Ardhi sio uwekezaji kwa mtu anayejitafuta

650

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
253
Reaction score
320
Habari zenyu wana JF

Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.

Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
 
Mara nyingi huwa naamini wenye mawazo kama haya hawajawahi kufanya biashara kwani biashara ni ngumu sana,kuzungusha hela izae hela na iwe endelevu siyo kazi ndogo ni nusu uwendawazimu ndiyo maana watu huwa wanaamua kiasi fulani cha pesa wakiweke kwenye ardhi kama backup kwa sababu ndiyo kitu pekee kisichopungua thamani kiwepesi.

Ninapoishi jirani kuna mwenzangu tulinunua wote mwaka 2008 mimi nililipa Tsh 3mill na point yeye sijui ilikuwa bei gani but juzi Feb alinitangazia anauza offer yake ilikuwa 70mill mnunuzi aliyepatikana akampa Tsh 63mill,Goba nina jamaa yangu alinunua ardhi chini ya 4mill mwaka 2011 mwaka jana mwishoni akapauza kwa 50Mill,uwekezaji wa ardhi na nyumba unampa mtu guarantee ya kupata hela kesho wakati mwenye biashara anaweza akakosea kidogo hesabu akaamka na tra wakamfilisi akarudi zero.
 
Wewe ulitaka kijana aizike pesa yake wapi kama asipoizika kwenye ardhi ambapo ana walau uhakika wa kujilipa?
Benki? Biashara? Bar? Betting?
 
Toa ushauri azike wapi?
 
Ninapoishi jirani kuna mwenzangu tulinunua wote mwaka 2008 mimi nililipa Tsh 3mill na point yeye sijui ilikuwa bei gani but juzi Feb alinitangazia anauza offer yake ilikuwa 70mill mnunuzi aliyepatikana akampa Tsh 63mill,Goba nina jamaa yangu alinunua kardhi chini ya 4mill mwaka 2011 mwaka jana mwishoni akapauza kwa 50Mill,uwekezaji wa ardhi na nyumba unampa mtu guarantee ya kupata hela kesho wakati mwenye biashara anaweza akakosea kidogo hesabu akaamka na tra wakamfilisi akarudi zero.
Shida ni baada ya mda mrefu kama hapo ni 14yrs
 
Wewe ulitaka kijana aizike pesa yake wapi kama asipoizika kwenye ardhi ambapo ana walau uhakika wa kujilipa?
Benki? Biashara? Bar? Betting?
Ndugu yangu inachukua mda mrefu ardhi kupanda thamani
 
Hayo mawazo yako mkuu
 
Shida ni baada ya mda mrefu kama hapo ni 14yrs
Kweli kabisa. Na hapo watu hawajataka kuweka umakini mtoa madam aliposema "kijana anayejitafuta"

Kama ninemeuelewa vizuri mtoa madam anamaanisha kijana ambaye bado hana vitu basic kama nyumba, gari (kwa Dar) n.k. Sasa huyu mtu akisema pesa anayopata aende akawekeze kwenye ardhi ambayo itapanda thamani kwa muda usiojulikana inakuwa siyo sawa.

Ila kwa kijana ambaye tayari kashajipata, kwa maana ya kwamba tayari anamiliki basic things, kwenda kuwekeza kwenye ardhi inakuwa sawa. Ataisubiri hiyo ardhi ipande thamani huku maaisha yake yakiendelea.
 
Yah
 
Tanzania economy is very unpredictable kwahiyo kujenga na Kununua ardhi ni muhimu sana kwakuwa

Nyumba na ardhi inaweza kutumika Kama dhamana ya kupata Loan .
Lakini mkuu Thaman ambayo Benk watairate ardhi yako mkuu mara nyingi haifikii gharama zako coz maeneo mengi Yamekuwa overhyped Kiasi cha kwamba viwanja vinauzwa bei, ila kiuhalisia bei yake ni ndogo au ya kawaida.
 
Mara nyingi huwa naamini wenye mawazo kama haya hawajawahi kufanya biashara kwani biashara ni ngumu sana,kuzungusha hela izae hela na iwe endelevu siyo kazi ndogo ni nusu uwendawazimu ndiyo maana watu huwa wanaamua kiasi fulani cha pesa wakiweke kwenye ardhi kama backup kwa sababu ndiyo kitu pekee kisichopungua thamani kiwepesi.

Ninapoishi jirani kuna mwenzangu tulinunua wote mwaka 2008 mimi nililipa Tsh 3mill na point yeye sijui ilikuwa bei gani but juzi Feb alinitangazia anauza offer yake ilikuwa 70mill mnunuzi aliyepatikana akampa Tsh 63mill,Goba nina jamaa yangu alinunua ardhi chini ya 4mill mwaka 2011 mwaka jana mwishoni akapauza kwa 50Mill,uwekezaji wa ardhi na nyumba unampa mtu guarantee ya kupata hela kesho wakati mwenye biashara anaweza akakosea kidogo hesabu akaamka na tra wakamfilisi akarudi zero.
  • uwekezaji kwenye ardhi pia una risk
  • unaweza kununua ardhi kumbe ni ardhi iliyotengwa Kwa ajili ya maeneo ya wazi, sehemu ya viwanda,hifadhi ya barabara,hifadhi ya vyanzo vya maji, hifadhi ya miundombinu ya maji like dawasa, pia kunaweza kukawa na migogoro ya ardhi.
 
Back
Top Bottom