utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Ajira Tume Huru ya Uchaguzi ni kweli au utapeli?

    Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama inakuwa na utaratibu ambao sio wa kawaida kwani kuna sehemu inasema share to your contacts...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hizi wi-fi routers ni utapeli tu kama mwingine, yani mtu una download file la gb 3 spidi kama ya konokono

    Yani wabongo tunachezeshwa pass tu za ulaghai, ukienda hapa unapigwa ukirudi unapigwa tena huku wanakutekenya usihisi machungu ya kufinywa Ooh sijui unlimited data, sijui 5G, 4G, kumbe fix tu wanajua kukula kwa namna yao. Pure evil bastards.
  3. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kuuziwa Msamaha (Indulgence) Katika Historia ya Kanisa: Asili, Matumizi, na Mapinduzi

    Kuuziwa Msamaha (Indulgence) Katika Historia ya Kanisa: Asili, Matumizi, na Mapinduzi Katika historia ya Ukristo, jambo lililozua mabishano makubwa na kuchochea mageuzi ya kidini ni biashara ya indulgence — kuuziwa msamaha wa dhambi. Kitendo hiki kilibadilisha mwenendo wa Kanisa la Magharibi na...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .

    Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Miaka 33 ya utapeli wa kisiasa

    Mrema- agent Cheyo-agent Lipumba-agent Slaa-agent Mbowe-agent Safari-agent Baregu-agent Zitto-agent Bulaya-agent Mdee-agent Seif-agent Kafulila-agent Katambi-agent Mashiji-agent Yeriko-agent Malisa-agent List ni ndefu Sasa naona Lissu kakataa masharti ya kutapeli wananchi kaenda kufanya iwe...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania UTAPELI WA MIZIGO UMEANZA ABOOD SERV ??VIONGOZI FWATILIEN HILI N AIBU SANA

    HABAARINI WAPENDWA WA ABOOD BUS SEEVICE KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO MZIGO UMETOKEA MOROGORO UNAKUJA DAR AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania TCRA Yatakiwa Kuchukua Hatua Madhubuti Kudhibiti Utapeli wa Kielektroniki Kupitia Ujumbe wa Simu

    Ni Jumapili juzi nikiwa zangu mitaa ya Arusha natoka zangu kumshukuru Mungu basi nikaona ni vyema nijiandae kutoka out kidogo nikatafuta sehemu kuna wakala wa huduma za kifedha. Nikauliza kama naweza kutoa pesa na alinikubalia kuwa nitoe huku akinipa na namba ya kutolea. Dakika kama tano...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

    Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani. Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu. Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Naona nimepigwa na Seller wa AliExpress

    Kwa mara ya kwanza niliamua na mimi niagize kupitia AliExpress, juzi tarehe 2 nililipia kiatu cha mtoto cha elf 40 na ni free shipping, nikawa nafuatilia process mpaka ikaishia kuwa iko Airport. Leo asubuhi nacheki ile Order yenyewe haipo na ile Tracking Number haifanyi kazi huku AliExpress ila...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia, Trump anashindana na utapeli ambao utapelekea nchi yake kudondoka siku zijazo ila watu wasio weledi katika current affairs wanakurupuka tu

    Kama ni tarrifs nchi yake imewekwa kitimoto muda mrefu na hata wale aliowekeana makubaliano sasa hivi wana lean kwa adui zake huku wakiendelea kumuumiza kikodi. Jeshi la Marekani liligeuka uwanja wa kuruhusu mashoga kuongoza nafasi nyeti. Vyuo vya marekani viligeuka chombo cha iran kutuma pesa...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Chionda: Giniazi la historia anayeamini dini ni utapeli

    https://youtu.be/UIimWL8wEs8?si=tSuKOhQd5nvwbyc5 Nimemsikiliza dakika zote. Huyu msela ameshiba historia kwa kiwango cha kushangaza sana. Kama huwa unajiuliza giniaz ni mtu wa namna gani,basi jifunze hapa. Huu ni mfano halisi wa giniazi. Anaeleza historia kama vile alikuwepo. Hata kama ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naamini watu kama godlove na huyu mdada aliepata kesi ya utapeli ni watu wa waina ya "project maalum" inayoandaliwa na watu kwa ajili ya kazi maalum

    Yani over sudden unashangaa mara pap mtu amekuwa MAARUFU. alipotokea hatujui, alipopitia hatujui, ila mnakuwa overwhelmed na umaarufu wake unaokuwa engineered labda na urembo wake, pesa zake, scandal, etc Watu hawa wanachukuliwa kwa ajili ya kutimiza matakwa fulani mfano kuzubaisha watu dhidi...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa Mungu kuwachukulia hatua za kinidhamu wanaotumia jina lake kufanya utapeli na uovu

    Kuna ulazima wa Mungu kuwachukulia hatua za kinidhamu wanafanya uovu mwingi kupitia jina tukufu la Mungu. Hii sio sawa. Hawa watu wamekuwa na mambo mengi ya kitapeli kwa kujifanya wana uwezo mkubwa kiroho. Maskini wengi hasa wanawake wamekuwa wahanga wa huu ushetani wao unaotumia jina la Mungu...
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Thread ya machimbo ya wachina nguo vyombo viatu kariakoo Kwa wote manayoyajua machimbo weka hapa hii inaitwa fuluza winga na utapeli kariakoo

    Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Bibi ahukumiwa miaka 99 jela kwa makosa ya utapeli

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kifungo cha miaka 99 jela Salma Mntambo baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka 17 ikiwemo kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. _ Miaka hiyo 99 inatokana na makosa 14 ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ambapo kwa kila kosa amehukumiwa...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa mchongo akamatwa Kanisa Katoliki Arusha, ni baada ya kutapeli zaidi ya laki 6

    Wakuu, Jamaa huyu aliyetambulika kwa jina la Yusufu amedakwa huko Arusha baada ya kutambulika kuwa ni tapeli katika kanisa katoliki Kijenge, Arusha. Wananchi wanasema alikuja na akapewa nafasi hapo kanisani lakini kumbe alikuwa mtumishi wa mchongo. Huyu mtumishi amekuwa akitoa elimu ya athari...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumeongezeka trend ya Watanzania kukamatika kirahisi katika utapeli na watu maarufu?

    Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara. Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa? Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
  19. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjua tapeli kabla hajakupiga: Dalili za mawinga walafi

    Wadau wa Jamiiforums, poleni na mihangaiko ya kutafuta tonge! Kama hujawahi kupigwa kwenye biashara, basi ama wewe ni mjuzi wa hali ya juu, ama bado hujaingia kwa kina kwenye soko la Bongo! Wale ndugu zetu wa Kariakoo, Sinza, Tegeta na hata wale wa mikoani wanajua, "biashara ni akili" lakini...
  20. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Songoro Marine wawekwa hadharani

    Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo ambacho kinatajwa ni cha uhujumu uchumi. Kampuni hiyo inayomilikiwa na Major Songoro ni miongoni mwa...
Back
Top Bottom