utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    SoC02 Uchumi na Utawala Bora Tanzania

     MADA; UCHUMI NA UTAWALA BORA  TANZANIA.  UTANGULIZI nchi yeyote ile Ili ikue kiuchumi inahitaji serikali iliyo bora na imara, Kwa maana ya kwamba serikali ambayo misingi ya democrasia na haki za raia. Serikali ambayo itasimamia rasilimali za taifa lake Kwa umakini mkubwa, kuziendeleza na...
  2. Regani H masuki

    SoC02 Umuhimu wa kuwa na Dira ya Taifa ya Maendeleo na kuzingatia utawala bora

    UMUHIMU WA KUWA NA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NA KUZINGATIA UTAWALA BORA Dira ya taifa ya maendeleo ni kielelezo ambacho jamii au taifa linaongozwa kufanikisha matakwa au matumaini ya kuwa na maisha bora zaidi katika muda uliokusudiwa na matakwa hayo sharti yaeleweke na kukubaliwa na jamii au...
  3. N

    SoC02 Uwajibikaji na Utawala Bora

    Awali ya yote itakuwa mujarabu nikianza kuelezea kwa kifupi maana ya maneno uwajibikaji na utawala bora. Aidha maneno hayo ni kama chanda na pete. Ni kwa nadra sana unaweza kuyatenganisha. Uwajibikaji ni neno ambalo lipo katika mawanda mapana hususan katika maisha ya mwanaadam. Neno hilo...
  4. R

    SoC02 Tunawezaje kupata utawala bora

    TUNAWEZAJE KUPATA UTAWALA BORA? Hakuna namna eneo lolote linaweza kujiendesha lenyewe bila uwepo wa utawala kuanzia ngazi za chini za kitongoji mpaka za kitaifa.Uwepo wa utawala ni wa muhimu sana ili kuhakikisha kuwa shughuli zote zinazofanyika katika eneo husika zinaenda sawa chini ya...
  5. ABDalali

    SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    “Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu” ni kauli maarufu sana katika hizi juma chache zilizopita miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania. Kauli hii inatumiwa sana na Mtanzania, Bwana Joramu Nkumbi aliyejizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa matumizi ya lugha...
  6. C

    SoC02 Utawala Bora katika kujenga nchi na kuchochea uzalendo bora

    UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo. Mambo...
  7. K

    SoC02 Utawala Bora katika Taifa

    Utawala ni Hali inayoakisi sifa nyingi zilizopo kwenye Matabaka Makuu Mawili ambayo yanaunganishwa na Tabaka liitwalo Mifumo/Mfumo. Sifa kama Utii,Uzalendo,Ukarimu,Ubunifu,Kujitoa,Misimamo Madhubuti,Utu,Kujituma,Ushirikiano na kadhalika. Hizo ni baadhi tu za Sifa zilizopo kwenye Tabaka la...
  8. K

    SoC02 Kumbukumbu zangu

    Umuhimu wa chakula uonekana palipo na njaa vivyo hivyo umuhimu wa amani huonekana pasipo na amani, giza lilitanda upande wa kazkazini mwa Tanzania maskani pa majirani zetu wa nchi ya kidemokrasia ya Congo, Giza hilo liloletwa na kundi la waasi wa kundi la M27. Kama ilivyo desturi ya ujirani...
  9. Mr Excel

    SoC02 Kigoda cha Uzalendo na Utawala Bora

    Mchezo wa kuhamisha Kigoda kumpatia mwenzako ni rahisi sana wengi wetu tuliucheza utotoni na tuliibuka washindi wa kukaa muda mrefu na kigoda bila ya kutetereka au kukosea na hii ilitupa ujasiri na kukuza ushupavu mbele ya watoto wenzetu. Je, Kigoda Cha uzalendo kwa mtu na mtu hivi sasa upo...
  10. R

    Ushiriki wa wananchi nguzo muhimu kwenye kuleta maendeleo

    Ushiriki wa wananchi katika mambo mbalimbali ya kijamii ni muhimu sana katika kuleta maendeleo kwenye jamii husika. Serikali ikiachiwa ifanye kila kitu wenyewe bila kushirikisha wananchi kwa umoja wao ama kwa makundi ni vigumu kufikia malengo yaliyowekwa, na kwa kufanya hivyo itakuwa ni sawa na...
  11. M

    SoC02 Kitendawili cha utawala bora kwa watawala na viongozi wetu

    Neno “Utawala”pekee linaweza kutumika katika fasihi kadhaa, mfano utawala katika ngazi za taasisi (corporate governance), utawala wa kimataifa,(international governance),utawala wa kitaifa, (national governance) lakini pia utawala wa mitaa (local governance). Utawala bora ni matumizi ya uwezo...
  12. S

    SoC02 Utawala bora

    Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi. utawala bora no utawala unaozingatia misingi ya haki, taratibu na kanuni kwa mujibu wa sheria ambazo nchi...
  13. The Sheriff

    Ushiriki Huru wa Wananchi Katika Shughuli za Kisiasa Ndiyo Msingi Thabiti wa Utawala Bora

    Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia. Lengo kuu la...
  14. S

    SoC02 Ushirikishwaji wa Wananchi katika utekelezaji wa maamuzi ni nguzo ya Utawala Bora

    UTAWALA BORA huusisha ushirikishwaji wa wananchi wote walioko ndani ya jamii au nchi kiujumla juu ya utekelezaji wa maamuzi pendekezwa na viongozi Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi ndani ya jamii na taifa kwa ujumla kwa kuzingatia haki na usawa wa kila mwananchi aliye ndani ya jamii husika...
  15. J

    SoC02 Utawala Bora ni Uzalendo sio matokeo ya Siasa wala Diplomasia

    Utawala bora tunaweza kusema ni namna ambavyo waliopewa dhamana wanaendendesha taasisi na shughuli za umma katika kusimamia rasilimali za umma, haki za binadamu kwa kuzinagatia sheria ambazo kama nchi imejiwekea likini siasa nikimnukuu moja kati ya platinum member wa jamii forum akimjibu swali...
  16. Ms drya

    SoC02 Misingi ya Utawala Bora ni ipi? Tufanye nini ili tuwe na Utawala Bora?

    Habari zenu Wana JAMII FORUMS, Hususa ni jukwaa la "STORIES OF CHANGE" Nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Andiko hili litaangazia katika ngazi za utawala Hususa katika misingi ya utawala bora ni ipi?hali imekua tofauti kwa kipindi Hiki misingi ya...
  17. Lady Whistledown

    Je, umeshawahi kutoa rushwa kwakuwa hakuna uwajibishwaji wa watoa na wapokea Rushwa?

    Rushwa, iwe ya kiwango kidogo au kikubwa, inakatiza na kuzuia utawala wa sheria kutekelezwa ipasavyo. Ni kikwazo kikubwa katika utawala bora kwani huathiri sekta ya umma na binafsi na kusababisha watu kushindwa kufikia maendeleo stahiki na huduma bora za kijamii. Vitendo vya Rushwa vina athari...
  18. Lidafo

    SoC02 Fumbo na jawabu la Utawala Bora

    Kwanza kabisa nipende kumshukuru mungu kwa nafasi hii, Natumai sote tuwazima. Wenye maradhi na shida mbalimbali mungu awaongoze na awasaidie. UTANGULIZI . Nini maana ya utawala ? Utawala ni Hali ya kuwa na mamlaka na haki ya kuongoza. Dhana hii ya utawala ndio itakae tupeleka katika...
  19. OffOnline

    Safari ya matumaini na Rais Samia juu ya haki za Binadamu na utawala bora

    Pitia hili japisho kwa utulivu kisha niambie kwa umri wako ni Rais yupi amefanya hata nusu ya haya,
  20. OLS

    Kwanini Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora haijawahi kulaani mauaji ya raia?

    Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini ikiwemo mauaji ya Akwilina, na raia kadhaa kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi. Hata hivyo imeonesha...
Back
Top Bottom