uzi maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

    Ďr. Julie Makani Dr. Lisokotala Dr. Gilbert Sanga Dr. Ally Nah Dr. Angela Mwakimonga Dr. Cyprian Ellas Mayagi Dr. David Isaya Dr. Kache (Magu) Dr. Masangu (Masanza Kona)
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuwakumbuka Walimu waliotufundisha kuanzia chekechea hadi Chuo Kikuu

    Tukiachana na Mpwayungu Village ambaye usiku na mchana yeye ni kuwasakama walimu, tupo sisi wengine tunaoheshimu na kuthamini mchango wao kwenye maisha yetu ya kila siku. Walimu wangu wa chekechekea kuna Teacher Mary, Umoja Primary School. Mama Stambuli, mama mzazi wa Azza, amenifundisha pia...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa machimbo makali ya bei poa kwa ajili ya Honeymooners na wapenzi wanaohitaji faragha

    Privacy ama kujitenga ni jambo jema sana. Wengi hupenda kujitenga mara baada ya kufunga ndoa, hutafuta sehemu ya uficho kwa ajili ya kwenda kutafakari safari yao nzima ya maisha. Watahitaji sehemu nzuri yenye utulivu na kila kitu kizuri. Wengi hatuna taarifa au maarifa ya kuyafikia haya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuomba nyimbo zenye chorus zilizoimbwa na watoto!!

    Wadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi; 1. I'm a thug ya Trick Daddy 2. I can ya Nas 3. Fabulous ya Jaheim 4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina. Tafadhali tupieni nyingine..........
  5. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wenye magari mabovu tu: Tupeane uzoefu na motisha na namna ya kuishi nayo

    Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa! Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo! Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
  6. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya meme za wanafunzi wa sudani

    tupia meme yoyote uliyoiona ili kuhusu wanafunzi wa sudani ili tufurahie maisha, tusahau machungu ya hii nchi.
  7. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Biashara ni mbegu, ili mbegu ikue inahitaji kumwagiliwa, mbolea, palizi, pruning etc. Hivyo hivyo biashara ili ikiwe inahitaji promotion na advertisement. Kila biashara inahitaji watu, watu ambao ni wanunuzi, watu ambao ni wateja, nk. Leo kupitia uzi huu mention biashara yako na mahali ilipo...
  8. system hacker

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Mafundi wazuri wa magari jijini DSM na Mikoani

    Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa. Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari lakini analifanyia trials and errors na mwishowe huharibu gari zaidi. Mafundi ambao hawafahamu kuhusu...
  9. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa madereva bodaboda na wapanda bodaboda

    Habari wakuu Lengo la uzi huu ni kupeana mbinu mbalimbali za --kuendesha boashara hii -changamoto zake -kupeana taarifa za kiusalama -maduka yanayouza pikipiki kwa bei rahisi -upatikanaji wa spare -changamoto za kiufundi -vituko vya barabarani Mbinu wanazotumia wezi kuiba pikipiki Kwa...
  10. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Sekretatieti ya Ajira kwa kuyachukua maoni yetu na kuyafanyia kazi

    Habarini za usiku wadau, Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza PSRS kwa hatua ambazo wamechukua juu ya maoni yetu sisi wasaka tonge. Kwan jion ya leo nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao nikakutana na PDF za kutosha kwa watu walioitwa kwenye usahili. Kwani nimekuta utofauti kidogo. Majina...
  11. Eleminator

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  12. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa tunaoishi mitaa ya changanyikeni uswahilini

    Habari ndugu wajf. Kwa ujumla maisha Yana ladha na mitindo tofautitofauti, hapa kwetu uswahili panaitwa mji mpya Kichangani Manispaa ya Morogoro, Pana maisha ya kipekee Sana ukiachilia mbali mitaa kama Chamwino. Mida kama hi unakuta ndio watu wanawasha majiko kwaajili ya kuchomea kuku broiler...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa Tanzu za fasihi

    Fasihi Simulizi ni fasihi inayotungwa au kubuniwa kichwani na kuwasilishwa kwa hadhira kwa njia ya mdomo na vitendo bila kutumia maandishi. TUKI (2004) Fasihi Simulizi ni kazi ya fasihi inayohifadhiwa na kurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mdomo kama vile; hadithi, ngoma na...
  14. Poker

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuombana msamaha na kusameheana! Members only

    Kama unahisi kunamtu umemkwaza kwa namna yoyote ile au ulimkera kwa njia yoyote basi uzi huu utumie kumuomba msamaha ili maisha yaendelee! Maisha yenyewe ndio haya haya let's forgive, forget and move on! Ukiombwa msamaha na wewe samehe kwani hutopungukiwa na kitu, let peace and harmony be with...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kauli mbalimbali za hekima ya mapenzi

  16. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwaajili ya neno moja lenye maana sawasawa kwenye makabila tofauti

    Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya kushiba Neno kuhangua lipo katika makabila mawili ya wa sukuma na wakurya na lina maana moja ya kuwahi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwaajili ya wachimbaji wa dhahabu

    Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujifariji, kuridhika na kupeana matumaini ya maisha

    Kwa wale wapambanaji na wazee wa kusikilizia michongo; Ebu tupieni faraja na matumaini hapa ili kujipa moyo wa kupunguza maumivu yoyote! Mi nawaambia wadau muachage mazarau! < Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

    Leo tumeamka na siku mpya huku Kigamboni daladala zimegoma ni mwendo wa Bajaj kila kituo buku mpaka buku mbili. Sijui wenzetu huko mlipo hali ikoje.
  20. ommytk

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wastaafu kupeana changamoto mbalimbali na connection

    Wastaafu hebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani, changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
Back
Top Bottom