uwekezaji

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa uwekezaji unaofanywa na GSM, ni vigumu sana Simba kutoboa

    These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa. Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha. Yanga...
  2. 650

    JamiiForums Tanzania Ardhi sio uwekezaji kwa mtu anayejitafuta

    Habari zenyu wana JF Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi. Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

    1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja? 4. Je ripoti za...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania ITrust Finance yazindua mfuko wa iDollar kwa Uwekezaji kwa Dola ya Marekani,

    Kampuni ya ITrust Finance imezindua rasmi Mfuko wa IDollar, mfuko wa pamoja wa soko la fedha unaotumia sarafu ya Dola ya Marekani (USD) Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 10, 2025 ambapo kampuni hiyo imeeleza kiwa mfuko huo umezinduliwa kwa ajili ya kuwawezesha Watanzania...
  5. Tman900

    JamiiForums Tanzania Wekeza kwenye maisha yako

    Unapofanya jambo lolote, litazame kwa umakini sana, Uwekezaji unaoufanya Je unawekeza kwenye Maisha Yako au kwenye Mipango ya wengine. Maana ukikosea kufanya uwekezaji utajuta Maisha Yako Yote. Au kujutia ulichokifanya. Binadamu anabadilika mda wowote. Na Kuna watu ni Wajanja na waulanghai wa...
  6. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kupitia chama cha Siasa

    Habari Tanzania ! Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha? Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi. Asante.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Rambi Rambi hadi uwekezaji: wakati wa kubadili mtazamo wa Jamii yetu

    Kwa muda mrefu, jamii nyingi barani Afrika, ikiwemo Tanzania, zimejijengea utamaduni wa kuwa na vikundi vya kijamii vinavyolenga kusaidiana wakati wa matatizo kama vile misiba, magonjwa, au harusi. Ni jambo la kupongezwa kuona mshikamano huu wa kijamaa ukiendelea kushamiri, ambapo watu huungana...
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Fursa za Uwekezaji Zinazoibuliwa na Takwimu za Mauzo ya Nje ya Mazao ya Kilimo Tanzania (2023/24)

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia zaidi ya trilioni 2 katika mapato ya kigeni, yakionyesha ukuaji thabiti wa sekta hii na kutoa mwanga...
  9. Beberu

    JamiiForums Tanzania Tengeneza kiinua mgongo chako Usije ukatoa laana kwa wanao

    Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate, Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje kuzeeka pindi ambapo mwili utakuwa hautaki tena kufanya kazi? Kipind ambacho trip za Hospital zitakuwa...
  10. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Vigezo vinne vya kuanza uwekezaji wa Hisa, Bonds & Hatifungani

    Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au vipande ni lazima ujipime kwanza. Je, uko tayari kiakili, kifedha, na kimtazamo? Makala hii...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apewa Tuzo ya Kinara wa uhamasishaji uwekezaji Zanzibar

    Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imemtunuku tunzo ya kuwa mhamasishaji nambari moja wa masuala ya Uwekezaji nchini ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hasaan Mwinyi kwa mchango wake huo, ulichangia kuinua sekta ya Uwekezaji jambo ambalo...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)

    Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo: *Uwekezaji uongezeke kwenye Elimu na Taasisi zake (2-3% ya Pato la Taifa, GDP) *Uwekezaji uongezeke kwenye Utafiti na...
  13. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa — gawio (dividends)

    🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. 📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio ni nini? Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au mbili...
  14. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuanza uwekezaji mapema!

    Miaka miwili iliyopita, nilimshauri rafiki yangu kuwekeza kwa kununua hisa za CRDB zikiwa Tsh 400 kwa kila hisa. Leo, tumekutana tena, na akaniuliza, “Sasa hivi zimefikia shingapi?” Nikamtazama, nikatabasamu kisha nikamwambia, “Tsh 800 kwa hisa, sawa na ongezeko la 100%... na hapo hujaweka...
  15. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa — Gawio (dividends)

    📘 🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. 📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio ni nini? Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye Ubia wa BRT maarufu kama UDART kwa kushirikiana na Emirates utaleta mapinduzi na huduma bora kwa abiria wa Dar Es Salaam. Big Up!

    Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar. Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu. Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
  17. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 3: uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE)

    🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji. 📍 Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama Mashahidi na Nyaraka za Kesi ya Uchochezi tu hawataki Watanzania muvione, Sahauni kuona Mikataba yenu ya Madini ya Uwekezaji wanayoingia kutupiga

    Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi. Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
  19. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 1: Uwekezaji kwa ujumla

    Mada kuu: Kuelewa dhana ya uwekezaji na kwanini ni muhimu kwa maisha yetu ya kifedha. 1️⃣ 🧠 Uwekezaji ni nini? Uwekezaji ni kitendo cha kuweka fedha zako mahali fulani kwa matarajio ya kupata faida baadaye. Hii inaweza kuwa kwa kununua hisa, hatifungani, vipande kwenye mifuko ya pamoja, kununua...
  20. Pule

    JamiiForums Tanzania Unataka kufanya uwekezaji basi wekeza huku

    Kuna baadhi ya sehemu ukiwekeza ni uhakika ila tulio wengi hatujui na hatufahamu kuhusu hili.mfano kuna kitu kinaitwa Samia Infrastructure Bonds ni hati fungani mahsusi inayotolewa na benki ya CRDB kwaajili ya kufadhili miradi muhimu ya miundombinu nchini Tanzania, hasa ujenzi wa barabara chini...
Back
Top Bottom