utawala

  1. JamiiForums Tanzania Dalili za Utawala unaoelekea 'kaburini'

    Na Mwinjilisti Kamara Kusupa. DALILI ya kwanza na ya wazi ya utawala ulioshindwa ni ukatili. Utawala ulioshindwa kuiendesha nchi lakini bado uko madarakani ni lazima utatawala watu kwa ukatili mkuu. Dalili nyingine ya watawala walioshindwa kutawala lakini bado wakawako madarakani ili kusogeza...
  2. JamiiForums Tanzania Katika awamu zote za Utawala hapa Tanzania, Utawala upi kwako ni bora. Wa kwanza, pili, tatu, nne...

    Kwangu, orodha yangu napanga kama hivi: Wa kwanza: - Rais Ali Hassan Mwinyi. Huyu jamaa ni mwana sana, ndio maana bado anaishi hadi sasa sababu hakuwa na madhambi ya kijinga! Kwa mtazamo wangu huyu ndie aliyetoa nchi kwenye lock down ya kiuchumi. Wananchi walikuwa na mawe balaa enzi zake! Wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiutazama Utawala wa Rais Magufuli kwa upande mwingine unatoa somo kali sana

    Mwigulu Nchemba wakati ni Waziri wa Mambo ya Ndani nilitoka nikamshutumu waziwazi kupotea kwa Ben Saanane, Mauaji Soweto na kuuawa kwa Police wetu kule Mbagala ila alianzisha uzi humu kunishambulia kwamba hakuna ninachokijua ila kama angejiongeza angejiuzulu kuliko kungoja kutimuliwa kama mbwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii, Rais Magufuli anakiri kuna mabaya yanafanyika chini ya utawala wake?

    Hii hapa chini ni tweet ya leo ya East Africa Tv wakimnukuu Raisi Magufuli: 'Tutaendelea kujenga barabara za mtaani kwa lami kwasababu tumepanga katika mapato tunayokusanya ni lazima asilimia 40 itumike kujenga miundombinu yetu, ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Paskal Mayala mbona hudadavui kuhusu chuki hii inavyoenea utawala huu?

    Paskali fahamu kuwa hata kabla sijaamua kujiunga rasmi JF nimekuwa nikisoma sana nyuzi zako. Mara nyingi umekuwa ukianzisha nyuzi ambazo na mimi nakuwa nimezifikiri na hivyo unakuwa umeniwasilishia kwa hakika. Lakini sio zile nyuzi ambazo sometimes zinafanya usieleweke. Leo Paskali naona...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe yafanya toba kwa mabeberu. Yatunga sheria ya kurudisha ardhi iliyoporwa na utawala wa Mugabe.

    Zim to give back farms taken under land reform programme 20:20 10/03/2020 Crecey Kuyedzwa Zimbabwe has announced plans to give back land controversially taken over under its controversial fast track land reform programme, which started in 2000. The programme, which was criticised for being...
  7. JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

    Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Paul Makonda, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua...
  8. JamiiForums Tanzania Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

    Wanabodi Salaam. Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
  9. JamiiForums Tanzania Maneno ya mwandishi Ansbert Ngurumo juu ya utawala wa awamu ya tano

    Msikilize Ngurumo
  10. Z

    JamiiForums Tanzania CCM waliojiita wanamtandao bado wanataka kusifiwa nje ya utawala

    Makamba alishika ukatibu mkuu baada ya Mangula. Likaundwa kundi lilioitwa wanamtandao. Wakawatenga wana CCM wengine. Mtu kama Mangula alisahaulika kabisa akawa mtu wa kijijini, Iringa. Nafasi ya katibu mkuu ikawa ni ubingwa wa vijembe, akajisahau na CCM ikakosa umaarufu akiwa hana habari...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dhamana katika tawala zenye kuheshimu wajibu wake ni haki ya mtuhumiwa

    Dhamana mahakamani au polisi ni haki ya kila mtuhumiwa. Hii ni pasipo na kujali tuhuma mtu alizo nazo pale inapodhihirika wazi kuwa mtuhumiwa atapatikana muda atapohitajika pasipo na kukosekana. Ona kama hivi kwa majirani zetu...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuchika: Ukihisi umeonewa kwa kuwekwa ndani bila makosa fungua mashtaka

    Mzee George Huruma , Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais inayoshughulikia Uawala Bora kwa kweli umetufungua macho. Nimeona hii clip mahali. Kuna figisu figisu nyingi za kuchomeana na kubambikiwa kesi zinazoendelea nchini. Kuna maRC, maDC wanaona raha kumweka mtu ndani ili tu kujimwambafy. Kumbe...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya utawala wa Rais wa Urusi katika picha

    Picha mbali mbali zinazomuonyesha rais wa Urusi Wakati wa utawala wake wa miaka 20 Vladimir Putin: Miaka 20 ya uongozi ndani ya picha 20
  14. JamiiForums Tanzania Mfumo gani bora wa utawala unaifaa dunia?

    Wakati duniani kote kuna harakati kubwa za maandamano ya wananchi wanaotaka mabadiliko ya utawala kwa nchi zao.Harakati hizi zinakwenda sambamba na mauwaji makubwa ya waandamanaji kutoka kwa watawala.Wapo ambao baada ya hasara wanazozipata wanafanikiwa kupata wanachokitaka. Wale ambao...
  15. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Binadamu na Utawala Bora yaangukia vyombo vya habari

    Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji mstaafu Mathew Mwaimu, amesema tasnia ya habari kuwa ndio wadau wakubwa wa haki za binadamu nchini. Jaji Mwaimu alisema hayo jana katika mkutano uliofanyika Zanzibar wa kuwajengea uelewa wa pamoja makamishna wa tume...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na utawala wa Dr John Magufuli

    Viongozi wa dini zote wanalojukumu kubwa la kujenga mioyo ya wanachi kwa kutekeleza yale Mungu anayoyataka na kuya acha yale Mungu anayokataza. Hili linathibitika katika dini ya Kiislamu tunapo ambiwa katika Quar-an takatifu kuwa litoke kundi miongoni mwenu litakalowaamrisha watu mema na...
  17. JamiiForums Tanzania Tottenham yamtimua Pochettino na benchi lote la ufundi. Jose Mourinho ateuliwa kuinoa Klabu hiyo

    Klabu ya Tottenham Hotspurs imemfuta kazi Kocha wake Mauricio Pochettino mwenye miaka 47, baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka mitano Taarifa ya timu inasema matokeo ya mwishoni kwa ligi za ndani msimu uliopita na matokeo ya msimu huu si ya kuridhisha Pochettino aliyeiongoza timu hiyo kufika...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

    Na Mwamba wa Kaskazini Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa. Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi Utawala wa Rais Magufuli unavyoua ushawishi wa vijana ndani CCM

    Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo 12 yanayoipasua Tanzania vipande vipande kutoka utawala wa awamu ya 5

    Kuna mambo mengi sana yanayo isambaratisha Tanzania kutoka utawala wa Magufuri, ila nitataja 12 tu; 1. Ni mropokaji kwa kuwa anapoongea hajali kadamnasi imayomsikia. Matusi ya nguoni ndiyo lugha yake ya kawaida. 2. Hapendi upinzani kwa kuwa akiruhusu atashindwa asubuhi. Ndiyo maana katumia hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…