uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushirikishwaji wa Wananchi katika Uandaaji na Mapendekezo ya Bajeti: Njia ya Kuimarisha Uwajibikaji Nchini Tanzania

    Utangulizi Ushirikishwaji wa wananchi katika uandaaji na mapendekezo ya bajeti ni mchakato muhimu unaoweza kuboresha uwajibikaji wa serikali na taasisi za umma. Kwa kushirikisha wananchi, serikali inaweza kuhakikisha kuwa bajeti inaakisi mahitaji na vipaumbele vya wananchi, na hivyo kuongeza...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Gawio la Tsh. Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali

    Ufafanuzi kuhusu Gawio ka TSH. Bilioni 153.9 lililoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali. Katika Mitandao ya Kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu kuhusu uhalisia wa Gawio la Shilingi Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TPA imesifiwa sana kwa kutoa Gawio la Bilioni 153.9 wakati 2018/19 Gawio lilikuwa Bilioni 480. Je, Rais Samia kasahau?

    Maswali chechefu: 1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja? 2. Je, Mhe Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa...
  5. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu

    "Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu" Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Try Again anajiuzulu vipi ajatoa majibu? Shida ya team?? Mo makazi Dubai?

    Mashabiki wa simba mbona siwaelewi 1. Mtu anajiuzulu vipi ajatoa progress ya team akitoka? How will things run? 2. Shida ya simba nini?? majibu? 3. Wakati huu wa usajili na mipango ya mwakani?? nani atatoa orientation?? au mna za upya?? 4. MO makazi yake ni dubai?? vipi?? chairman via...
  7. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waliosema nimeuza Bandari na Bahari faida yake ndio hii

    My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele. ======= Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024. Gawio...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananitukana wakitaka niwajibu, sasa siwajibu..

    Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo inatakiwa iwe ya uwajibikaji

    Tanzania ni mojawapo ya nchi chache zenye kila aina ya rasilimali ila bado imekua masikini na inasua sua kiuchumi,yafwatayo yanatakiwa kurekebishwa ili taifa hili liendelee. Uhuru wa vyombo vya habari: Bado sijaona uhuru wa kuhabarisha uma kwa vyombo vyetu vya habari, huenda ikawa ni utashi wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iondoe dhulma na uonevu Tanzania

    Pamoja na matumizi ya kidigitali serikalini na kufutwa kwa analojia ni aibu Kwamba bado system za serikali hazitendi haki na zinaruhusu dhulma,rushwa na kupendeleana. Serikalini kunawatu wameajiriwa miaka ya karibuni lkn wamehonga na kupewa madaraja wasiyostahili. Mfano unakuta mwalimu...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Viongozi na kuhangaika kurekebisha mambo wanapotembelewa na viongozi ngazi za Juu

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya viongozi wakiwa na hekaheka za kurekebisha mambo yao wakijua watatembelewa na viongozi ngazi ya juu, utajionea vituko vya mahangaiko yao wakati siku zote walikuwa wamekaa kama hawaoni kuna kasoro au hawahusiki na kurekebisha. Utapigwa butwaa kama ni barabara...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa manispaa ya Temeke kuweni wabunifu

    Kwanza ni wape pole kwa kazi kubwa mnayoifanya ,viongozi wangu wa manispaa ya Temeke.Ninaimani kubwa na nyinyi ,hasa katika kuwaletea maendeleo wana Temeke wote. Pili,niipongeze manispaa ya Temeke ya kujenga kituo cha mabasi kwa kata ya Buza .Kwa kweli ni jambo la maana na lakupigiwa makofi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore awapa wananchi ruhusa ya kumuadhibu waziri kwa ufujaji wa fedha za umma

  14. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania DED Manyoni uwe na utu katika utendaji wako wa kazi, afya ni nguzo kuu ya mtu

    Habari wanajf, DED Manyoni uwe na utu Kwa watumishi walio Chini yako haswa ukizingatia afya ndiyo msingi wa rasilimali watu, Kipi kinakufanya kushindwa kumruhusu mtumishi wako Kada ya Uchumi ambaye anasumbuliwa na maradhi ya mapafu tena Kwa uthibitisho wa Medical Report ya Daktari kutoka...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya Kisiasa 2030

    Siasa ya Tanzania imekua katika mdidimio mkubwa kuanzia 2020 na sababu kubwa ni kutokuwa na Demokrasia ya kweli, wakati wananchi wakitaka mabadiliko na mfumo mzima wa uendeshahi nchi wanasiasa wa upinzani wamegeuka na kuwa wasaliti kwa wananchi na kurudi upande wa chama tawala. Wananchi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao hatutakuwa watumwa

    Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao (kununua magari ya kifahari, ziara za gharama nje ya nchi) wakapigania taifa kwa dhati hatutakuwa watumwa wa misaada ya kiteknolojia, fedha, na mengineyo.
  17. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Unakuabaliana na mimi kuwa tungekuwa na Wakuu wa Mikoa kama Makonda tusingekuwa na haja ya Wabunge?

    Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya. Ni hivi wakuu, mimi kwa ufatiliaji wangu wa utendaji kazi wa RC Makonda tangu aanze majukumu yake km Mkuu Wa Mkoa wa Arusha...
  18. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kazi tunayo, kila mahali ni Ufisadi

    Mikipo ndo mikipo Ufisadi ndo unakithiri Uchawa ndo usiseme Rushwa, uzembe makazini, shame on us
  19. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taasisi ya kuzuia na kumbana na rushwa iongeze nguvu katika kudhibiti rushwa katika vituo vya kupima uzito magari ili kulinda miundombinu ya barabara

    Taasisi ya kuzuia na kumbana na rushwa (TAKUKURU) inapaswa kushirikia na wizara ya ujenzi kupitia wakala wa barabara (Tanroads) ili kudhibiti vitendo vya rushwa kati ya madereva na mafisa wa vituo vya kupima uzito wa magari ili kusudi miundombinu ya barabara hasa za mikoani kuweza kudumu kwa...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Nilitumia pesa kidogo kwa ziara yangu ya Marekani

    Rais Ruto: Ndege yangu ya kwenda Marekani iligharimu chini ya Ksh.10 milioni. Hakuna njia ninaweza kutumia Ksh.200 milioni. Mimi ni msimamizi mwaminifu. Mimi si mwendawazimu. Lazima niwe kiongozi wa mfano na mjadala huo lazima ukome. ==== Pia soma: Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa...
Back
Top Bottom