uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sababu Yanga Kushinda nje ya Uwanja Kama Mashabiki wa Simba wanavyolalama

    ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023, mastaa wa Yanga wameandaliwa msosi maalumu ili kuhakikisha wanatakata leo. Mbali na kuandaliwa msosi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga lageuzwa uwanja wa sanaa na kuwavutia watu kupiga picha mjini Chongqing, China

    Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo lenye urefu wa mita 68 na upana wa mita 3.2, ni sanaa iliyoundwa na picha, uchoraji, taa, nk. Hali...
  3. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

    Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa. ===== Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nanenane - Mbeya: Rais Samia asema watatoa ruzuku za mbolea lakini sio kwa miaka yote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane)uwanja wa John Mwakangale Mkoani Mbeya leo tarehe 08 Agosti, 2022 Aliyoyasema waziri wa kilimo Hussein Bashe Waziri Bashe asema Serikali itaanza kutoa zawadi kwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hatimae Ndege kubwa (Air Bus) yaanza safari zake Uwanja wa Songwe Airport Viongozi wafunguka mazito

    03 August 2022 Kuna Uhitaji Mkubwa wa Huduma za ndege kubwa nyada za juu kusini Ndege kubwa ya ATCL aina ya Airbus A220-300 yaanza safari zake uwanja wa Songwe. Viongozi wafunguka kigugumizi kilichokuwepo cha ndege kutua usiku kutokana na kukosekana taa za uwanjani, ambapo sasa tayari...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bila kumung'unya maneno: Zelensky ameukubali muziki wa Urusi kwenye uwanja wa vita

    Donbass fighting is ‘hell’ – Zelensky The president says Ukrainian forces can’t break Russia’s advantage in artillery and manpower. Ukrainian President Vladimir Zelensky said on Tuesday that the fighting in Donbass was “hell,” claiming that Kiev’s military remained heavily outgunned and even...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

    Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022: Ndunguru ashinda Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6. Mtu kachapika TKO...
  8. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Askari Uwanja wa Ndege KIA wanaharibu taswira ya nchi kwa kubugudhi wasafiri

    Heshima sana wanajamvi, Uwanja wa ndege wa kimataifa (KIA) Kilimajaro International Airport ni lango la utalii Tanzania.Uwanja huu umekuwa ukipokea wageni wengi wanaokuja kutalii katika Hifadhi zetu zilizojaliwa kila aina ya vivutio. Bahati mbaya yupo askari mmoja kijana Mwanaume anayevalia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania HESHIMA KUBWA: Jukwaa la uwanja kupewa jina la Okrah huko Ghana

    Klabu yake ya zamani ya Bechem imempa heshima kubwa sana, katika uwanja wao wanajenga jukwaa jipya kwa pesa zote walizopata za kumuuuza Okrah kwenda simba sc na jukwaa hilo litaitwa kwa jina lake, Augustine Okrah stand.
  10. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwonekano wa uwanja wa ndege terminal 3 JKNIA

    Picha hii inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikibainisha kuwa huu ni uwanja wa ndege ya Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam. Jamii Check tusaidieni kufuatilia hili. Picha inayodaiwa kuonesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ndege ya abiria yaanguka uwanja wa ndege Somalia, abiria waokolewa

    Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Jubba imeanguka wakati ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Aden Adde Jijini Mogadishu Nchini Somalia huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa bado hakiajulikana. Baada ya ndege hiyo kugeuka chini juu, idara ya usalama waliwahi eneo la tukio na kuokoa watu 36...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Timu ya Barcelona yaelekea Marekani, Xavi azuiwa Uwanja wa Ndege

    Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez ameshindwa kusafiri na timu yake kwenda Marekani kutoka Hispania kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya kutokana na sababu za kiutawala. Xavi amezuiwa kwa kuwa ameonekana na rekodi ya kuingia zaidi ya mara tatu Nchini Iran (alifanya hivyo wakati akiitumikia...
  13. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Arusha: Zoezi la uokoaji katika uwanja wa ndege lagharimu milioni 18

    Meneja wa Kiwanja cha Ndege Arusha, Elipid Tesha amesema zoezi la ajali ya ndege kuungua moto katika eneo hilo limefanyika kwa lengo la kuona utayari wa Taasisi za uokoaji namna gani zinaweza kuwahi eneo la tukio na kila mmoja kuweza kutimiza wajibu wake. Aidha, Elipid amesema zoezi hilo...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

    Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935? Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
  15. ward41

    JamiiForums Tanzania Sikujua Malawi wana uawanja mzuri hivi!

    Unaitwa bingus national stadium. Misri alikufa mbili bila hapa na Ethiopia afcon wiki kama mbili zilizopita
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

    Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Makubaliano hayo yalitiwa saini...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Simba kama tuna 20b, tunashindwa kujenga uwanja?

    ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA KISASA, GYM YA KISASA KIWANJA CHA KISASA ili hizi hela zinazochangishwa zitumike kuandaa mfano...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Uwanja wa ndege Chato utakuwa ni kiunganishi kikubwa kwa eneo la kanda ya Ziwa Magharibi

    Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi. Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza. Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa...
  19. ward41

    JamiiForums Tanzania Uwanja ghali zaidi duniani (SoFi Stadium)

  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tabora: Rais Samia akishiriki mkutano wa hadhara uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo tarehe 19 Mei, 2022. Ria Samia yupo mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi kwa siku 3, tangu aanze ziara hii amefanya uzinduzi wa...
Back
Top Bottom