Hiyo bilioni tuiombe kwenye uwekezaji timu ya taifa

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,136
Reaction score
11,395
Baada ya hicho kibunda kuwekwa kama timu ya taifa itaweza kutwaa kombe la Chan kili nikiitazama hakuna namna tunaweza kushinda hilo kombe . Hivyo hakuna namna hii pesa itapatikana badala yake tuionbe itumike kwenye uwekezaji wa kuboresha timu ya taifa kama kuboresha benji la ufundi kupata mwalimu mwenye CV bora , kusaka vipaji na kuwapeleka kwenye academy n.k then tuje tutafute ubingwa kwenye 2040 huko
 
Nikweli ligi ya tanzania inaimarika lakini ubora wake unabebwa na waalimu wa kigeni, na wachezaji wakigeni.
 
Nataka niwashauri viongozi kwamba kama dhamira ni kuwapa hamasa wachezaji msitoe ahada za jumla jumla....

Toeni ahadi specifically kwa wachezaji...
mkitoa ahadi kwa jina la timu ya Taifa......hizo fedha zitakuwa za federation....na TFF itazi-control fedha hizo accordingly....kwa visingizio kibao.

By the way, TFF inaweza kutumia ahadi ya fedha hizo kama excuse ya kutotumia pesa zake zilizotengwa kutumika kwa ajiri ya bajeti ya Taifa stars.

Kuigharamia timu ya taifa ni wajibu wa TFF..
Serikali ku-re-allocate fedha Kwenye sehemu ambayo fedha zilishatengwa tayari ni kutengeneza mianya ya wahuni kuficha fedha.
 
Wewe unadhani kuna timu ya kutoa ubingwa hapo?🤣 hapo anajua wazi kuqa hela yake haiendi popote
 
Back
Top Bottom