uzi maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujuzana kwa wale waliotuma maombi ya Appeal katika bodi ya mikopo HESLB

    Wadau habari zenu, Leo nimeona bodi ya mikopo wametoa taarifa lakini ghafla wakaifuta katika mitandao yao ya kijamii, je bado majibu ya appeal hayajatoka rasmi? Naomba tutumie uzi huu kupeana updates kwa kile kilichojiri kuhusiana na maoimbi ya APPEAL.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, ni mtaalam wa Nails, makeup and Hair

    Habari ya jumapili, bila shaka mu wazima. Mimi ni dada mchapakazi, Nina elimu ya masuala ya urembo ,namaanisha nails, makeup and hair. Natamani nifungue biashara lakini imekuwa shida kupata mtaji.kwa sasa nimeona itafute kazi ili niweze kukusanya pesa. Napenda kuchukua Fursa hii kuomba...
  3. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuelezea stress zako na njia unazotumia kukabiliana nazo

    Picha linaanza daktari anakusomea majibu ya vipimo vyako bila kutarajia anakwambia una UKIMWI , ile hali na mshutuko utakaoupata baada ya hapo ndio STRESS zenyewe. Just imagine umesota sana mpaka ukapata kazi mambo yako yapo vizuri, mke wako kajifungua mtoto mzuri wa kike. Bila kutarajia boss...
  4. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa Wanaotamani Nafasi za Uteuzi Serikalini

    Habari za Wakati Huu; Kwanza Kabisa niseme tu kwamba Hii habari/hali ya kusikia na kuona sura na majina yaleyale katika nafasi za UTEUZI nafikiri inachangia PIA katika kudororesha Utendaji Serikalini na kuondoa Uwajibikaji.Kwa kuwa majina ya TEUZI na Tenguzi hupelekwa kimya kimya na kutangazwa...
  5. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

    Sitatumia maandiko ya Dini Quran wala Bible, labda wataelewa kidogo, maana humu JF nimegundua wapo wengi, unaweza ukajikuta una chati hata na shetani directly, anapotosha Tuanzie kwenye Civilization na Level ya akili na kufikiri viumbe mbalimbali wapo kwenye level tofauti za civilization na...
  6. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

    Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha. Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano 👉I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na...
  7. Abou Shaymaa

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum Kwaajili Ya Watu Wa Nahaw Swarfu Na Balagha

    Haya ndugu zanguni kwa wale waliosoma elimu za lugha ya kiarabu kama nahaw swarfu balagha tukutane hapa kwaajili ya kukumbushana baadhi ya mambo katika lugha, Tutumie jukwaa hili kwa manufaa sio tu malumbano.
  8. Rule L

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kushare habari mbalimbali kuhusu ushamba kwenye vitu mbalimbali

    Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo. 1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations. 2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa picha za round about na junction mbalimbali za mikoa

    Tuonyeshe round about za mahali ulipo. Mimi naipenda sana ile ya Msamvu Moro yenye bibi na bwana na ile ya Singida yenye kuku na alizeti nyingine ndo hii ya mjusi wa Tendeguria Lindi panaitwa fisi.
  10. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Habari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja. WATU WA HUKU(WAHAITI) Watu wa huku ni weusi ti Kama sisi huwezi kutofautisha na wasukuma...
  11. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa simamia na kukamilisha miradi ya barabara za Dar au ujiuzulu na kumpisha anayeweza

    Niaje waungwana Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia. Kila alipopelekwa alionesha kupamudu vizuri kiutendaji, na kiusimamiaji lakini sasa huku alipoletwa sasa hivi (wizara ya ujenzi)...
  12. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi(watingaji) kwenye kampuni za kigeni.

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (yappi, chico, cce, crsg au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reri, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.K .Tupeane changamoto,uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  13. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi (watingaji) kwenye kampuni za kigeni

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (YAPPI, CHICO, CCE, CRSG au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reli, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.k. Tupeane changamoto, uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuwashauri CHADEMA katika wakati mgumu wanaoupitia. Wanahitaji faraja

    Hata kama wamemkabidhi akili Mbowe bado hawa jamaa ni ndugu zetu kwahiyo tunapaswa kuwashauri na kuwatia moyo kwenye wakati huu mgumu wanaopitia. Kiukweli kisiasa chama kikuu cha utoaji taarifa kina wakati mgumu... kimekataliwa kila kona hasa baada ya kutoa hoja zao zenye nia ovu kuhusu muswada...
  15. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

    Wakuu mko vyede, Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho. Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani...
  16. bbc

    JamiiForums Tanzania Wanajamiiforums mko wapi?

    Ni vizuri pale unapokosa kuona "uzi" wa mwana/wana JF katoka "ukumbi" huu tuliouzoea, tuulizane mko wapi? Mpo lakini mmetingwa na shughuli au mmetoka kabisa kwenye ukumbi JF? Mfano mzizimkavu, mwifwa, emmyta na wengine wengi mpo?
  17. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  18. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujadili uwezo wa viongozi Tanzania

    Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini: Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake Haelewi...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru CHADEMA kwa matendo yao ya kizalendo

    Nikiwa kama kijana mdogo mwenye umri wa miaka 38 na mwanachama hai wa CCM nimeona nitakuwa sio muungwana nisipochukua nafasi hii kuwashukuru CHADEMA hasa viongozi wao wakuu kwa matendo yao ya kizalendo. Ikumbukwe tangu kuanza kwa awamu hii ya 6, makada wengi wa CHADEMA hasa wale waandamizi...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno. Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa . Kushindwa...
Back
Top Bottom