uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli mabasi mengi ya shule (school bus) ni skrepa, tusisubiri hadi majanga yatokee ndio tushtuke

    Wakuu, Mabasi haya si mageni kwetu, baadhi yanabeba watoto wetu, wa jirani zetu na wengine watoto wetu ndio madereva kwenye magari haya, nina imani wote tutakubaliana kuwa magari haya hasa kwa hapa Dar ambako nimeshuhudia, mengi yanapumulia mashine, hayafai hata kidogo kutumiwa na na watoto...
  2. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania RC Iringa hafai, hamsaidii Rais kwani ameonesha dharau mbele ya Waziri Mkuu kwa kutetea ubadhirifu wa fedha

    NI aibu kwa Mkuu wa mkoa Iringa kutetea wabadhirifu wa fedha za umma mkoani Iringa, jengo la bwalo tayari zimeshatafunwa sh milioni 431 ujenzi hauleweki Mkuu wa Mkoa yupo tu anapunga kiyoyozi ndani ya ofisi. Madawati yaliyotengenezwa hayana ubora, mkuu wa mkoa unatetea waliofanya kazi hiyo ...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Kilimanjaro wachangishana kurekebisha barabara mbovu yenye urefu wa kilomita 72

    Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana fedha na kuanza ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 72 kwa kiwango cha changarawe. Eneo hilo...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aonya wanaodhihaki viongozi mtandaoni

    Ila CCM imejaa viongozi wengi wajinga, badala mtilie mkazo kwenye uadilifu, kukemea uchawa na wizi, rushwa na ufisadi, mnakuja kujitia aibu kwa ujinga kama huu! kwani nani hajui kukosolewa kwenu ni matusi? Kukosolewa kwenu ni uchochezi? Kukosolewa kwenu ni kuleta machafuko? Yaani kama hamtoshei...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Skendo ya Bashe na sukari ni kubwa kuliko, isiache ipite bila uwajibikaji.

    Ukiyasikiliza maelezo ya Bashe katika tuhuma za maamuzi na kutolewa vibali vya biashara ya kuingiza sukari yana walakini mwingi na kuacha maswali zaidi 1. Ni kweli Bashe anayo mamlaka ya kujifanyia maamuzi tu kwamba nchi ina dharura ya upungufu wa sukari yanayompa mamlaka ya kutofuata taratibu...
  6. ngatungas

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya maendeleo 2050, bila ya sera madhubuti zenye uwajibikaji ni kazi bure

    Bila shaka ni kwamba tunahitaji dira ya maendeleo itakayotuongoza kwa kipindi cha muda fulani,ili kufikia Malengo thabiti yenye maslahi mapana kwa nchi. je tuna sera imara ambazo zitawabana viongozi na watoa maamuzi ili waende sambamba na Dira hiyo bila kukiukwa??! jibu ni HAPANA. UWAJIBIKAJI...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya iongeze wigo wa uwajibikaji, sio kupanua demokrasia.

    Watu maskini na wajinga usiwapatie demokrasia pana sana, maana wataitumia demokrasia hiyo kwenye kuandamana, kidai huduma na kugomea mipango yote ya serikali Kila siku bila wao kitimiza wajibu wao. Tunataka katiba mpya ambayo itawalazimisha watu wote kufanyakazi na kuwajibika kwa matendo yao...
  8. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Wafungwa maisha kwa ukatili wa mtoto kwenye school bus

    Kuhusu kesi ya dereva na konda wa school bus kumkatili mtoto wa miaka 6, aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya star light pre and nursery school, Kinondoni, Dar es Salaam, watuhumiwa wote 2 walitiwa hatiani na walifungwa maisha kwa hukumu ya tarehe 22 mei, 2024. Kuhusu tikio hili soma: Mkuu wa...
  9. WAPEKEE_

    JamiiForums Tanzania SoC04 Magufulication: Mahakama ya ufisadi iwekwe kisheria kulinda mali za umma na uwajibikaji

    Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...
  10. Miyolo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko ya kufanyika ili kuchochea uwajibikaji katika ubadhirifu kwenye ripoti za CAG ili kujenga Tanzania Tuitakayo

    Utangulizi Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali hii inazorotesha maendeleo na kuathiri ustawi wa wananchi. Ili kujenga “Tanzania Tuitakayo,” ni...
  11. Last KING Ontuzu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hadithi ya Kiongozi Mkuu kuwa uchi na uhalisia wa hali ya kisiasa nchini

    Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837. Lakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili hutatumia nguvu nyingi kujua nini funzo lake kwenye Taifa hili. Hadithi: Zamani za kale, kulikuwa na...
  12. Mc Justine Mwakibiki

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua gani zichukuliwe kwa ubadhirifu unaobainishwa kwenye ripoti ya CAG ili kuchochea uwajibikaji?

    Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu. Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo ya kufanya kuongeza nidhamu uwajibikaji na morali kwa wafanyakazi kuifikia Tanzania tuitakayo

    Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi juu ya huduma mbovu kutokuwajibika kuombwa rushwa na kauli mbaya kutoka kwa watoa huduma katika maofisi ya umma. Ipo haja ya serekali kuanzisha dawati la huduma kwa wateja na kutoa namba maalum kama ilivyo kwa mitandao ya simu ili wananchi waweze...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya habari, mawasiliano na mitandao ya kijamii ilivyo fanikisha maandamano na mageuzi katika mapendekezo ya kodi, tozo na ushuru Kenya

    Hayakuandaliwa chini ya mwamvuli wa upinzani kama ilivyozoeleka. Hayana kinara wala kiongozi moja muwajibikaji... Organization na mobilization ya vijana waandamanaji imefanyika na kuchochewa kupitia mitandao ya kijamii tu.. Imepelekea ugumu kwa polisi kubabaika, kwasababu haikuwa rahisi...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kuangalia historia na matendo ya Mbunge wako unadhani 2025 anaweza kutoboa?

    Wakuu mko vyede? Uchaguzi Mkuu unakuja 2025, tumeshaanza kuona vimbwanga, ukifika mwaka wenyewe wa uchaguzi itakuwa balaa. Sasa hivi wabunge ndio wanakumbuka kurudi majimboni kwao, sasa hivi ndio wanapiga picha na watu wa hali ya chini, sasa hivi ndio wanajifanya wanajua sana kutetea haki za...
  16. Godyjons

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushirikishwaji wa wananchi katika uandaaji na mapendekezo ya bajeti namna unavyoweza kuchochea uwajibikaji nchi

    Katika nchi nyingi za kidemokrasia raia wana jukumu kubwa katika mchakato wa kupanga bajeti ya nchi, kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na mwitikio kwa mahitaji ya Umma. Miongoni mwao nchi hizo ni ICELAND, USWIS,URENO, BRAZIL na AFRICA KUSINI. Hapa nitaeleza 1. Njia zitakazo pelekea uwajibikaji...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nani ni genius kati ya Mpina vs Bashe au Tulia vs Mpina

    Naomba tutafakari nani genius kati ya hawa; Mh. Mpina vs Mh. Bashe Au kati ya; Mh. Tulia vs Mh. Mpina. Uwanja upo wazi. Pesa mbaya! ==== Pia soma: Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

    Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma. Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu...
  19. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Hivi rais kuhidhinisha pesa ili zifanye kazi ni hisani au ni wajibu?

    Wakuu Heshima mbele kwanza. Msikilize hapa mbunge wa makambako Deo sanga👇 Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema kuwa wanamekuwa wakimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu yeye ndiye anayeidhinisha fedha kwenda kutekeleza miradi mbalimbali kwenye majimbo. Sanga amesema hayo wakati...
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upuuzi kuifungia Twitter, kama tunachukia tabia chafu, tuifungie Serikali

    Nchi yetu imejaa watu wanafiki, ama wanaotafuta sifa za kijinga au wanaoishi kwa hadaa. Wanaotamka 1 lakini wanamaanisha 5. Hivi karibuni kumeibuka kelele za kinafiki toka kwa baadhi ya wanafiki kuwa mtandao wa X (zamani Twitter) ufungiwe eti unahamasisha ushoga. Ukiwauliza umehamasisha wapi...
Back
Top Bottom