uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Kuzingatia kariba za watu kwenye usaili na uteuzi kutachochea uwajibikaji

    UTANGULIZI Imetokea mara nyingi tumesikia Rais akiteua au kuchangua watu mbalimbali kushika nyadhifa serikalini au pengine watu kuitwa kwenye usaili wa kazi ili kuchambua na kupata wafanyakazi bora. Pamoja na ujuzi na uzoefu wa watu, ili kuteua au kupata wafanyakazi wenye weredi na ufanisi...
  2. SoC03 Kuongeza uwajibikaji katika nafasi za kuteuliwa

    Utaratibu wa uteuzi kwa jinsi mamlaka husika itakavyoona inafaa huenda ulifaa sana miaka ya zamani kutokana na uhaba wa wasomi na sababu za kiusalama. Kwa miaka ya sasa ambapo mbinu za kiusalama zimekuwa za kisasa zaidi na wanafunzi takriban 100,000 wanajiunga na vyuo vikuu kila mwaka, nchi yetu...
  3. Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  4. Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  5. G

    SoC03 Kuimarisha Utawala Bora kwa Kupunguza Ushirikiano wa Kisiasa katika Uteuzi wa Viongozi wa Serikali

    Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya umma na kusababisha...
  6. R

    Bunge laidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa (NIS)

    Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imeidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Usalama wa Taifa (NIS). Haji atakula kiapo siku chache zijazo akichukua nafasi ya Philip Kameru ambaye anatarajiwa kustaafu baada ya kuwa madarakani NIS tangu Septemba 2014. Rais...
  7. Uteuzi: Rais ateua Makatibu Wakuu Watatu na Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). ii) Amemteua...
  8. Uteuzi: Watatu wapewa hadhi ya Ubalozi, yupo Katibu Mkuu Kiongozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama ifuatavyo:- 1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi; 2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia masuala ya Siasa kuwa...
  9. Rais Samia ateua Mtendaji Mkuu TANROADS na Naibu Makatibu Wakuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- 1. Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barbara Tanzania (TANROADS). 2. Amemteua...
  10. Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko madogo ya vituo vya kazi

    1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao: Amemteua Bw. Tito Philemon Mganwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe; na Amemteua Bw. Mussa R. Kilakala kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Aidha, Mhe. Rais...
  11. Uteuzi mpya wa Rais Samia, leo Juni 8, 2023, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MOI

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi kadhaa, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake Omar Issa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela...
  12. Napinga Uteuzi wa Saitoti Zelothe Stephen kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri Handeni, hana Sifa

    Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi. Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama. Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha...
  13. Napinga Uteuzi wa Kagurumujuli kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, hana Sifa

    Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu. Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji ya kijinga ya Akwilina alipokuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, akishirikiana na Lazaro...
  14. F

    Watanzania tuweke attention yetu kwenye suala la kubinafsishwa kwa bandari, habari za uteuzi wa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri sio ishu kubwa

    Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa...
  15. Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
  16. H

    Niyawazayo kuhusu uteuzi wa Chief Scout wa Simba

    Nawasalimu. Wiki hii Klabu ya Simba imemteua Mholanzi, Melis Daadler kuwa msaka vipaji mkuu(chief scout )wa Klabu. NIna mtazamo tofauti na watanzania walio wengi wanaodhani kaja kusajili wachezaji dirisha hili ili simba abebe ubingwa msimu huu. Lengo la timu ni la muda wa kati na mrefu. Wengi...
  17. Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mabalozi kama ifuatavyo: 1.Amemteua Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Mwaisaka alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ). 2.Amemteua Meja Jenerali...
  18. Baada ya Kuvutiwa na Uteuzi wa Mwanza, najiandaa Kufungua huko Kiwanda Kikubwa cha Vibiriti

    Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
  19. B

    Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

    Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla. Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote. Usiogope...
  20. Rais Samia amemteua Mussa Makame, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi (Portfolio Investment Advisory Board). Aidha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…