uzi maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji "reforms"

    Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji 'reforms'" Kaa siti ya mbele, nikusimulie vituko na mikasa ya kweli iliyosababishwa na wanywa bia/pombe, halafu ujibu swali langu: "vituko na mikasa hii ndio faida za bia/pombe?" SEHEMU YA KWANZA(I) Visa na vituko vifuatavyo ni...
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

    Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Madini, gesi na mafuta 2025 - 2050

    🛢️⛏️ UZI MAALUMU: MADINI, GESI NA MAFUTA ⛏️🛢️ Karibu kwenye uzi huu maalumu ambao utakuwa mahususi kwa mambo yote yanayohusu madini, gesi, na mafuta. Hapa tutaangazia: ✅ Fursa zilizopo kwenye sekta hizi ✅ Changamoto zinazokumba wawekezaji na wananchi ✅ Taarifa na sheria muhimu kuhusu umiliki...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge. Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo. Juni 2025 Mchungaji...
  5. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  6. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kurushia unayefana naye

    Yaani huu uzi unarusha picha ya unaejua anafanana na wewe (pacha). Kwa mfano naanza na mimi. Huyu ndie pacha wangu Karibuni😔
  7. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

    Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya; 1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au, 2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au, 3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD). Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  9. Area 56

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi Maalum wa Celebrities wanaotangaza nia ya kuwania ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini. Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini. Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
  10. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa kutafsiri picha za Masoud Kipanya

    Karibuni tushee maana zilizo nyuma ya picha za bwana MASOUD KIPANYA. Hasa zile zenye mrengo wa kisiasa
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu wakizeeka huwagombanisha ndugu wa ukoo mzima

    Je, kwenye familia au ukoo wenu ulikutana na huu mkasa? Wapo watu ambao wakizeeka hasa kuanzia umri wa miaka 70 na kuendelea, wanandugu mtapitia kipindi kigumu sana ambacho kama nyinyi hamtomuelewa mtaishia kugombana nyote, na hamtoelewana abadan. Anaweza kuwa baba, mama, bibi, babu, dada...
  12. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Funny On Point: Uzi maalum wa stand-up comedy clips kutoka kwa Stephen Chelu

    Siku za hivi karibuni nilitembelea stand up comedy events kadhaa na taratibu nikaanza kuvutiwa kuingia huko na nikaanza kujaribu kufanya. Hivyo basi kupitia uzi huu nitakuwa nashiriki nanyi baadhi ya clips zangu kwenye perfomances kadhaa kwa ajili ya kuburudika, kukosoa na kushauri. Mods...
  13. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watu wasiofunga kipindi cha mfungo

    Salaaam... Tupo katika kipindi ambacho Waislamu na Wakristo kwa pamoja tupo katika mfungo. Hata hivyo ndani ya kipindi hiki, si wote tutafunga/ tunafunga na hii ni kutokana na sababu mbalimbali aidha kiafya na nyinginezo ambazo hazitaruhusu uwe katika mfungo. Uzi huu ni maalumu kwa wale...
  14. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Habari wakuu Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby. Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free. Hobbies nazopenda Kusikiliza muziki hasa wa Pop, Reggae, Country, R&B, Trap na Jazz. Kuchora(sketching/drawing) nitaleta picha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kuhusu kodi/tozo/ushuru nchini Tanzania zifaazo na zisizo faa

    Habari wananchama na wasio wanachama. Nimeamua kuleta huu uzi kama haupo unaofanana nao tuweze kujadili 1. Kodi/tozo/ushuru kandamizi ziweze kuondolewa 2. Maoni juu ya namna ya kupata vyanzo vipya vya mapato 3. Namna za ukwepaji wa kodi/ushuru/tozo na kuweza kudhibiti. 4. Tukumbushane pia kodi...
  16. ommytk

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

    Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
  17. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa waliokosea kuoa na kuolewa au kuwa kwenye mahusiano

    Ndugu zangu salaam Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano. Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua hapa ulikosea kuoa au kuolewa nae. Pia kwa wale wengine tuambieni ni nini mlikiona kwa wapenzi wenu...
  18. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Tales from another World: Uzi maalum wa kusimulia ndoto tunazoota (Just for fun)

    Ndoto ni kama movies ambazo zinatengenezwa akilini mwetu. Wakati tukiwa tumepumzika usiku, ubongo huwa upo kazini bado, hutuandalia ulimwengu mpya ambao huwa na mambo tofauti na haya tuyaonayo kwenye ulimwengu wetu huu wa kawaida. Mengine ya kufurahisha, kushangaza na hata kuogofya. Hivyo basi...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania uzi maalum kwa wale wenye shida mbalimbali wanaohitaji msaada au ushauri tunduizi

    nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina flani ili kuweza kutatua changamoto hizo. Kwa wale ambao wataguswa na changamoto za mtu yoyote pia...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujipongeza kwa maamuzi kadhaa mazuri uliyowahi kufanya maishani.

    Karibu kila mtu anajutia uamuzi fulani aliowahi fanya maishani. Na wengi wana majuto kwenye ishu za ndoa na biashara. Kimsingi majuto ni mengi sana. Sasa mimi nimeamua kuandika huu uzi ili TUJIKUMBUSHE maamuzi kadhaa mazuri tuliyowahi fanya na kutuletea matokeo mazuri. Inaweza saidia kuleta...
Back
Top Bottom