uwekezaji

  1. danhoport

    JamiiForums Tanzania DUNLOP: Sio tairi tu, ni uwekezaji wa usalama kwa chuma chako!

    Watu wengi wanapoulizia tairi, mara nyingi wanawaza bei kwanza. Lakini kama unajua thamani ya gari yako na usalama wa watu uliobeba, huwezi kuacha kuliwaza jina moja tu: DUNLOP. Kwanini mimi nawashauri watu Dunlop? Hizi hapa ni sababu chache za kishkaji: 1. Hawa ndio mabingwa wa historia Ukweli...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na motivation speaker wengi Sasa hivi hasa katika uwekezaji wa hisa, hatifungani

    Wadau tutafakari wote pamoja,kwanin Sasa hivi kumekuwa na wanaojita washauri wa uwekezaji wengi hasa,wanashauri mambo ya hisa,hatifungani Kwani hawashauri watu wawekeze katika uwekezaji wa viwanda na biashara Kuna nini nyuma Hadi uhamasishaji umekua mkubwa Kila mtu nimshauri wekeza kwenye...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali yapitisha mabadiliko ya katiba Simba, uwekezaji sasa njia nyeupe

    Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Michezo. Ikumbukwe Februari 16, 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Matinyi akutana na wawekezaji wa Sweden, aelezea fursa za uwekezaji

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Sweden na Afrika, kilichofanyika tarehe 6 Februari, 2026...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Samia: Tumeboresha sera zetu kuvutia uwekezaji zaidi Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan, jana usiku alishiriki katika uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) uliofanyika jijini Dubai, hatua inayolenga kuimarisha nafasi ya Afrika katika kuvutia uwekezaji wa kimataifa unaozingatia uhalisia wa kifedha na mipango ya muda mrefu. Akihutubia mkutano...
  7. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji na Uchumi Tanzania: Vipato vya wananchi viheshimiwe

    Habari Tanzania ! Mimi na Wewe ni marafiki. Tunapendana sana. Tunaishi taifa moja na kwanini leo nikunyime Elimu. Karibu. Y = C + S ni sawa na kusema; Y= C+ I Hii maana yake; Y = Income/ Kipato C= Consumptions/ Matumizi S = Savings/ Hifadhi I = Investment/ Uwekezaji Nawaletea mambo kwa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Trilioni 17 kujenga viwanda Pwani unaibua maswali muhimu: Serikali ijitokeze ieleze uhalisia wa kinachoendelea

    Juzi niliona taarifa inaenea kwenye vyombo vya habari kuhusu Mkataba wa ujenzi wa viwanda Pwani.Katika muktadha wa mkataba huo wa uwekezaji unaotajwa kufikia thamani ya Dola za Marekani bilioni 7, ni muhimu kwa Serikali kueleza wazi iwapo ilifanya tathmini huru na ya kina (due diligence) kuhusu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mkumbo: Tanzania Iko Tayari kwa Uwekezaji wa Kimataifa

    London, Uingereza — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), amewahakikishia wawekezaji wa Uingereza kuwa Tanzania ni nchi salama, yenye uthabiti wa kisiasa na inayoendelea kutekeleza mageuzi ya kina ili kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. Prof...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Huu uwekezaji kibiashara kwenye kambi zetu za JWTZ, nani kauruhusu?

    Salaam ipo mwishoni Kambi ya jeshi Lugalo pale kona kwenda Kawe kuna shopping centre imejengwa kwa mfumo wa frames. Ndani ya Kambi eneo la mazoezi ya kimedani kwa wanajeshi wetu Lugalo pembezoni mwa shule ya Makongo uelekeo wa Mwenge kuna yard kubwa ya mjezi wa barabara imejengwa ndani ya Kambi...
  11. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Baada ya samia kumaliza mda wake, uchumi utakua mgumu kidogo! JItahidi hiki kipindi uwe na uwekezaji wa maaana

    Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa...
  12. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tandika sokoni

    Habari wakuu. Nyumba hiyo inauzwa ipo Tandika Sokoni inaukubwa wa sqm 350. Hii nyumba ina jumla ya Frem30 Mchanganuo wake ni kama ifuatavyo hizo Frem za mbele kodi yake ni sh.150,000.hizo za ubavuni pia kodi yake ni sh.100,000.na zandani kodii sh.70,000.hakuna Frem iliyokuwa wazi zote zina...
  13. MinMash

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwekeza 15,000,000 UTT AMIS lakini sina elimu ya uwekezaji

    Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo 1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote 2. Faida zao zikoje 3. Mapungufu ya UTT ni yapi...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso, Mali na Niger Zazindua Benki ya Kanda kwa Uwekezaji wa Pamoja

    Bamako, Mali – Nchi tatu za Afrika Magharibi, Burkina Faso, Mali na Jamhuri ya Niger, zimezindua rasmi benki ya uwekezaji ya kikanda yenye mtaji wa awali wa faranga bilioni 500 za CFA, sawa na takribani dola milioni 895 za Marekani. Hatua hii inalenga kuimarisha uhuru wa kiuchumi wa mataifa...
  15. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa uwekezaji wa pamoja uliofanya vizuri zaidi 2024/2025 – iGrowth Fund (iTrust Finance)

    Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025, iGrowth Fund umeonekana kuwa miongoni mwa mifuko iliyofanya vizuri zaidi sokoni. Ukuaji wa Thamani ya Kipande (NAV) ✓ Tarehe ya kuanzishwa: 03 Desemba 2024 ✓ Thamani ya kipande ilipoanza: TZS 100 ✓ Thamani ya sasa ya kipande: TZS 138.1709 ✓ Ongezeko la...
  16. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Msasani mwisho

    Habari maboss Nyumba ya Zamani inauzwa msasani mwisho. Nyumba inatazama barabara ya mtaa. Mtaa wa pili kutoka BAHARINI Sqm 425 Document offer ya Kazi BIlion 1 KWA hitaji la kuona eneo Nipigie simu nikupeleke ukazungumze na wahusika wakuu. 0754693556
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino, kuhusu kuendeleza maeneo muhimu ya ushirikiano wa pande mbili na kuthibitisha dhamira ya pamoja ya ushirikiano wa...
  18. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shida hapa Tanzania ni mkakati tu

    Habari wadau. Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli kabisa. Uwezi kushinda umaskini kwa maneno. Lazima kujituma na kuwa na mipango. Watu wananguvu sana ila...
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kitila: Tunataka uwekezaji unaojibu shida za Watanzania hasa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imebainisha vigezo vitano muhimu vitakavyotumika katika kuchagua sekta za kimageuzi, hasa kwa ajili ya kuchochea kipato na kuongeza ajira kwa vijana, akisisitiza kuwa utekelezaji wa...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo ateuwa wajumbe 7 wa bodi ya mamlaka ya uwekezaji na Maeneo maalum ya kiuchumi Tanzania (TISEZA)

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo(Mb.), kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Kifungu cha 8(2)(b) cha Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi ya mwaka 2025 ameteua wajumbe saba (7) wa Bodi ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi...
Back
Top Bottom