba kujua kwa pesa hiyo naweza kukamilisha nyumba nikahamia kabisa?
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Uzoefu ni jambo muhimu katika Maisha, inakuwaje watu mnawakataa single Mamaz kwenye mahusiano ya ndoa?

    Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika taasisi yako uliyotoka? Lakini mambo yamekuwa tofauti katika mahusiano hivi kwanini wanaume tunawakataa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  9. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROAD Morogoro, Zebra ya Msamvu imefutika madereva wanatumia uzoefu kusimama Ili watu wavuke na mamlaka zimekaa kimya mpaka watu wagongwe?

    Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na Dar, kati ya biashara ya daladala na gari za kukodisha (special hire), ipi inafaa kwa anayeanza na kwa nini?

    Pia kipi bora kati kununua gari/Coaster mpya au used?
  11. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwenye Uelewa au Uzoefu na Namna UFANDAO Inavyofanya Kazi?

    Habari wana JF Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali endapo watashawishika na wazo lako. Kuna mwenye uelewa na namna inavyo-operate anipe hints...
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu ulichukua hatua gani na nini ulijifunza ulivyoyumba kiuchumi kurudi kwenye ubora wako

    Kuna kipindi niliwahi kuwa na biashara nzuri na wafanyakazi pamoja na usafiri wa kutembelea ulionipa heshima kila niendapo, ikatokea biashara ikayumba mambo yangu yakaharibika ikapelekea kuangukia kwenye madeni mpaka kuuza gari langu aisee heshima yangu ilishuka mpaka sakafuni kuna...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu naombeni ushauri, kuhusu baba kaoa kule na mama kaolewa huko

    Wakuu Habari za weekend. Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake. Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi yake. Sasa anajiuliza kuhusu situation itakuwaje kuhusu mama yake kuudhulia kwenye shughuli kama...
  14. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Yanga ni timu iliyoimarika sana kimbinu na kiufundi, michuano mikubwa na uzoefu vimewasaidia sana

    Kuna baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanasema Jana yanga kacheza kawaida sana lakini awajui gamond alikuwa na mbinu Gani kwenye Ile mchezo, zifuatazo ni mbinu za gamond na sababu ya kucheza kwa akili kubwa; 1) Gamond aliitaji kumsoma mpinzani wake kwakuwa alikuwa ajawaona Simba na wachezaji...
  15. Trayvess Daniel

    JamiiForums Tanzania Msaada uzoefu wa watumiaji wa unlimited Internet ya Airtel Mwanza mjini

    Kama kichwa kinavyojieleza, nimekua mtumiaji wa voda unlimited kifurushi cha 115K miaka miwili sasa, lakini huu mwaka kimekua na usumbufu wa hali ya juu as if ni msaada..... Nataka nihame chimbo, option pekee ni airtel, TTCL wameniwekea mkwamo, tigo nilipo ni mtihani mkubwa...... Kama unatumia...
  16. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata funded scholarship mtupe uzoefu

    Nipo katika mchakato wa kutuma maombi funded scholarship za ujerumani DAAD masters in international health. Hivi mwajiri anaweza kutoa cheti cha utumishi wakati bado unafanya kazi na vilevile Recommendations Letter hasa kwa private?
  17. Tanki

    JamiiForums Tanzania Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam. Umri = 31 Elimu = Form four Uraia = Mtanzania Uzoefu = Miaka minne Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ni maeneo gani ambayo hayana uswahili mwingi wizi mwingi sehemu tulivu kwako wewe na Mali zako Kwa dar

    Habari Wana great thinker Katika harakati za kuwaza nitafanya biashara gani na nikae wapi nimekaa nimefikilia nikaona dar es salaam utakuwa mkoa Bora kwangu Kwa kuanza maisha. Umri miaka 25 jinsia kiume. Sina UZOEFU wowote na mkoa huo ila naamini kutobolea hapo sababu zilizonifanya kuwaza...
  19. BENEDICT BONIFACE

    JamiiForums Tanzania Tofauti za umri katika mahusiano ya kimapenzi: Nadharia na uzoefu wa maisha halisi

    Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu, hivi ni shughuli gani mtu ambae umeajiriwa unaweza ifanya kwa urahisi ukajiongezea kipato?

    Habari wakuu , watumishi tulioajiriwa huwa tunatamani sana kujishughulisha ili mradi kipato kiongezeke lakini kwa ujumla huwa tunaface Changamoto zifuatazo zinazopelekea kushindwa :- 1. Tuna muda mchache wa kusimamia 2. Watu wengi sio waaminifu tunao waweka kwenye shughuli hizo 3. Tunaogopa...
Back
Top Bottom