uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu, hivi ni shughuli gani mtu ambae umeajiriwa unaweza ifanya kwa urahisi ukajiongezea kipato?

    Habari wakuu , watumishi tulioajiriwa huwa tunatamani sana kujishughulisha ili mradi kipato kiongezeke lakini kwa ujumla huwa tunaface Changamoto zifuatazo zinazopelekea kushindwa :- 1. Tuna muda mchache wa kusimamia 2. Watu wengi sio waaminifu tunao waweka kwenye shughuli hizo 3. Tunaogopa...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya kubandika sticker kwenye pikipiki na magari

    Habari nina ofisi jilani na gereji ya pikipiki nimewaza kuwa nifungue ofisi ya kibandika sticker. Mwenye uzoefu naomba uje unipe moja mbili tatu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Umewahi kula/kuliwa mtu wa rafiki yako wa karibu sana, tupe uzoefu

    Ni kisa cha kweli alinisimulia mtu mmoja tulikutana kwenye basi natoka Dar kwenda Moro. Akasema kaka yake alikuwa na rafiki waliyependana sana lakini kwa bahati mbaya kumbe yule rafiki alikuwa akila mke wake. Siku ya siku ikafika yule bwana akawafumania baada ya lile fumanizi maisha ya yule...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufumaniwa basi tupe uzoefu wako.

    Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

    Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu. Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
  6. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Mwanandoa au wapenzi tupeni uzoefu ulinusuru vipi ndoa au muhusiano yako

    𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗲𝗻𝘂 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘂... Poleni na majukumu. Bila kupoteza muda 1kwa1 kwenye mada kama kichwa kinavyosema, Ni changamoto gani uliipitia katika ndoa/muhusiano yako ambayo ilitaka kuvunja ndoa/mahusiano yako kisha ukainusuru kwa kuitatua na mambo yakawa saaafi kama mwanzo.
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda Mtwara mwezi wa sita nipeni uzoefu. Vibe lake mtaani huwa linakuwaje kuwaje?

    Nilienda Mtwara around January nikakaa kama wiki moja hivi. Nimenogewa nataka likizo yangu ya mwezi wa sita niitumie Mtwara. Mliowahi kuwa Mtwara ndani ya likizo ya mwezi wa sita nipeni uzoefu tafadhali. Vibe lake huwa linakuwaje kuwaje mtaani? Jinsia pendwa wa Mtwara chukueni maua yenu. Yani...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeomba kazi Polisi pamoja na Kampuni binafsi. Kwa wenye uzoefu, ni wapi niende?

    Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
  10. africatuni

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua Kiwanda cha Peanut Butter, naombeni uzoefu!

    Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well. Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha peanut butter, Kama vile upatikanaji wa Mashine bora na bei zake. Changamoto?? Masoko?? n.k Nipo...
  11. The bump

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Binti mwenye uzoefu na kazi ya UWAKALA wa pesa mitandao yasimu na benki

    Eneo : Dar/kimara Muda Wa kazi : 1 asbuh - 4 usku Mahitaji Wadhamin wawili (2) waliojenga wanao ishi kwao. Mshahara : 200,000 Mawasiliano : PM
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

    Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF -CHF -Aetna -NSSF Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wa Nchi watakiwa kutumia taaluma, uzoefu kuharakisha mabadiliko ya kimfumo

    Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
  14. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Wenye exposure na uzoefu wa nchi yetu mje mnipe msaada hapa

    Nina kadogo kangu ka kike ambako hakajachaguliwa kwenda advance Nimejaribu kukachaulia kozi zitakazokafaa kama nilivoonesha hapo chini Je kwenye hizo kozi ipi ni useless niitoe?
  15. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu wa simu za Tecno

    Habari wanaJF, Naomba msaada kijana wangu nimemtafutia simu aina ya Tecno pop 7 shida ipo kwenye sms anapotaka kutuma ujumbe Inacomand atume Kwa lakini Moja tu na haimpi choice ya line either 1 or 2 na amecheza setup bado shida na inaonesha sms za line Moja tu. Sms za line nyiingine...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Kuuza Movie/Series Kwa Kijana Mwenye Uzoefu nayo

    Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani. Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo. Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa. Kazi ni Kuingiza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye utaalam na Uzoefu na gari aina ya Honda Vezel

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu ningependa mtu mwenye uzoefu na Hilo gari kushea na sisi humu ndani
  18. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma. Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo. Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
  19. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anapenda kulala Sakafuni. Je, ni tatizo?

    Hbar wadau, Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata uzoefu wa kazi ama internship nikiwa fresh gradute wa bsc Environmental sciences and management

    Habari za muda huu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA. Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu. Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
Back
Top Bottom