utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania Utawala Bora huongeza uwazi kwenye Matumizi ya fedha za Umma

    Uwazi katika Matumizi ya fedha za Serikali huleta Nidhamu na kuimarisha Utendaji wa Watumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Huziba mianya ya Wizi na Ufisadi, pia hutoa Motisha ya kulipa Kodi kwa Wawekezaji na Wafanyabiashara ambao huchangia asilimia kubwa ya pato la...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Aibu: Taliban wanapotuzidi kwenye utawala bora

    Utawala bora ni dhana pana. Hata hivyo kuzidiwa katika lolote kwenye dhana hiyo na wataliban wa Afghanistan tunapaswa kujiuliza tunakwama wapi. Nepotism - Yale mambo yetu ya kujuana na kupeana ajira kindugu, mtaliban hana mzaha. Enyi wenye u-bin wenye kujinasibu na vigogo madarakani au...
  3. K

    JamiiForums Tanzania THRDC: Ujio wa Kamala Harris ni matokeo ya kuimarika kwa Haki za Kibinadamu na Utawala Bora

    Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri. "Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
  4. Ngongo

    JamiiForums Tanzania David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

    David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora. Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma. Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU. Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti...
  5. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa kuna mtu hamwelewi Rais kweli?

    Mimi naona huyu Mama kaletwa na Mungu kuwa Rais for a purpose. Hebu angalia yafuatayo; 1. Ameondoa retention fee ya loans board kwa wanafunzi ambao tulikuwa tunasuffer kwelikweli. Kila mwaka mkopo ulikuwa unakua whether unafanya kazi au hifanyi. JPM hakufilia kabisa hilo japo inasemekana...
  6. winnerian

    JamiiForums Tanzania Tukope Trilioni moja kuukarabati mfumo wa Utawala Bora na Sheria ili kumaliza yote yanayoirudisha nchi yetu nyuma

    Kuukarabati mfumo wa "Utawala bora" pamoja na sheria zetu ili kuziba na kurekebisha mianya, nyufa, matobo, maadili mabovu, uzembe ofisi za umma, pamoja na mambo yote yanayoifanya nchi yetu iende kinyumenyume ikiwa jitahada za dhati zinafanyika na viongozi wakubwa lakini bado matokeo...
  7. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Tanzania hatuna viongozi bali tuna Wanasiasa

    Habari za saa members wote, leo kwa uchache ningependa kulizungumzia taifa kwa namna linavyo endeshwa. Mpaka sasa ndani ya taifa letu la Tanzania taaluma nzima ya uongozi imepotea kabisa na siasa za kizandiki zimetamalaki kila pande. Taifa hili limeshindwa kupata uongozi/viongozi kwa muda sasa...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Digitali ni Muhimu Katika Utoaji wa Huduma Bora za Serikali

    Katika dunia ya leo, si tu biashara zinazopeleka huduma zao mtandaoni, pia kuna mabadiliko ya kidigitali kwa serikali. Serikali zimekuwa zikilazimika kupitia mabadiliko mbalimbali kadiri mahitaji na matakwa ya raia yanavyobadilika. Mabadiliko haya ya kidigitali ya serikali ni matumizi endelevu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 21 kwenye Utawala Bora na Demokrasia Afrika

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim inayoangazia masuala ya Utawala na Demokrasia kwa Nchi za Afrika (IIAG), imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 21 kati ya Nchi 54 zilizofanya Vizuri kwenye Utawala Bora mwaka 2022. Hata hivyo, Tanzania haijafanya vizuri kwenye kipengele cha Ushiriki, Haki na...
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Digitali Inaongeza Uwazi wa Serikali

    Uwazi wa serikali ni dhana kwamba watu wana haki ya kujua serikali yao inafanya nini na serikali ina wajibu wa kutoa taarifa kwa umma. Hata hivyo, kuna njia nyingi za kutafsiri uwazi wa serikali na siku hizi unaweza kupatikana kwa urahisi kupitia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na mitandao ya...
  12. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijawahi kupata Kiongozi kwa tafsiri halisia ya Kiongozi

    Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki. Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea. Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
  14. sammosses

    JamiiForums Tanzania Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa jina la Utawala Bora na Kuwajibishana, hawa Mawaziri kuwa NEC ya CCM ni makosa na aibu

    1. Dotto Biketo (MNEC) 2. Januari Makamba (MNEC) 3. Mwigulu Nchemba (MNEC) 4. Nape Nauye (MNEC) 5. Angelina Mabula (MNEC) 6. Ashatu Kijaji (MNEC) 7. Angela Kairuki(MNEC) 8. Hussein Bashe(MNEC) 9. Innocent Bashungwa (MNEC)
  16. mwengeso

    JamiiForums Tanzania Haya masuala nayahusisha na ukosefu wa Utawala Bora

    Hivi karibuni, na hadi sasa, kuna mijadala ya kisiasa ambayo kimsingi chimbuko lake ni utawala bora. Baadhi ya mijadala ni pamoja na: [emoji830]︎ Madai ya Katiba mpya; [emoji830]︎ Utawala wa sheria; [emoji830]︎ Tozo; [emoji830]︎ Wasiojulikana; [emoji830]︎ Mashtaka ya kisiasa; [emoji830]︎...
  17. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Serikali Ina Jukumu la Kuwekeza kwa Kiwango Stahiki Katika Elimu na Vipaji vya Wananchi Wake

    Miongoni mwa mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele zaidi na serikali ni uwekezaji katika elimu na vipaji vya wananchi wake. Hii ina maana kwamba afya, elimu na lishe ni muhimu katika kukuza uchumi wenye nguvu, ushindani na unaostawi. Hivyo basi, serikali inapaswa kuwekeza katika miundombinu ya...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Chunya, Mbeya: Mtendaji wa kijiji adakwa kwa tuhuma za mauaji

    Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mtendaji wa Kijiji cha Sangambi Wilaya ya Chunya Joseph Nangale (45) kwa tuhuma za mauaji ya Aron Mbuba (18). Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio hilo lilitokea Septemba 17 mwaka huu baada ya marehemu kupigwa...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Fumanizi la Wapenzi lasababisha kifo

    Polisi mkoani Morogoro inamshikilia Salipina Thomas (21) mkazi wa kijiji cha Kiroka kwa tuhuma za mauaji ya Rashid Maharangande (20) aliyefumaniwa akiwa ndani ya chumba cha mwanamke huyo, huku anayedaiwa kuwafumania akitoweka kusikojulikana. Akizungumza mjini Morogoro leo Jumamosi Septemba 17...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Wahalifu wakae chonjo, huu ni wakati mbaya kwao

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ametoa onyo kwa wahalifu wote kwani wakati huu ni wakati mbaya sana kwao. Wambura ameyasea hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo ljumaa Septemba 16, 2022 kwenye kikao cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
Back
Top Bottom