uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Bila kumung'unya maneno: Zelensky ameukubali muziki wa Urusi kwenye uwanja wa vita

    Donbass fighting is ‘hell’ – Zelensky The president says Ukrainian forces can’t break Russia’s advantage in artillery and manpower. Ukrainian President Vladimir Zelensky said on Tuesday that the fighting in Donbass was “hell,” claiming that Kiev’s military remained heavily outgunned and even...
  2. Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

    Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022: Ndunguru ashinda Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6. Mtu kachapika TKO...
  3. Askari Uwanja wa Ndege KIA wanaharibu taswira ya nchi kwa kubugudhi wasafiri

    Heshima sana wanajamvi, Uwanja wa ndege wa kimataifa (KIA) Kilimajaro International Airport ni lango la utalii Tanzania.Uwanja huu umekuwa ukipokea wageni wengi wanaokuja kutalii katika Hifadhi zetu zilizojaliwa kila aina ya vivutio. Bahati mbaya yupo askari mmoja kijana Mwanaume anayevalia...
  4. N

    HESHIMA KUBWA: Jukwaa la uwanja kupewa jina la Okrah huko Ghana

    Klabu yake ya zamani ya Bechem imempa heshima kubwa sana, katika uwanja wao wanajenga jukwaa jipya kwa pesa zote walizopata za kumuuuza Okrah kwenda simba sc na jukwaa hilo litaitwa kwa jina lake, Augustine Okrah stand.
  5. M

    SI KWELI Mwonekano wa uwanja wa ndege terminal 3 JKNIA

    Picha hii inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikibainisha kuwa huu ni uwanja wa ndege ya Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam. Jamii Check tusaidieni kufuatilia hili. Picha inayodaiwa kuonesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere
  6. Ndege ya abiria yaanguka uwanja wa ndege Somalia, abiria waokolewa

    Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Jubba imeanguka wakati ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Aden Adde Jijini Mogadishu Nchini Somalia huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa bado hakiajulikana. Baada ya ndege hiyo kugeuka chini juu, idara ya usalama waliwahi eneo la tukio na kuokoa watu 36...
  7. Timu ya Barcelona yaelekea Marekani, Xavi azuiwa Uwanja wa Ndege

    Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez ameshindwa kusafiri na timu yake kwenda Marekani kutoka Hispania kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya kutokana na sababu za kiutawala. Xavi amezuiwa kwa kuwa ameonekana na rekodi ya kuingia zaidi ya mara tatu Nchini Iran (alifanya hivyo wakati akiitumikia...
  8. Arusha: Zoezi la uokoaji katika uwanja wa ndege lagharimu milioni 18

    Meneja wa Kiwanja cha Ndege Arusha, Elipid Tesha amesema zoezi la ajali ya ndege kuungua moto katika eneo hilo limefanyika kwa lengo la kuona utayari wa Taasisi za uokoaji namna gani zinaweza kuwahi eneo la tukio na kila mmoja kuweza kutimiza wajibu wake. Aidha, Elipid amesema zoezi hilo...
  9. Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

    Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935? Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
  10. Sikujua Malawi wana uawanja mzuri hivi!

    Unaitwa bingus national stadium. Misri alikufa mbili bila hapa na Ethiopia afcon wiki kama mbili zilizopita
  11. Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

    Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Makubaliano hayo yalitiwa saini...
  12. B

    Simba kama tuna 20b, tunashindwa kujenga uwanja?

    ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA KISASA, GYM YA KISASA KIWANJA CHA KISASA ili hizi hela zinazochangishwa zitumike kuandaa mfano...
  13. Ukweli mtupu: Uwanja wa ndege Chato utakuwa ni kiunganishi kikubwa kwa eneo la kanda ya Ziwa Magharibi

    Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi. Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza. Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa...
  14. Uwanja ghali zaidi duniani (SoFi Stadium)

  15. Tabora: Rais Samia akishiriki mkutano wa hadhara uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo tarehe 19 Mei, 2022. Ria Samia yupo mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi kwa siku 3, tangu aanze ziara hii amefanya uzinduzi wa...
  16. FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

    Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
  17. Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

    Leo Mabigwa wa Kihistoria Yanga Sports Club naingia dimbani kupepetana na Tanzania Prisons, mchezo unatabiriwa huenda ukawa na ushindani wa pekee ukizingatia zinapokutana timu hizi, Tanzania Prisons hukamia sana. Game hii inaanza saa moja kamili usiku saa za Afrika Mashariki. Yanga wakijua...
  18. C

    Mechi za Usiku Uwanja wa Mkapa mwanga ni mdogo

    Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania. Kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya me hi zimekuwa zikichezwa nyakati za usiku. Hata hivyo ukiangalia hali ilivyo ya mwanga...
  19. Alichofanyiwa RC Makala na watumishi leo uwanja wa Mkapa hatokuja kuisahau

    Habari! Leo watumishi wa taasisi na ofisi mbalimbali zilizopo mkoa wa Dar es salaam tuliungana Uwanja wa Mkapa kusheherekea siku yetu kama ilivyo ada. Sasa ile kaanza kuongea katibu wa TUCTA MKOA watu wakaanza kuondoka kwa nguvu. Binafsi sikupenda ila baada ya kiongozi wetu nasi kutuambia...
  20. Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

    Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo. Rais Samia atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho haya huku wafanyakazi akisubiri kwa hamu hotuba yake kutokana na ahadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…