uwezo

  1. Vitamin B12 pamoja na chanjo vina uwezo mkubwa wa kupambana na Covid

    Wataalamu wetu wanashauri tupate chanjo ya Covid, lakini waliojiongeza na kutumia vitamin B12 pamoja na chanjo waliweza kupambana na maambukizi ya Covid na kupona haraka. Kuna wakati Vitamin B12 hazikupatikana katika mtandao pendwa wa Amazon. Watumiaji waliongezeka kwa wingi kutokana na...
  2. Kesi ya Mbowe: Watanzania hatuhoji uhalali au uwezo wa Mahakama, bali uwezo wa Majaji - Msimamizi uko wapi- Kwanini mnaichosha Mahakama ya Rufaa?

    Vyovyote iwavyo: 1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu. 2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni. 3. Mwalimu wa majaji hawa ni nani haswa ili tujue uwezo wake au labda na yeye ana elimu ya kuunga...
  3. Tutoane ushamba: Kuna haja gani ya kumpeleka mtu form 5 kama uwezo wa kumsomesha chuoni upo?

    Wengi wanapeleka watoto advance kwa kukariri kwamba ndivyo ilivyozoeleka kwamba mtu akiwa na credit 3 basi anaenda form 5, wamekariri kwamba watu wanaoenda chuoni baada ya form 4 ni wale wenye division 4 tu kumbe kuna wenye division 1 zao, wamejiongeza na wapo huko vyuoni wakiwa wameanza kusomea...
  4. Serikali Yaipongeza TotalEnergies Marketing Tanzania Limited Kwa Uwekezaji Mkubwa, Kujenga Uwezo wa Technology Transfer, na Kutoa Ajira Kwa Watanzania

    Serikali imeipongeza Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, kwa kuunga mkono juhudi za Tanzania kujenga Tanzania ya viwanda kwa kujenga viwanda, kutoa ajira, na kuleta teknolojia kwa Watanzania, ambapo kabla ya ujenzi wa kiwanda cha vilainishi, Tanzania ilikuwa ina aagiza lubricants kwasababu...
  5. Amini una akili yenye uwezo mkubwa wa kubuni wazo la kuweza kukusaidia kufanikiwa kimaisha

    Huwa nikikaa na kufikiri ni namna gani binadamu aliweza kubuni ndege, meli kubwa hasa za mizigo, gari na vitu vinginevyo na badae kuja kuwa msaada mkubwa katika dunia yetu ya siku leo hata kurahisisha maisha katika eneo fulani lililokuwa na ugumu kwetu, basi nauona uwezo wa Mungu aliouweka ndani...
  6. Meta imetengeneza Haptic Gloves zenye hisia na uwezo wa kugusa vitu katika ulimwengu wa kidigitali

    Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa, mifumo ya AR/VR na teknolojia ya kutafsiri hisia za mwili na kuunganisha na vifaa vya kiteknolojia...
  7. Video: Hii ndio Crane aina ya XCMG yenye uwezo wa kubeba Tonne 100, imagine ya 26 Tonnes ikoje

    Ya Tani 26 si itakuwa kama bajaji? Ona video mwenyewe Tanzania yote hii hakuna?! ================================= Hadi leo hii Crane haijapatikana tu?!
  8. B

    Machinga: Jeshi kubwa lenye uwezo wa kuamua Mustakabali wetu kisiasa

    Neno Machinga linasimama hapa kwa niaba ya kada yote ya chini, yaani wavuja jasho. Humo kuna Boda boda, wapiga debe, mama lishe, makuli, vibarua, nk, wakiwamo pia machinga wenyewe. Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi? Agenda #1: (Si maneno yangu)...
  9. K

    RC Arusha na timu yake waonesha uwezo mdogo wa kuwaza kuhusu upangaji Machinga

    Wataalamu wa serikali ya awamu ya tano wa Jiji la Arusha wameona wawapange wamachinga kwa mfumo huu 1. Soko la Mbauda litakuwa la nguo za mitumba. 2. Soko la Machame Luxury litakuwa la vyombo na vifaa vya umeme. 3. Soko la Ulezi litakuwa maalumu kwa nguo za dukani. 4. Soko la Kilombero...
  10. A

    Moja kati ya mapungufu ya katiba ni wepesi wa kufanya mapinduzi kwa serikali iliopo madarakani: Msajili ana uwezo wa kupindua nchi

    Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta. Hata hivyo vipi katiba yenyewe inaporuhusu kumuondoa raid kutokana na mapungufu ya kisheria..... Hilo ni moja tu kati ya...
  11. D

    SoC01 Fursa zipatikanazo katika Sayansi na Teknolojia kwa wanawake na wasichana.

    Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya jinsia ya kiume pekee. Nyamizi ni binti kutoka katika jamii ya kisukuma, aliishi na kulelewa na...
  12. P

    Makamba na nongwa za bodi ya TANESCO, ni marudio ya awamu nyingine japo yalifanyika kimya kimya

    Uwezo wa watanzania ni kulalamika kwa vitendo, kwa kutumia ushahidi wa video zilizopita. Yaani ilimradi walalamike, waweke hisia zao wazi ndio huwa furaha yao kuu. Tangu JPM alale usingizi wake wa milele, kuna wanaoishi kwa hasira na majonzi yasiyosemeka. Kila ambacho Mama atakifanya kitaonekana...
  13. Je Amoeba zinapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex?

    Habari ya majukumu wanajamvi, Naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex. Jambo hili nimeliona katika platform mbali mbali na coment mbalimbali humu hum Jfm, nilihitaji...
  14. Jinsia haijawahi kuwa kigezo cha uongozi. Kigezo kikuu ni uwezo wa mtu, waacheni wananchi waamue wenyewe

    Nimeona ni vema jambo hili liwekwe wazi ili kuondoa upotoshaji maana tayari kuna wapotoshaji wameanza kazi yao. Uongozi na hasa uongozi wa Juu kama Urais, unaendeshwa kwa utaratibu uliowekwa ndani ya Katiba ya nchi, hauendeshwi kwa kutumia jinsia, kigezo hicho hakuna, Suruali au dela la mtu...
  15. Korea Kaskazini yajaribu kombora jipya la masafa marefu lenye uwezo wa kupiga Japan

    Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora jipya la masafa marefu linaloweza kupiga sehemu kubwa ya Japan, vyombo vya habari vya serikali vimesema Jumatatu. Jaribio lililofanywa mwishoni mwa wiki lilishuhudia makombora yakisafiri hadi umbali wa km1,500 (930 maili),kulingana na KCNA. Jaribio...
  16. CCM imechoka ikachokwa ikachochekana ! Wanachama wenye uwezo wa kuongoza wamebaki wachache mno! Orodha yenyewe hii

    Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii 1. Prof Mussa Assad 2. …………..
  17. J

    Chanjo ya COVID-19 haiondoi uwezo wa kupata watoto

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini Marekani (CDC) imesema kuwa ikiwa unajaribu kupata ujamzito sasa au baadaye, unaweza tu kupata chanjo ya COVID-19 inayopatikana katika eneo lako kwani ushahidi kwamba chanjo ya COVID-19 husababisha shida yoyote kwa mchakato wa kupata ujauzito au...
  18. M

    Pombe imekuwa chanzo kikubwa cha kupunguza uwezo wa kupafomu kitandani

    Pombe ukinywa kwa wingi huwa inafifisha kusambaa kwa kwa damu mwilini matokeo yake huwa inakuwa ngumu kwa dushe kusiamama vizuri. Watu wengi hawatambui hili matokeo yake hudhania kuwa wamerogwa na kujikuta wakihangaika hovyo huku wenzi wao wakitafuta njia mbadala. Pombe sio nzuri kwa afya...
  19. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao Na Mwandishi wetu Mtwara Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
  20. Ugomvi huu nimeshindwa kuamua, wenye uwezo amueni

    Habar zenu ndugu zangu. Ebwana nimefika maskan fulan nikakuta kuna kabishano balaa. Yan jamaa watatu.. Mmoja anatokea Magomen, wa pili anatokea Ilala, na watatu anatokeaKinondoni. Sasa kila mtu anadai kuwa kwao ndio walipotokea/wanapotokea wajanja wa mji, na mafia wakubwa wanaoogopeka huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…