Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,307
12,600
Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935?

Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
 
ni kweli izo timu zinatumia viwanja vya serikali ama viwanja vya majiji ilo najua fika,ila maana yako ya kutolea mfano izo timu zisizomiliki viwanja vyao ni nini hasa,embu dadavua?
Kama umeelewa mada ni kuonesha uzembe wa YANGA kuwa na Mashabiki wengi lakini hawana uwanja.

Ndio nimempa hizo timu ambazo katika nchi watokazo wanaongoza kwa mashabiki mbona hawana viwanja?

Kwa timu zinazomilikiwa na wanachama zenye viwanja hapa duniani ni chache tu, kama Bayern, Madrid, Barca, Dortmund nk.

Timu nyingi zenye umiliki binafsi ndizo hasa hujenga uwanja wake wenyewe.

Mnapochambua kitu, jaribuni kupitia hiki na kile basi hata kidogo ili kuongeza ufahamu wenu.

Ada ya uanachama itatosha kuendesha timu na kujenga uwanja??

Mashabiki wa Simba wanachangia ujenzi wa uwanja bila kujua wanavunja sheria za makampuni. Unawezaje kuchangia ujenzi kitu chenye wanahisa ikiwa ww sio mwanahisa ( SHABIKI TU?).
 
Yanga mjitahidi ata mjenge kiwanja cha mazoezi

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Nionyeshe uwanja wa AC MILAN, INTER MILAN, AS ROMA, LAZIO, HERTHA BERLIN na KAIZER CHIEFS.
Kaizer Chiefs Wana moja Kati ya training facility bora kabisa barani Africa. Hizo timu zote ulizozitaja Wana viwanja vya mazoezi, siyo habari ya kutrain Sinza Mara Kigamboni. Chukueni changamoto muifanyie kazi siyo kujificha kwa kutumia hoja za kujifanisha.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Sio aibu yoyote. Wewe hujui hesabu ndo maana unasema hivyo.

Kuna nchi majiji yenyewe yanatenga bajeti kwa ajili ya kujenga viwanja kwa ajili ya timu kubwa za kwenye majiji hayo.

Halafu inaelekea umeathiriwa na utapeli anaofanya Mo pale Simba kuwadanganya eti wachange kujenga uwanja wa kisasa kama wa Mkapa.
 
Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935?

Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
Kila kitu huja kwa mpango wake
 
Back
Top Bottom