utawala

  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika Taifa

    Utawala ni Hali inayoakisi sifa nyingi zilizopo kwenye Matabaka Makuu Mawili ambayo yanaunganishwa na Tabaka liitwalo Mifumo/Mfumo. Sifa kama Utii,Uzalendo,Ukarimu,Ubunifu,Kujitoa,Misimamo Madhubuti,Utu,Kujituma,Ushirikiano na kadhalika. Hizo ni baadhi tu za Sifa zilizopo kwenye Tabaka la...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania William Ruto aahidi utawala wake kutoingilia mawasiliano ya watu

    Ruto amewahakikishia wananchi kuwa atakapopewa Mamlaka kamili ya utawala, watu watakua huru kuwasiliana bila hofu ya kuingiliwa faragha zao na mamlaka. Akionekana kugusia ujasusi unaofanywa na mamlaka, Rais Mteule ameahidi kuirudisha nchi hiyo kwenye misingi ya Demokrasia na kwamba mtu yeyote...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Andiko la mabadiliko chanya katika jamii kwenye nyanja mbalimbali zikiwemo za elimu, uchumi, kilimo,utawala, afya, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
  4. Mr Excel

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kigoda cha Uzalendo na Utawala Bora

    Mchezo wa kuhamisha Kigoda kumpatia mwenzako ni rahisi sana wengi wetu tuliucheza utotoni na tuliibuka washindi wa kukaa muda mrefu na kigoda bila ya kutetereka au kukosea na hii ilitupa ujasiri na kukuza ushupavu mbele ya watoto wenzetu. Je, Kigoda Cha uzalendo kwa mtu na mtu hivi sasa upo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala bora

    Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi. utawala bora no utawala unaozingatia misingi ya haki, taratibu na kanuni kwa mujibu wa sheria ambazo nchi...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Huu Utawala, Hakuna kitu utafanikisha

    Hakuna hata project moja watakayoimaliza achilia mbali hata walizozikuta ambazo zilikwisha anza. Ukiondoa blah blah hakuna kitu ambacho kitafanyika, mpaka sasa hivi kila kitu ni failure, wameahidi kuwaongeza Wafanyakazi Mishahara 23% kwa mbwembwe nyingi na kejeli sijui walifikili Julai...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ushiriki Huru wa Wananchi Katika Shughuli za Kisiasa Ndiyo Msingi Thabiti wa Utawala Bora

    Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia. Lengo kuu la...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushirikishwaji wa Wananchi katika utekelezaji wa maamuzi ni nguzo ya Utawala Bora

    UTAWALA BORA huusisha ushirikishwaji wa wananchi wote walioko ndani ya jamii au nchi kiujumla juu ya utekelezaji wa maamuzi pendekezwa na viongozi Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi ndani ya jamii na taifa kwa ujumla kwa kuzingatia haki na usawa wa kila mwananchi aliye ndani ya jamii husika...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora ni Uzalendo sio matokeo ya Siasa wala Diplomasia

    Utawala bora tunaweza kusema ni namna ambavyo waliopewa dhamana wanaendendesha taasisi na shughuli za umma katika kusimamia rasilimali za umma, haki za binadamu kwa kuzinagatia sheria ambazo kama nchi imejiwekea likini siasa nikimnukuu moja kati ya platinum member wa jamii forum akimjibu swali...
  10. Kelvaskamwela

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu ......napatikana Mbeya

    Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu Tumaini university ......napatikana Mbeya
  11. Ms drya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Misingi ya Utawala Bora ni ipi? Tufanye nini ili tuwe na Utawala Bora?

    Habari zenu Wana JAMII FORUMS, Hususa ni jukwaa la "STORIES OF CHANGE" Nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Andiko hili litaangazia katika ngazi za utawala Hususa katika misingi ya utawala bora ni ipi?hali imekua tofauti kwa kipindi Hiki misingi ya...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kutoa rushwa kwakuwa hakuna uwajibishwaji wa watoa na wapokea Rushwa?

    Rushwa, iwe ya kiwango kidogo au kikubwa, inakatiza na kuzuia utawala wa sheria kutekelezwa ipasavyo. Ni kikwazo kikubwa katika utawala bora kwani huathiri sekta ya umma na binafsi na kusababisha watu kushindwa kufikia maendeleo stahiki na huduma bora za kijamii. Vitendo vya Rushwa vina athari...
  13. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania 'Hangover' ya propaganda za utawala wa Magufuli zitadumu kwa baadhi ya watu milele

    No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali. Media zote nchi, binafsi na zile za serikali hadi zile ambazo ziko tu online ambazo hazina usajili wa serikali zilijaa woga...
  14. Kikapuu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu bora ni ipi?

    Utangulizi. Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine (Wikipedia). Elimu...
  15. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kasi ndogo ukuaji wa uchumi wa nchi, chanzo Utawala mbovu: Je, kuna suluhisho?

    Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
  16. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC02 SHAIRI: Utawala unaotawaliwa

     Kwanza salamu hadhira, Hali yenu vipi shwari, Nataka niwape dira, Mimi nipo juu ya dari, Japo kuwa Kuna swira, Sitoiogopa hatari, Nasihitaji ngawira, Isikilizeni habari. Utawala waparaza, Kama Simba aliye nyikani, Unyonyaji unaanza, Wakijiita wahisani, Kumbe wenzetu ndo Kwanza, Wanaipima...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Yaliyomfika Rais Ali Hassan Mwinyi katika utawala wake 1985 - 1995

    Kwa hakika kipindi cha utawala wa Mwinyi hakupungukiwa na watu waliokuwa wanaona raha kumshambulia. Ilisikitisha kuwa kulikuwa na magazeti yalimpa nafasi Reverend Mtikila kumshambulia Rais. Kuna baadhi ya vijana wa wakati ule waliona wana wajibu na dhima kubwa ya kumtetea Rais pale...
  18. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Fumbo na jawabu la Utawala Bora

    Kwanza kabisa nipende kumshukuru mungu kwa nafasi hii, Natumai sote tuwazima. Wenye maradhi na shida mbalimbali mungu awaongoze na awasaidie. UTANGULIZI . Nini maana ya utawala ? Utawala ni Hali ya kuwa na mamlaka na haki ya kuongoza. Dhana hii ya utawala ndio itakae tupeleka katika...
  19. RealMimi

    JamiiForums Tanzania Aliesomea uhasibu na aliesomea Utawala (HR) anaweza kufanya kazi law firm?

    Kama mtu amesomea maswala ya uhasibu na mwingine aliesomea HR anaweza kufanya kazi law firm? Na huwa ni kazi zipi?
  20. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini utawala wa Nyerere ulikumbwa na misukosuko mingi ukilinganisha na utawala wa Mwinyi, Mkapa na wengine?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salamu, ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu watanzania, baba yetu wa Taifa mwl Julius K Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa muda wa miaka 25. Kwa muda wote huo wa uongozi wake, nchi yetu ilikumbwa na misuko suko mingi ambayo haikuja...
Back
Top Bottom