Sheria ya Utumishi wa Umma inasemaje kuhusu suala hili?

Haji Mashaka Nassoro

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
377
825
Watumishi wa Drs la 7 walioondolewa kwenye utumishi wa umma mwaka 2017 halafu mwaka 2020 wakapewa barua rasmi za kusitisha ajira na kulipwa kiinua mgongo, likizo na nauli.

Swali je, kati ya mwaka 2017 - 2020 Yani miaka mitatu kipindi "wanasota" kusubiri hatma yao kuna stahiki yoyote kisheria wanastahili kulipwa?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom