uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuongeza wigo wa matumizi ya mifumo ya tehema ili kurahisisha ukusanyaji wa data (taarifa)mbalimbali kuanzia ngazi ya Serikali za Mitaa

    UTANGULIZI Data au Taarifa ni kiini cha maendeleo katika taifa. Taifa lililoendelea na linaloendelea hutegemea data (taarifa), namna nchi inavyokusanya taarifa,kuzihifadhi,kuzichakata na kupata matokeo ya data hizo ndiyo imekua tofauti kubwa kati ya Mataifa yaliyoendelea na yanayoendelea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuibadili jamii inayoamini katika njia ya mkato ya maendeleo

    NI ukweli husiopingika kwamba kila mtu anatamani maendeleo na ukweli huo hauwezi kubadilika. Shida inayoniumiza kichwa changu Kwa sasa NI Kwa nini waafrika tunapenda short cut, hatupendi kuanzia chini au kutumia NJIA sahihi kupata mafanikio endelevu. Nafahamu kwamba afrika tunategemea Sana...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

    Salaam, Shalom!! Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi. Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANROADS, kwanini mnaruhusu watu kujenga kwenye hifadhi ya barabara? Mnaweka amri ya Katazo baada ya wiki ujenzi unaendelea

    Kuna utaratibu wa TANROADS kuruhusu ujenzi wa majengo kwenye hifadhi ya barabara. Kuna ujenzi pia unaendelea kwenye hifadhi ya barabara za TARURA. Wanachofanya nikuweka Katazo kwa lengo la wewe kufika ofisini kwao, ukifika unaongea nao kwa capital letter then wanakuambia kaendelee. Watanzania...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kukutana na usumbufu, dharau na jeuri za watumishi wa serikali, utaendelea kutoona anachofanya Makonda

    Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine...
  6. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara aidai milioni 227 halmashauri ya Monduli kwa miaka 18 ni baada ya kujenga shule ya Sokoine

    Mfanyabiashara na mkazi wa jiji la Arusha, Patrick Swai ameangua kilio mbele ya mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akilalamikia halmashauri ya Monduli kushindwa kumlipa malipo yake ya sh, milioni 227.7 kwa muda wa miaka 18 baada ya kukamilisha ujenzi wa shule. Akiongea na vyombo vya habari...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

    Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT. Je huyu Jaji "Y" ni...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Serikali na Wasafi TV mlitakiwa muwe mmeshakuchukua hatua za kinidhamu kwa Makonda na Oscar. Ukimya wenu unamaanisha mmebariki udhalilishaji huo?

    Inapotokea mfanyakazi wa taasisi fulani amefanya kosa mbele za umma na akaonywa mbele za umma pia, tunatarajia taasisi anayofanyia kazi kuwajibika, kwanza kwa kukubali kuwa kosa limefanywa, kuomba radhi kwa umma, na kuchukua hatua za kinidhamu kama kanuni za maadili zinavyowaelekeza kulingana na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi, uwekezaji, biashara na mengine mengi. Kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Treni ya Dar-Tanga-Arusha imekwama, wanaohusika watoe mwongozo wa nini kinaendelea

    Ni muda wa miezi kadhaa sasa usafiri wa Treni za mizigo na abiria kati ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Arusha umekwama kutokana na sababu kuu mbili. Sababu ya kwanza ambayo nimeisikia na imekuwa ikitajwa ni kuwa reli ilikuwa inafanyiwa marekebisho ya hapa na pale. Pili baada ya kukamilika...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hali ilivyo nchini, ukipewa nafasi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria utabadili nini kuongeza Uwajibikaji na Haki?

    Kama leo imetokea umepata nafasi ya kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ukangalia hali ya masuala ya Kisheria nchini pamoja na mfumo wa utoaji Haki, utaanza na mabadiliko gani ili kuongeza Haki na Uwajibikaji nchini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Serikali ya Uthubutu, Uwajibikaji mzuri kwa maendeleo bora katika Sekta ya Elimu

    Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo hapa RC Chalamila alihalalisha watu kuua tena, aagiza Polisi wafanye hilo waziwazi

    “Ukikuta kijana ameingia ndani kwa kuvunja dirisha ujue kuna mambo mawili ameyadhamiria. Jambo la kwanza amedhamiria kuiba na jambo la pili amedhamiria kuua na jambo la tatu amekubali kuuawa. Naomba nisisitize, jambo la tatu amekubali kuuawa, naomba nirudie, jambo la tatu amekubali kuuawa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi wa barabara ya Majichumvi-Migombani anatutesa kwa zaidi ya Mwezi sasa

    Barabara ya External kwenda Majichumvi eneo la Migombani (Majichumvi) inayopita OBAMA BAR kuanzia Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mianzini kutokezea njia Panda ya Bonyokwa na Segerea inatutesa sana. Mkandarasi alifunga njia kipindi chote cha mvua, tumeteseka vya kutosha maana diversion aliyotuelekeza...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kusikiliza kero zenye kesi Mahakamani Arusha, asema yupo tayari kupoteza chochote mradi mtu apate haki yake

    Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi? Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa haki? Kwamba bila ya kuwa na hela huwezi kutoboa Mahakamani? ===== Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike ili kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa?

    Je, unaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Mamlaka katika kushughulikia Matukio na Taarifa za Rushwa na Ubadhirifu nchini? Unaweza kutoa maoni yako na kupendekeza njia Bora za kupambana na Rushwa kupitia Mjadala utakaoendeshwa na JamiiForums Alhamisi Mei 30, 2024 Saa 12:00 Jioni hadi 2:00...
  19. mackj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wakurugenzi wa halimashauri wapatikane kwa mfumo wa ajira ili kuleta dhana ya utawala bora na uwajibikaji kwa wananchi na siyo kwa watawala

    UTANGULIZI. Ni makala ya story of change ya jamii forum, inayochochea mjadala wa kitaifa juu ya masuala mbalimbali, nami nikiwa nimeangazia dhana ya utawala bora nchini Tanzania, ili kuipata “Tazania tuitakayo” jina langu ni Makiwa Jumanne Ni hivi karibuni Taifa la Tanzania limetimiza miaka 63...
  20. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Nani anasimama nyuma ya Mwekezaji wa Soko la CCM Katoro Geita?

    Kwanza nipende kutoa shukrani kutokana na maboresho yaliyofanywa na mwekezaji katika kuboresha soko la CCM, Katoro Geita, Changamoto kubwa iliyoibuka baada ya Mwekezaji kushika hili soko ni unyanyasi mkubwa unaofanyika kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, ikiwemo; 1. Mkuu wa mkoa wa Geita, ndugu...
Back
Top Bottom