utawala

  1. M

    Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

    Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri. Sasa najiuliza, kama...
  2. Uzuri wa Mama Samia hana Kabila lolote kwa Bara, mambo ya ukabila utawala wake tusahau

    Katika jambo ambalo limelalamikiwa sana lilikua ni suala la ukabila. Watu wengi walikua na manung'uniko ya chini kwa chini kua kabila moja kubwa hapa nchini ndio lilikua linawaweka sana ndugu zao juu mpaka ilifikia mpwa wa mtu anafanya kazi ngazi nyeti na watu walipohoji wakaambiwa eti wana...
  3. Pongezi Waziri Mchengerwa kwa kuahidi kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma

    Sina maneno mengi sana ya kusema nimeona na kusikiliza clip moja hivi " Unasema kazi ya kwanza ni kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma Tanzania. Kama ulichokisema ni dhamila yako ya dhati na Serikali ya Mhe, Rais Samia Suruhu Hassan imedhamilia kwa dhati, pokea hongera na...
  4. Prof. Lipumba: Rais Samia ajiwekee malengo ya kushinda tuzo za Mo Ibrahim kwa kurejesha Utawala bora na Demokrasia

    Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya demokrasia. Ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini...
  5. L

    Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili masikini na ufisadi

    Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili maskini na ufisadi Kulingana na takwimu za benki ya dunia, mwaka 1960 China ilikuwa maskini kuliko baadhi ya nchi barani Afrika. Kwa mfano mwaka 1960, mgao wa pato la kitaifa kwaChina ulikuwa dola 89 tu, wakati DR...
  6. Ifikie mahali utawala uliopo madarakani utambue haya

    1. Lengo la kukabidhiwa dola sio kufanya maisha yetu kuwa magumu kwa makusudi. 2. Hii nchi ni yetu sote, kuwa katika nafasi mlizopo ni kwa mchango mkubwa wa raia ambao mmeamua kuwafanya wanyonge makusudi. Kweli muamue tu kuvuruga mitandao ya simu kwa kuwa mmejiskia tu kuumiza raia? Raisi wetu...
  7. Kwa ufupi sana, Mtazamo wangu kwa Utawala wa Mama Samia

    Kwa Marekani wataalamu wa siasa za ndani kama Bob Bequn wanasema hivi "Siasa za Marekani zimegawanyika katika makundi makuu manne, kwanza ni siasa za Washington ambako umaarufu wa mtu kisiasa unaweza kuibuka kama uyoga na kuanguka ghafla kama jani kavu. Pili ni siasa za New York ambako siasa...
  8. UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

    Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge. Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.
  9. Kwanini Bosi wa TAKUKURU anavaa sare za Jeshi? Nini taswira ya Utawala wa Kiraia?

    Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru Teuzi za wanajeshi zilishamirishwa na hulka ya Mtawala aliyepita, Hayati John P. Magufuli ambaye aliamini katika matumizi ya vitisho, nguvu na mabavu katika uendeshaji wa shughuli za Serikali. Je, bado CCM na Mh. Samia Suluhu Hassan wanaona fahari kwa...
  10. J

    Utawala sikivu heleta maelewano kati ya kiongozi na wanaoongozwa

    Utawala au uongozi sikivu ni ule unaosikiliza maoni, maombi au maswali ya wanaongozwa na kuyatolea ufafanuzi kwa namna na wakati sahihi. Kufanya maamuzi kwa wakati bila kungoja na kutoa ahadi zinazotekelezeka ndio msingi wa utawala sikivi. Ufafanuzi unaotolewa na uongozi si lazima uwe chanya...
  11. Utawala wa Hayati Dkt. Magufuli ulijaa kiburi, majigambo na uonevu, ufitinishi na visasi

    Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli. Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia. Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha...
  12. Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

    Halina ubishi hata kiduchu kwa miaka yote tangu mwaka 1995 hayati JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha barabara za Tanzania zinaunganika. Na kweli sasa hivi nchi imepiga hatua kwa kuwa na miundo mbinu mizuri. Pia alipokuwa rais wa JMT aliwakingia kifua wamachinga wasiwekewe kiwingu na kufanya...
  13. Rais Samia Suluhu ametoa moja ya hotuba bora sana, nina matumaini ataziba nyufa nyingi za utawala uliopita

    Binafsi nilikuwa na mashaka na namna atavolimiliki jukwaa mbele ya viongozi wabobezi na malegandary wa siasa za kusini mwa Afrika. Ila ukweli kabisa nimeridhika, kwa hotuba ya leo nampa maksi 97% hizo maksi 3% nilizomnyima ni makosa madogo madogo ambayo nadhani yanachangiwa na ugeni na...
  14. J

    Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana. Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani? Je, ni Ufipa? Na kwanini mwakani watakosa chakula? Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe. Maendeleo hayana...
  15. Miundo ya utawala wa Tundu Lissu na Magufuli inaweza kufanana, tofauti ndogo ni kwenye matumizi ya sheria na diplomasia

    Nimejaribu kwa muda mrefu kuwafananisha hawa viongozi wawili ambao mmoja ametangulia mbele za haki kwa mapenzi ya Mola, Hawa viongozi wawili ni Energetic na Ni wakali sana kwenye rasilimali za nchi na ni wazalendo wa kweli. Tofauti ya ndogo iko katika vipande hivi; 1. Tundu Lissu ni mwanasheria...
  16. TANZIA Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Mkoa wa Mara, Jeswald Majuva afariki dunia

    TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021. Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye...
  17. Tathmini ya Utawala wa Ali Hassan Mwinyi (1985-1995) kama Rais wa Tanzania

    Kwa sababu ya miaka 23 mfululizo ya kutawaliwa na Kiongozi mmoja, baadhi ya Watanzania waliathirika kisaikolojia kiasi kwamba waliamini hakuna kama Nyerere, na wengine wakahofu kuwa bila Nyerere, Tanzania haingekwenda, na labda amani ingetoweka! Yalikuwa ni maluweluwe ya kisaikolojia! Mwaka...
  18. I

    Utawala bora zama za awamu ya tano upo

    Enzi zile unaenda ofisini kuonana na afisa elimu au mkurugenzi unakuta wabeba mafaili wanakushikiniza uwaambie kwanza unataka kumwambia nini unaetaka kumuona na bila kuwambia hivyo viranja/wabeba faili unapewa jibu kuwa bosi hayupo bila kujali umbali na gharama za nauli, vumbi ulilokunywa na...
  19. L

    Kutokomeza umaskini ni matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa

    Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo. Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
  20. Swali fikirishi. Kwanini Rais Magufuli hakugusia viwanda cha tumbaku na cha Hezi Mazava vilivyofungwa kwenye utawala wake?

    Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja. Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka. Baadaye kidogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…