Ndoa za utotoni ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kwa wasichana. Sheria ya Elimu nchini Tanzania, ya mwaka 1978 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2016 inapiga marufuku ndoa za wanafunzi; hata hivyo, Sheria haijasema lolote kuhusu wasichana ambao hawako shuleni na kwa umri wao wangepaswa...
Hello!
Nadhani kila mtu anakitu ambacho kinampa furaha akikifanya Mimi binafsi kungalia movie ndio hobby yangu kubwa Sana ,na enjoy Sana kuangalia.
wakati nipo mdogo nilikuwa naangalia Sana muvi hadi nasahau muda kula yaani nilikuwa nikienda asubuh basi kurudi jioni ,nikirudi home nachezea...
Habari zenu ndugu zangu. Baada ya kuwajulia hali, ningepeenda niende moja kwa moja kwenye mada iliyonileta hapa. Bila shaka asilimia kubwa ya vijana tuliozaliwa na kukulia Dar es Salaam miaka ya 90, tuliwahi kucheza au kupitia michezo mbali mbali kama vile karate, ngumi, soka (mpira) na michezo...
Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini
Habari wanajamvi,
Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni.
UTANGULIZI
Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
Maisha ni safari ndefu
Pichani Mheshimiwa Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiwa bado mdogo
Hongera sana Mheshimiwa kwa kuchapa kazi
Source: Her Facebook Page
Msanii Kanye West kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha ya nyumba yao ya zamani alikuwa akiishi pindi akiwa mdogo
Na tukumbushane tu kuwa nyumba hii ndio ile ambayo aliinunua mwaka jana 24 April kwa Dollar za kimarekani ($225,000) kwa mujibu wa kanye west mwenyewe anasema nyumba hii...
Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
Wadau wangu wa JF natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya kujitaftia mfumo wa mkono kwenda kinywani kama kawaida mixer maVibe ya mechi ya leo Simba na Yanga sipati picha hahaha Anyway
Pia nipende kuwapa pongezi mabinti wote wazuri watakao pitia uzi huu coz nyie ndio chachu ya...
Asikwambie mtu, yule crush wa utotoni hasa mara nyingi inakua shule ya msingi ni mapenzi ambayo yanavuruga sana hasa ukizingatia mara nyingi mtu mabae unampenda anakua hana ata habari au aanajua unampenda ila hana habari na wewe yuko busy na yeye na crush wake.
Nakumbuka nilipokua darasa wa...
Kichwa cha habari chahusika
Mimi nilipendelea zaidi mchezo wa kombolela
Tule tumbakishie Baba
Mdako
Tobo ngumi
Kombolela
Kujipikilisha
Tayari bado
Kibabababa
Michezo hii ilijenga afya zetu na kuimarisha upendo baina yetu
Karibuni tuchangie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.