Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar.
Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu.
Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji.
📍 Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi.
Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
Mada kuu: Kuelewa dhana ya uwekezaji na kwanini ni muhimu kwa maisha yetu ya kifedha.
1️⃣ 🧠 Uwekezaji ni nini?
Uwekezaji ni kitendo cha kuweka fedha zako mahali fulani kwa matarajio ya kupata faida baadaye. Hii inaweza kuwa kwa kununua hisa, hatifungani, vipande kwenye mifuko ya pamoja, kununua...
Kuna baadhi ya sehemu ukiwekeza ni uhakika ila tulio wengi hatujui na hatufahamu kuhusu hili.mfano kuna kitu kinaitwa Samia Infrastructure Bonds ni hati fungani mahsusi inayotolewa na benki ya CRDB kwaajili ya kufadhili miradi muhimu ya miundombinu nchini Tanzania, hasa ujenzi wa barabara chini...
Mada kuu: Kuelewa dhana ya uwekezaji na kwanini ni muhimu kwa maisha yetu ya kifedha.
1️⃣ 🧠 Uwekezaji ni nini?
Uwekezaji ni kitendo cha kuweka fedha zako mahali fulani kwa matarajio ya kupata faida baadaye. Hii inaweza kuwa kwa kununua hisa, hatifungani, vipande kwenye mifuko ya pamoja, kununua...
MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI.
Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya:
📌 Uwekezaji kwenye soko la hisa
📌 Hatifungani (bonds)
📌 Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA...
Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini.
Hayo yalielezwa Mei 20, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akihutubia...
Watu Wengi Wanapenda Kueleweka...
Mtu ajue mahitaji yake...
Hali inayomfanya mhusika ajione amefika ,..
Na ajiachie Hilo eneo...
Hii tunaita Saikolojia yako...
Mtu akijua unachokitaka atakuwa na uwezo wa kukumiliki na kukutawala...
Mfano najua unataka pesa si ndiyo...
Tena uipate kirahisi...
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳
Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈.
wasiliana nao kwa taarifa zaidi
Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo...
Wakuu!
Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
https://chat.whatsapp.com/EESLRXNogcqAmV06QeCNBE
Humu utajifunza Namna ya kuifanya pesa ikuletee pesa zaidi
Kwenye HISA, UTTAMIS, HATIFUNGANI, Real estate nk
Bonyeza link uje whatsap
Au nidm Kwa
255744980339
Mwakawasila
Financial consultant
𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐌𝐈𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐘𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈
Dodoma, 5 Mei 2025 – Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb), amewasilisha Bungeni Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 akiainisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi na...
RAIS SAMIA AVUTIA UWEKEZAJI WA TRILIONI 1.4 - MADINI
▪️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4
▪️Dhahabu ya kwanza kuanza kuzalishwa robo ya kwanza ya Mwaka 2027
▪️Rais Samia apongezwa kwa mazingira bora ya uwekezaji
▪️Mgodi kuzalisha Ajira na mapato kwa serikali
Kampuni ya Perseus...
"Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa mageuzi makubwa ya Mipango na Uwekezaji katika Taifa letu. Rais Samia ameamua kutokuogopa na kusimama kwa utulivu katika kusikiliza wataalamu kulisaidia Taifa letu" - Mhandisi Mwanaisha Ng'anzi Ulenge, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga
"Taifa...
Habari wakuu!
Kama ilivyo ada kila mwaka serikali inapeleka matrillioni kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu yaani HESLB ili kuwawezesha wanafunzi wamudu gharama za kupata elimu ya juu.
Sasa kuliko kuchangia katika kuzalisha wahitimu wasiokuwa na ajira na wenye madeni ya HESLB ni bora fedha...
Ni biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana.
Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni mradi na biashara gani ambayo ina failure rate ndogo ndani ya mwaka mmoja?
Linapokuja swala la userious kwenye uwekezaji wachina hawako seriously kabisa.
Mpaka sasa tangu wameanza kuingia hapa Tanzania sijaona mradi hata mmoja walio wekeza zaidi ya kamari na kufungua fremu za biashara za kodi ya millioni 2 hadi 3.
Hebu angalia Dangote mradi aliowekeza huko Nigeria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.