utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika Taifa lolote kuendelea, Viongozi msilambe asali mkajisahau

    Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Hapa ndipo tunapopata aina mbili za utawala yaani Utawala Bora na Bora Utawala. Hii Bora Utawala ni aina ya utawala isiyofuata misingi ya Sheria na ikishamiri sana kwenye taifa lolote basi huenda...
  2. J

    Athari za kutokuwa na Utawala Bora

    Nini Maana ya Utawala Bora? Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi kijamii au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji wa watu, ufanisi, tija, uadilifu usawa na...
  3. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa OR-Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

    kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama, Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT, dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
  4. F

    Kwako Jenister Mhagama, Waziri wa Utumishi wa umma na Utawala Bora

    Kwanza naomba kukupongeza kwa kuendelea kuaminiwa kwako kutumikia serikakli yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia awamu ya nne hadi leo awamu ya sita hongera sana.Naomba kuzungumza na wewe leo wakati huu unapoenda kushika madaraka ya wizara mpya lakini kwa kweli nikili wazi kuwa kwako...
  5. Mr Q

    Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja. Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa...
  6. Mkandarasi Mkuu

    Haki ya Utawala bora, Viongozi kukaa madarakani kwa muda mrefu, madaraka ya Urais, mfumo wa uteuzi wa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi

    Chachu na kasi kubwa ya maendeleo huendana na mfumo thabiti wa kuitawala katika serikali. Mfumo bora wa kiutawala huleta msisimko kwa watendaji, watumishi na wananchi kujitoa kwa dhati kuleta maendeleo katika taifa letu. Kwa mtazamo wangu, watanzania tumekuwa na mtazamo kuwa miaka mitano katika...
  7. S

    Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

    Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa. Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
  8. I

    Tanzania kinara wa Demokrasia na Utawala Bora

    Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora. Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa...
  9. M

    SoC01 Mashauri kumi (10) juu ya Utawala Bora Tanzania

    MASHAURI KUMI (10) JUU YA UTAWALA BORA TANZANIA Nawasalimu kwa Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwangu mimi uzalendo sio kuvaa bendera, bali ni kufanya mambo anuai kwa ajili ya maendeleo ya taifa na wananchi wake kwa ujumla. Kutokana na chembechembe za Uzalendo zilizonikaa moyoni...
  10. JOYOPAPASI

    OR-Utumishi na Utawala Bora inavyotekeleza kwa vitendo ilani ya CCM na kurejesha tabasamu kwa watumishi umma/wananchi 2021

    OFISI YA RAIS UTUMISHI na UTAWALA BORA INAVYOTEKELEZA KWA VITENDO ILANI YA CCM NA KUREJESHA TABASAMU KWA WATUMISHI UMMA/WANANCHI 2021 . (HEKO Mhe. Waziri Mchengerwa) Na KASSIM MPINGI Rufiji-Pwani. Kwa muda mrefu kilio Cha watumishi wa umma kilikuwa ni kupanda madaraja, Kulipwa Malimbukizo ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    Umahiri wa Rais Samia Suluhu ni kielelezo cha kuimarika kwa utawala bora nchini Tanzania

    UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria. DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
  12. H

    SoC01 Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika kukuza Uchumi na Uwekezaji

    UTAWALA BORA NI KICHOCHEO MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI NA KUVUTIA UWEKEZAJI Utangulizi. Nianze Makala haya Kwa kutoa tafsiri/maana ya utawala Bora ambao naumaanisha katika makala yangu hii ya Leo . Utawala Bora ni uendeshaji wa Serikali au taasisi unaofuata misingi ya...
  13. H

    SoC01 Umuhimu wa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathmini matokeo katika kujenga Uwajibikaji na Utawala Bora (Result-based monitoring and evaluation system)

    Mataifa mengi duniani yamekumbwa na msukumo wa nje na hata wa ndani wa kuleta mabadiriko katika uongozi wa uma. Na madai ya kuataka mabadiriko yanatoka katika vyanzo mbalimbali ikihusisha Wananchi , Asasi za kiraia , vyombo vya habari na vyama vya upinzani.M ara nyingi madai yao yamejikita...
  14. T

    SoC01 Haki za Binadamu na Utawala Bora

    HAKI ZA BINAADAMU. Haki za binaadamu zinajumuisha mahitaji yote ya muhimu/stahiki za kila binaadamu pamoja na sheria maalumu za kumlinda na kumpa muongozo binaadamu yeyote katika utekelezaji wa maamuzi kulingana na mazingira au utaratibu wa maisha. Baada ya kuona umuhimu wa kila binaadamu ipo...
  15. etton1999

    SoC01 Uhuru wa fikra kufikia Utawala Bora

    “Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” - Sigmund Freud ”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” - Sigmund Freud Wakati tunaendelea na...
  16. etton1999

    SoC01 Maisha si leo tu, Utawala Bora unaanzia nyumbani

    “Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” Sigmund Freud ”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” Sigmund Freud Wakati tunaendelea na...
  17. beth

    Watumishi 4,380 walioondolewa kimakosa warejeshwa kazini

    Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amesema Watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti vya Elimu na Watumishi hewa wamerejeshwa kazini. Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Mikumi, Dennis Lazaro Londo aliyeuliza...
  18. mulwanaka

    Taliban huenda ikawa na utawala bora kuliko wa zamani

    Jana wana Mgambo wa Kitalabani waliitisha kikao chao cha kwanza na waandishi wa habari wa kimataifa kueleza jinsi watakavo uongoza serikali yao. katika vitu muhumu walivyo sema ni: 1. Utawaala wao uta heshimu haki za wanawake na watakua huru kuendana na sharia za Dini yao 2. Uhuru wa Vyombo...
  19. N

    SoC01 Edgar Lungu Ameonesha Njia, Tuige Kulinda Amani

    Na Nkuruma wa Karne ya 21. Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana ndani ya Chama chao kama wanavyotaka. Mambo haya yamekuwa yakilelewa na jamii yenyewe kupitia...
  20. H

    SoC01 Nini kifanyike kuchochea maendeleo?

    Maendeleo ni chachu ya kila mtanzania hapa nchini ikiwemo maendeleo kwenye nyanja mbalimbali za kiuchumi, biashara, utawala Bora, uwajibikaji, afya, haki za binaadamu, demokrasia na kadhalika. UCHUMI NA BIASHARA TANZANIA. Ni wazi kua uchumi wetu Tanzania ni uchumi wa kati kwa mujibu wa takwimu...
Back
Top Bottom