uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea kwa Kishindo. Bil 165 kujenga uwanja wa kisasa Dodoma. Mama Samia anaupiga mwingi

  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marubani 400 wa Kenya Airways wagoma, abiria 10,000 wakwama uwanja wa ndege

    UPDATE: Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga cha Kenya (Kawu) kimetaka wanachama wao kuacha kazi leo baada ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kenya kukamilisha na kutekeleza Makubaliano ya Pamoja ya Majadiliano (CBA) ambayo yalijadiliwa na kuafikiwa mwaka wa 2019. Wanachama wa Kawu ambao ni...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge laibana Serikali kuipa KADCO mkataba wa uendeshaji uwanja wa Ndege KIA badala ya TAA

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya haipo. Spika Dkt. Tulia amesema “Wanasema mkataba unamalizika Juni 2023 ni mkataba gani? wakati hiyo...
  4. 2019

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali kupiga marufuku club ya Yanga kutumia uwanja wa Mkapa,inadhalilisha nchi

    Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu. Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ameandika historia ujenzi uwanja wa Msalato

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema CCM inapongeza kwa dhati Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM kwa kuandika historia kwa taifa baada ya miaka kadhaa tangu kuwekwa azimio la makao makuu ya nchi kuhamia mkoani Dodoma. Shaka...
  6. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

    FULL TIME 90' Sakho anaipaia Simba goli la tano GOOOOOOOOO 81 Mtibwa wamerudi nyuma na kuwapa Simba nafasi ya kumiliki mpira muda mwingi 77' Simba wanafanya mashambulizi mfululizo Phiri anaipatia Simba goli la 4 73' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Beki wa Mtibwa anapata kadi ya njano ya pili na hivyo kuwa...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hawa Marefa wasipodhibitiwa watatuharibia mpira

    Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo. Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Waarabu walipokojoa Uwanja wa Taifa

    Wengine inawezekana mmeanza kujua mpira baada ya uwanja wa Mkapa kujengwa. Ngoja leo niwape story moja. Wakati tunatumia uwanja ambao leo unaitwa wa Uhuru, uwanja ulikuwa katika hali mbaya sana, ingawa kwa macho na mtazamo wetu uwanja ulikuwa fresh tu. Huko ndiyo jina la 'Shamba la Bibi'...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wapinzani nimewapa kazi ya kukutana na kuzungumza, walete mapendekezo yao tukubaliane

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo tarehe 18 Oktoba, 2022 Zitto Kabwe- Kiongozi Mkuu wa Chama, ACT Wazalendo Nikiwa kiongozi wa kitaifa, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza sana...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kigoma inaenda kuunganisha na gridi ya Taifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Kibondo katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kibondo Mkoani Kigoma, leo tarehe 16 Oktoba, 2022. Rais Samia akiwa kigoma amesema wanaenda kuzima majenereta huko Kigoma kuwa kuwa Kigoma inaenda...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

    Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali. Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania. Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Viingilio hivi hapa, Simba tukaujaze uwanja Jumapili

    Wana Simba sasa tambo za mitaani, mitandaoni, maofisi, kanisani, vitandani tunazihamishia kwa Mkapa. Kiingilio ni sawa na bure kabisa. Tunaenda kupiga "Full House" kutoa onyo kwa timu zitakazokuja makundi.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaizidi JNIA kwa idadi ya wageni wanaoingia nchini

    Uwanja ndege wa AAKIA mwaka 2021 ulipokea wageni wa kimataifa 732,000 ukifuatiwa na JNIA uliopokea wageni 604,000 wa kimataifa, ikiwa ni tofauti ya wageni 128,000. Ripoti ya takwimu za kitaifa (Tanzania in figures 2021) inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa uwanja huo...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa mazoezi wa timu yenye uwekezaji mkubwa kuzidi Al Hilal

    Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu. Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu My Take Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Sokoine bado

    Uwanja wa sokoine pamoja na TFF kuupitisha lakini huwezi kukokota mpira, mpira hautulia vizuri. Hivi viwanja kero sana. Jana Simba pia Wamestruggle kutokana na viwanja vibovu.
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwanja ulilipuka kwa shangwe alipotambulishwa Samia Kama 'iron lady'?

    Kumbe mama Samia sio wa mchezo mchezo. Uwanja ulilipuka kwa shangwe la namna yake pale mama Samia alipotambulishwa Kama Iron lady , uwanja ulisimama kwa sekunde karibia 70. Kwanini Wakenya wameonesha upendo mkubwa kiasi hiki kwa mama la mama.?
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambano

    Asema ni kosa kubwa sana limefanyika na litagharimu pakubwa, haamini macho yake majeshi ya Urusi yanaacha silaha za kila aina na kutoroka. Chechen ambao ni wapiganaji wa kiislamu walijitokeza kuisadia Urusi kwenye hivi vita ila sasa hivi hali imekua sio tena. Ramzan Kadyrov: ‘If today or...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7000 vyakamatwa Uwanja wa Ndege

    Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong. Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16 na vilibainika baada ya kutoa harufu, na gharama yake imetajwa kuwa ni Dola 478,000 (Tsh. Bilioni...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mnazi Mmoja 1948

    UWANJA WA MNAZI MMOJA 1948 Nilipata kuandika katika moja ya mitandao ya kijamii kuwa takriban kila aliyesikika katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika yumo ndani ya Nyaraka za Sykes. Baadhi ya wasomaji walinishambulia wakinishutumu kuwa nina mkakati wangu maalum wa kuharibu historia...
Back
Top Bottom