Hope ni wazima wana JF,
Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua?
Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa wa kike Jesca, tulienda porini sio mbali sana na maeneo tunayoishi.
Baada ya kutembea tembea kidogo...
Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake.
Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
Ebu shea na sisi pengine wale wanaorithi kila kitu toka kwa wazazi watakiepuka kwenye malezi ya watoto zao.
Mimi nilikuwa nakatazwa sana kucheza kwenye majumba ya majirani. Wazazi wangu muda wote walitaka wanione nyumbani tena nikiwa mtulivu. Niliamini kutembea kwenye nyumba za jirani ni...
Na ndio chanzo kikubwa cha biashara nyingi zilizofanikiwa kuanza kuyumba pale baba akifariki kila kitu kinaparanganyika.
Unakuta familia tayari inajiweza kiuchumi inaingiza makumi ama mamia ya mamilioni kila mwezi lakini wazazi wanawakomalia watoto kusoma tu na matuisheni utadhani sio familia...
Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni
Marafiki wa kukutana makazini
Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki...
Matatizo yanayotajwa ni umasikini, migogoro ya familia au kuugua na kingine chochote ambacho kinaendana na utimamu wa Afya ya Akili.
Utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge cha England umebaini kuwa mtoto anapofikia hatua ya kufanya maamuzi wakati wa ukuaji wake anaweza kuathirika mfano kusahau...
Habarini wakuu sana.
Ipo namna hivyo. Watu ambao hawakupata lishe ya kutosha utotoni huwa wanapoteza uwezo wa kuchakata msosi. Yaani mwili wake unavyotumia chakula ni tofauti na mtu ambaye alipata lishe ya kutosha.
Sasa mtu huyu akipata pesa au uhakika wa msosi ukubwani, anajikuta anakula...
Mkurugenzi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Zlatan Milisic amesema uchunguzi waliofanya umeonesha wasichana watatu kati ya 10 wenye chini ya miaka 18, wapo kwenye ndoa za utotoni.
Zlatan amesema wanaoathirika zaidi ni wasichana wanaoishi vijijini huku akitaja madhara wanayokumbana...
Utangulizi:
Nchini Tanzania, Mtoto ni binadamu mwenye umri chini ya miaka 18, Ni tafsiri kutoka sheria ya watoto ya mwaka 2009, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, sehemu ya pili, kifungu cha nne, kifungu kidogo cha kwanza
Rejea: TLS – Online Legal Aid Repository
Kila mzazi/mlezi huwa nania...
Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake).
Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
Halmashari ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi inadaiwa kukithiri kwa tatizo la mimba na ndoa za utotoni huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni uwepo wa mila na desturi za baadhi ya makabila wanaoishi katika eneo hilo.
Tatizo hilo limebainika wakati shirika lisilo la kiserikali la Marie Stopes...
Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga ameitaka Serikali kuongeza nguvu ya kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza tatizo la mimba za utotoni huku akieleza moja ya sababu ni wanafunzi kufuata shule mbali na makazi yao.
Ametoa kauli hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
Nakumbuka nilipokuwa mdogo, shule ya msingi nilikwenda kumtembelea ndugu yangu mmoja, alikuwa anafanya kazi kijiji kimoja huko kanda ya ziwa, miaka hiyo.
Baada ya kufika kule kijijini, nikakutana na marafiki wa rika langu; wakawa wananitembeza mtaa kwa mtaa, ili niweze kufahamu mazingira ya...
Great thinkers,
Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?
-Ee...
Kwema!
Mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vizuri anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi kupata utotoni; kama mzazi alikuwa sahihi kwa nini? Kama hakuwa sahihi kwa nini? Huelewi bado...
Abuu Kauthar
Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao.
Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
Abuu Kauthar
Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao.
Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.