Utumishi wa Umma ni Useless tu kwa siasa za Tanzania

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Mtu hajawahi kuwa hata Mkuu wa Kitengo au Principal Officer au hata tu Senior officer kwenye Utendaji wa Serikali eti leo anateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na anaenda kuwaongoza watu ambao wameshakuwepo kwenye nafasi za Ukuu wa Vitengo kwa miaka na miaka.

Huyu mtu pengine hakuwahi hata kuwa Mtendaji wa Kijiji. CCM hao! Utumishi wa Umma hauna thamani kabisa! Hivi kuna hata Murugenzi kutoka wizarani kateuliwa UDED kweli?

Wanasiasa wanadharau sana watumishi wa Umma, ndiyo maana hawa hawatakuja kamwe kukubali Katiba ingine. Yaani ndiyo maana hata mtu asiye GAIDI wanamfanya aonekane GAIDI. UKWELI MBOWE SIO GAIDI.
 
Mtu hajawahi kuwa hata Mkuu wa Kitengo au Principal Officer au hata tu Senior officer kwenye Utendaji wa Serikali eti leo anateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na anaenda kuwaongoza watu ambao wameshakuwepo kwenye nafasi za Ukuu wa Vitengo kwa miaka na miaka. CCM hao! Utumishi wa Umma hauna thamani kabisa! Hivi kuna hata Murugenzi kutoka wizarani kateuliwa UDED kweli?
Wanasiasa wanadharau sana watumishi wa Umma, ndiyo maana hawa hawatakuja kamwe kukubali Katiba ingine. Yaani ndiyo maana hata mtu asiye GAIDI wanamfanya aonekane GAIDI. UKWELI MBOWE SIO GAIDI!
Chief
Tafuta kula yako ya siku....haya mengine yawache tu yapite
 
Mtu hajawahi kuwa hata Mkuu wa Kitengo au Principal Officer au hata tu Senior officer kwenye Utendaji wa Serikali eti leo anateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na anaenda kuwaongoza watu ambao wameshakuwepo kwenye nafasi za Ukuu wa Vitengo kwa miaka na miaka. CCM hao! Utumishi wa Umma hauna thamani kabisa! Hivi kuna hata Murugenzi kutoka wizarani kateuliwa UDED kweli?
Wanasiasa wanadharau sana watumishi wa Umma, ndiyo maana hawa hawatakuja kamwe kukubali Katiba ingine. Yaani ndiyo maana hata mtu asiye GAIDI wanamfanya aonekane GAIDI. UKWELI MBOWE SIO GAIDI!
Pole ndugu,umenyimwa ulaji,usijali suburbia wakati ujao,mvumilivu hula mbivu.
 
uwa naandika humu, kuna ma-idiots wengi sana serikalini. Uwezo wa kufanya maamuzi sahihi upo chini sana. Yaani hierarchy ya utumishi hovyo kabisa
 
Mtu hajawahi kuwa hata Mkuu wa Kitengo au Principal Officer au hata tu Senior officer kwenye Utendaji wa Serikali eti leo anateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na anaenda kuwaongoza watu ambao wameshakuwepo kwenye nafasi za Ukuu wa Vitengo kwa miaka na miaka.

Huyu mtu pengine hakuwahi hata kuwa Mtendaji wa Kijiji. CCM hao! Utumishi wa Umma hauna thamani kabisa! Hivi kuna hata Murugenzi kutoka wizarani kateuliwa UDED kweli?

Wanasiasa wanadharau sana watumishi wa Umma, ndiyo maana hawa hawatakuja kamwe kukubali Katiba ingine. Yaani ndiyo maana hata mtu asiye GAIDI wanamfanya aonekane GAIDI. UKWELI MBOWE SIO GAIDI.
Pambana na hali yako

Kuna wakati nyie wazee mlotangulia kazini mnajionaga kama wateule wa Mungu
Shenz type
 
Hao wazee na hawa ma dc na maded kwio nani alikua Miungu watu!?? Hizi teuzi za kipumbavu ndio zimezalisha watu sampuli ya bashite,sabaya nk
 
Wenzako tuko Burundi kitambo! Wewe endelea tu kufa kwa msongo wa mawazo huko Bongo kutokana na hayo madudu ya miaka nenda! Yanayofanywa na hao Wakoloni wenu weusi.

Mimi kwa sasa huku Burundi naitwa Tate ishimana Mkuulunzinza!!
 
Aaahhh wapi? Mie mkulima kaka! Ninalima korosho huku Lindi! ila nina ka bachelor ka Sayansi ya Kilimo!
Huuu ujinga haukuwahi kuwapo Kabla ya Magufuli ..shenzy kabisa .....Japo walikuwa wanateua makada lakini angalau walikuwa kwenye mfumo wa Ajira za serikali na waalikuwa na seniors/principals officers sasa Unaletewa mkurugenzi hata Ku comment file na kulielekeza liende wapi hawezi anakuja kukuuliza subordinate yaaaani. Nchi hiiii
 
Sure!
 
Back
Top Bottom