Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho?
Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya
Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria.
Report ya...
Nashindwa kuelewa hii bodi ya wakurugenzi ya NMB, mbona mpo kimya sana na mambo yanayoendelea NMB kwasasa.
Huyu mtu anayeitwa Pete Novat amekuwa na madaraka makubwa sana kaachiwa na huyu Mama wa kizungu ananyanyasa sana watu, hasa kwenye upande wa rasilimali watu. Kazi anajaza ndugu zake NMB na...
Serikali ya Tanzania inadaiwa kujitoa kwa muda kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji yaani Open Goverment Partnership(OGP). Inadaiwa Serikali imeamua kujikita kwenye "kutumbua majipu" kwanza kabla ya kujikita kwenye uwazi.
OGP ilianzishwa mwaka 2011 na ilianza na Serikali 8 hadi 70...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.