Karibu elimu, tiba na uzoefu wa kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvuka changamoto za ndoa, mahusiano na mapenzi

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Hello hello Family! Wasalaam?

Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi.

Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni muhimu sana kwa ajili ya vizazi vyote katka jamii karibuni sana share kawaida, katika muktadha wa maandiko, makuzi, malezi, wosia na etc etc.

Karibu katika kujenga jamii yenye kujenga kinga za ustawi wa jamii na wanajamii.

Naomba kuwasilisha

"Wadiz" nimekuja na mindset ya societal welfare.
 
Fafanuka zaidi unapenda tuchangie nini kwenye hii mada. Maana kuna mengi umegusia hapa.
Iko bayana mkuu unachangia kwa mapana tu au specific maana ni kutoa elimu au visa mafunzo ili kukuza kizazi cha sasa na baadae kwa ustawi wa jamii
 
Kuna demu hapa mtaani katolewa mahari lakini naona na Kwa Sasa ametiwa mimba na mwanaume mwingine,🤣🤣 nawaza jamaa aliyetoa mahari sijui Yuko kwenye Hali gani
 
Kwa Wanaume,

-Kama hujajipanga kimaisha kiuchumi na kiakili kuweza (kuhudumia, kulinda, kuongoza), basi USIOE.

-Epuka kadri unavyoweza kujibishana na Mwanamke wako. Usiingie kwenye drama zake, Respect yourself.

-Mwanamke aliyekuzidi Umri achana nae, wala usiwe na mahusiano nae. Unastahili kilicho bora.

-Kuwa na Msimamo kwenye mahusiano yako kama kiongozi wa familia, amua na simamia ulichoamua.

-Mgogoro wowote utakaohitaji ushauri wa ndugu, basi hakikisha umeshauriwa na (Baba yako, Baba mkwe, wajomba au ndugu wengine wa kiume.

-Mke aliyechepuka usimsamehe. Narudia tena USIMSAMEHE.

Be a Man, Focus on your Goals.
 
Safi for the fully fledged package of constructive advice 🙏🙏🙏
 
Nimeipenda sana hii mkuu. Binafsi kisasi naona kama therapy. Smart revenge

Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app

Ukishindwa kusamehe lipa kisasi
 
Back
Top Bottom