utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Edgar Lungu Ameonesha Njia, Tuige Kulinda Amani

    Na Nkuruma wa Karne ya 21. Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana ndani ya Chama chao kama wanavyotaka. Mambo haya yamekuwa yakilelewa na jamii yenyewe kupitia...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuchochea maendeleo?

    Maendeleo ni chachu ya kila mtanzania hapa nchini ikiwemo maendeleo kwenye nyanja mbalimbali za kiuchumi, biashara, utawala Bora, uwajibikaji, afya, haki za binaadamu, demokrasia na kadhalika. UCHUMI NA BIASHARA TANZANIA. Ni wazi kua uchumi wetu Tanzania ni uchumi wa kati kwa mujibu wa takwimu...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania UVCCM: Viongozi CHADEMA hawajui tofauti ya Uhuru wa Mahakama, Utawala Bora na Uongozi wa Kiimla

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mtwara, Nasibu Kanduru amesema kuwa matamshi ya Tundu Lissu akiwa nje ya Nchi yanaonyesha wazi Viongozi wa CHADEMA hawajui kutofautisha kati ya Uhuru wa Mahakama, Utawala Bora na Uongozi wa Kiimla. Kanduru amesema: "TunduALissa anaonyesha fika anajua Mashitaka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Utawala Bora na Haki za Binadamu

    Utawala bora na haki za binadamu ni mambo yanayokwenda kwa pamoja. Hii ni kutokana na ukweli kamba ukiukwaji wa misingi ya utawala bora unasababisha uvunjaji wa haki za binadamu; na uzingatiaji wa misingi ya utawala bora unasaidia ulinzi na hifadhi ya haki za binadamu. Jedwali lifuatalo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nyenzo ya Uwazi katika Ujenzi wa Utawala Bora

    Uwazi unajengwa kwa upatikanaji wa taarifa bila vikwazo Taarifa zinatakiwa kutolewa kwa Wananchi kuhusu kile ambacho Serikali inafanya. Upatikanaji wa taarifa husaidia usimamizi wake Uwazi wa Maamuzi ya Kiserikali na Michakato yake husaidia katika kuwajengea Wananchi Uzalendo wa Taifa lao
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ongeza ukali watakuheshimu

    Dhana ya Utawala bora lazima iambatane na mipaka kwa wakosoaji wa Serikali katika kulifikia lengo lililo jema siku zote. Ni muda Sasa tangu atutoke mwendazake kumekuwa na jitihada za kufifisha maendeleo ya nchi kwa makusudi makubwa Sana kwa baadhi ya wanasiasa. Taifa hili linahitaji busara...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
  8. FARAJI ABUUU

    JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kuandaa watu watakaosimamia misingi ya Utawala Bora

    Ukiangalia katika jamii zetu hata kwa baadhi ya wanaharakati wa mambo mbalimbali wanapotaka kufanya jambo ambalo wanaona lina tija kwao au kwa jamii zao wanataka wafanikiwe kwa muda mfupi bila kupima uzito wa jambo lenyewe na namna nzuri ya kulielekea jambo hilo. Kawaida unapotaka kurekebisha...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania fuateni misingi ya utawala bora

    Misingi ya utawala bora kwa miaka kadhaa imekuwa ni adimu kupatikana miongoni mwa viongozi wengi, ambapo kwa kiasi kikumbwa imekuwa ikizorotesha maendeleo ya kiuchumi na kudhoofisha demokrasia nchini. Misingi ya utawala bora katika jamhuri ya Muungano inajumuisha, uadilifu, demokrasia, utawala...
  10. Festo Muyenjwa

    JamiiForums Tanzania Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza inatakiwa kuwa na utawala bora na siasa safi

    UCHUMI NA BIASHARA: Kwakweli serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza inatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa, ukusanyaji wa kodi ,elimu Bora, afya nk 1. Uchumi: Suala la uchumi inatakiwa iangaliwe kwa jicho la karibu na elimu itolewe kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utawala bora, uwajibikaji kwa Tanzania tunayoitaka

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea duniani na iliyojaliwa rasilimali nyingi ambazo kama zikisimamiwa na kutumiwa vizuri zitakuza uchumi na kuleta maisha bora kwa wananchi. Ili ziweze kusimamiwa na kutumiwa vizuri na ili uchumi uweze kukua na kuleta maisha bora kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa utawala bora katika nchi za Afrika

    Niende moja kwa Moja kuelezea utawala Bora Ni Ni kitu gani. Utawala Bora Ni ile Hali ya serikali,shirika au taasisi kuongoza Kwa kufuata misingi ya Haki,uwazi na uwajibikaji . Katika nchi nyingi za jangwa la Sahara,utawala Bora imekuwa Ni kitu adimu Sana kwani nchi takribani zote zinaongoza...
  13. melony

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uhusiano wa Uchumi na Utawala Bora

    Kabla ya kuelezea uhusiano uliopo Kati ya uchumi na utawala bora, ni vema kuanza kueleza dhana ya uchumi na utawala bora. Uchumi, ni usimamizi wa rasilimali, uzalishaji bidhaa, usambazaji wa bidhaa na utoaji wa huduma kwa jamii ili kuwa na maisha bora kwa jamii na watu kwa ujumla. Uchumi...
  14. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Misingi ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Ili kuendana na dunia ya sasa inayopiga hatua katika ukuaji wa sayansi na teknolojia, suala la uwajibikaji wa viongozi wetu na wale waliopewa mamlaka kuhakikisha wanatawala kwa kufuata misingi ya haki na usawa ni katika mambo ya msingi sana na muhimu katika jamii yetu. Sawasawa wawe viongozi wa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Utawala Bora na Uwajibikaji

    Habari wakuu! Katika Nchi zilizoendelea na zinazoendelea suala la utawala bora na uwajibikaji ni kipaumbele cha kwanza ambacho kinawezesha nchi kuleta matokeo chanya mfano kwa hapa Tanzania suala la utawala bora na uwajibikaji bado halina nafasi kubwa hivyo hupelekea baadhi ya maeneo ya...
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Katiba bora, Utawala wa Sheria, Utawala bora, Uchumi imara

    Huwezi kujenga uchumi bila utawala bora na huwezi kuwa na utawala bora bila utawala wa sheria, na huwezi kuwa na utawala wa sheria kama hauheshimu haki za binadamu na uhuru wa mahakama! Na huwezi kupata hivyo bila katiba bora. Hii ya sasa sio bora tunataka mpya!
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ushirikishwaji wa wananchi ni Msingi wa Utawala bora

    Ushirikiahwaji ni moja ya misingi ya Utawala bora hii ina maana kuwahusisha wananchi wa jinsia zote na makundi yote katika kupanga na kufanya maamuzi ya mambo yanayowahusu. Ushirikishwaji unaweza kuwa wa moja kwa moja au kupitia wawakilishi waliochaguliwa na wananchi. Mfano kuimarisha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ushiriki wa Wananchi kwenye kujenga utawala bora

    Ushiriki wa kila mtu, wanaume na wanawake katika maamuzi inapelekea Serikali kufanya kazi kwa matakwa ya wengi. Husaidia kujenga uhuru wa kuzungumza pamoja na ushiriki katika ujenzi wa Taifa. Wananchi wanatakiwa kushirikishwa katika maamuzi ya Serikali na kupewa taarifa za mwendelezo wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Changamoto za Utawala bora kwenye Nchi zinazoendelea

    Kuchelewa kwa maamuzi ya Kimahakama Kuharamishwa kwa shughuli za Kisiasa Kutokuwa na Ushirikiano kati ya Asasi za Kiraia na Serikali
  20. J

    JamiiForums Tanzania Uwazi ni Kanuni muhimu ya Utawala bora

    Wananchi kuhusishwa katika maamuzi ya Kiserikali husaidia kuwajengea uwezo wa kuchukua jukumu katika uundaji wa Sera nzuri na utekelezaji kwa maendeleo ya nchi.
Back
Top Bottom