#COVID19 Vitamin B12 pamoja na chanjo vina uwezo mkubwa wa kupambana na Covid

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Wataalamu wetu wanashauri tupate chanjo ya Covid, lakini waliojiongeza na kutumia vitamin B12 pamoja na chanjo waliweza kupambana na maambukizi ya Covid na kupona haraka.

Kuna wakati Vitamin B12 hazikupatikana katika mtandao pendwa wa Amazon. Watumiaji waliongezeka kwa wingi kutokana na matokeo chanya ya dawa hizi.

Nimepokea habari hii na nimeona niwajumuishe tuifahamu wote.
 
Tunashukuru Dr. kwa kutokuwa mchoyo
Sasa wengine hatujui hivyo vitamin vinapatikana kwenye vyakula gani vinavyounda hizo compound tunaomba usichoke kutupa somo zaidi

Ahsante
 
Unaweza kununua supplement kutoka katika maduka ya dawa. Mimi si daktari.
 
Chanjo ya mwendokasi........mwisho wa siku kuanza maisha kama ya watu wabugia arv
 
Wataalamu wetu wanashauri tupate chanjo ya Covid, lakini waliojiongeza na kutumia vitamin B12 pamoja na chanjo waliweza kupambana na maambukizi ya Covid na kupona haraka.

Kuna wakati Vitamin B12 hazikupatikana katika mtandao pendwa wa Amazon. Watumiaji waliongezeka kwa wingi kutokana na matokeo chanya ya dawa hizi.

Nimepokea habari hii na nimeona niwajumuishe tuifahamu wote.

Kwetu tunaaminishana Corona tulishaizowea. Hakutakiwi kuathirika kitu. Mitano tena ni kipaumbele.
 
Back
Top Bottom