utawala

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukitawaliwa na mihemko katika utawala huwezi kufanya kazi yako vizuri

    Siyo Kwa sababu ni mwanamke mwenzangu, hapana ni Kwa sababu ni mama na ni kiongozi anaewakilisha vyema maana ya utawala wa demokrasia. Mtaongea vibaya juu yake, yeye kimya na kupiga Kazi, mtamdharau Kwa uanawake wake yeye kimya na kuendelea kupiga Kazi. Tukienda mbele na kurudi nyuma hakuna...
  2. Kwitogelo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Zuwena unautakia nini huu utawala?

    Mdogoangu Chibu umeyakanyaga kwa hasira zako za kupigwa moja pointi saba bilioni na wewe ukaamua kuwasema kiaina hivi na kusahau kwamba na huko utawalani kuna watu wenye miakili mingi kama wewe au hata wakakuzidi kabisa kiakili? Anyway, umetuwakilisha vizuri sisi walala hoi kumsema Zuena huenda...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuruhusu mikutano ya kisiasa, Rais Samia afute Sheria zote, zilizopitishwa katika utawala wa awamu ya 5, zilizotaka kuiua Demokrasia yetu

    Ni dhahiri kuwa Kwa Kila mpenda Demokrasia hapa nchini, anapaswa ampongeze Kwa dhati, Rais Samia Kwa hatua alizochukua za kishujaa za kufutilia Kwa mbali zuio haramu, lililokuwa limewekwa na mtangulizi wake, mtawala wa awamu ya 5. Mwendazake Magufuli, za kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 21 kwenye Utawala Bora na Demokrasia Afrika

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim inayoangazia masuala ya Utawala na Demokrasia kwa Nchi za Afrika (IIAG), imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 21 kati ya Nchi 54 zilizofanya Vizuri kwenye Utawala Bora mwaka 2022. Hata hivyo, Tanzania haijafanya vizuri kwenye kipengele cha Ushiriki, Haki na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Serikali za Afrika zimerudi nyuma kwenye Utawala wa Bora na Demokrasia

    Ripoti Mpya kuhusu Utawala Bora barani Afrika iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim imeonesha kwa miaka 3 iliyopita, Maendeleo ya Binadamu na Uchumi yameshuka kutokana na kudorora kwa Demokrasia na hali ya Usalama. Pia, imeonesha Serikali za Nchi nyingi zimekuwa na Ukiukaji wa Haki za Kiraia...
  6. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

    Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Chungu ya miaka 6 ya utawala wa Hayati Rais Magufuli

    Miaka sita ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ilikuwa mwiba kwa Chadema, inayotimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kwa kuwa zilifunguliwa kesi nyingi zilizowahusu viongozi, wanachama na wafuasi pamoja na kushambuliwa, kuuawa na wengine kutoweka. Licha ya...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je,Utawala wa Rais Hassan ndio Umemfitini James Mbatia NCCR-Mageuzi, je, Tanzania Mpya yenye uponyaji

    Hello JF Wote au baadhi tunafahamu namna James Mbatia alivyo na amejidhihiri kuwa mstari wa mbele kuonya, kushauri na kukemea maovu kwa namna ya heshima, unyenyekevu na staha yenye uzalendo kwa nchi yake. Ni ajabu kuona yaliyotokea juu ya nafasi yake ya uenyekiti wa NCCR Mageuzi katika...
  9. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Ili kumaliza matatizo mashariki ya Congo ni lazima kung'oa utawala wa Kitutsi Rwanda

    Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli. Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda. Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Utawala wake hautatulia abadani

    Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea. Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa...
  11. sammosses

    JamiiForums Tanzania Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni trojan Horse, siyo Mpinzani ni sehemu ya Utawala!

    Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure. Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Kikwete umesahau dhana ya KUJIVUA GAMBA kwenye utawala wako leo unamwambia mwenzako anavumilia upuuzi

    Rais Mstaafu Kikwete anamwambia Rais Samia kwamba kwenye utawala wake hakukubali upuuzi Lakini watanzania wote bado tunakumbuka nchi alivyoitumbukiza kwenye matatizo mengi kama uendeshaji duni wa chama na Serikali mpaka ikafikia hatua hatua ya KUJIVUA GAMBA ili kuinusuru CCM. Nchi iliingia...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Watu wazuri hawafi haraka - ni blackmail kwa utawala

    Kila nikitafakari kauli ya "watu wazuri hawafi haraka" inanichanganya maana ninaiona kama blackmail kwa utawala
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tulitishwa sana Story ya Mapank ya Samaki na Utawala wa Mkapa. Sasa Tujadili kwa Uhuru

    Nilienda nchi Fulani ulaya miaka kadhaa ilopita nilipata marafiki wawili wanaosoma ujasusi katika nchi ya ulaya. Mmoja alikuwa mjapani mixer na italiono, mwingine Mjerumani mixer na mfaransa. Hawa watu wanaijua Tanganyika, Zanzibar, na Tanzania na matukio yake yote. Walinipa VCD na DVD matukio...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM ni Chuo Kikuu kisichobadilika, ubora wa utawala bado uko chini

    Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM. Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu! Wanafunzi ndio wanahangaika kupiga simu chuoni kuwakumbusha watawala kwamba wao ni wahitimu. Chuo...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye kiongozi niliyemkubali kuliko wote ktk utawala wa hayati Magufuli

    Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani. Jamaa alikuwa anaongea mambo ya kitaalam Kwa nguvu nyepesi Sana. Nikiwa kwenye Bajaji na jamaa wawili waliokuwepo Geita enzi za huyo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mkandarasi wa CIA kilicho leta majonzi kwenye utawala Iran

    Katika hali isiyo ya kawaida Jeshi la Marekani lilipata pigo la mwaka ndani ya ardhi ya Iraq baada ya mmoja wa watu muhimu sana ndani ya Jeshi lake kuuwawa ktk tukio ambalo lilifanya USA kumualika rafiki yake wa Israel kusaidiana kuteguwa kitendawili maana mtu alie kuwa ameuwawa sio tu alikuwa...
  19. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you. Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi. Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike. Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa jengo la utawala Monduli waleta mvutano

    UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MONDULI WALETA MVUTANO Na John Walter-Arusha Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Monduli Thomas Meiyan, ameiomba kamati ya ulinzi na usalama iliyopo chini ya mwenyekiti mkuu wa wilaya hiyo Frank Mwaisumbe kuharakisha uchunguzi wake uliokuwa unaendelea ili...
Back
Top Bottom