Makampuni ya magari yamekuja na utapeli mpya wa features subscription!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,733
Reaction score
97,596
Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription.

Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka (subscription) kama ilivyo kwenye Netflix, usipolipia iyo feature hauwezi itumia.

Baadhi ya features ambazo zimepamba moto kwenye subscription ni heated seats, acceleration boost, navigation systems, ADAS features (lane assist, adaptive cruise control), nk.
IMG_6082.jpeg

Hii kitu ilianza kimasihara na BMW (5 series) mwaka 2018/19 wakatoa heated seats subscription ambayo ilikua inataka ulipie kama $18 hivi kwa mwezi ili iendelee kufanya kazi. Tunaongelea elfu 50 kila mwezi, kama msimu wa baridi ni miezi sita inamaanisha Tsh 300k kwa mwaka.
IMG_6080.jpeg

Toyota Crown ya 2023 nayo ikaleta subscription feature ya Remote Start kupitia App, ambayo unalipia $8 kwa mwezi ili iendelee kufanya kazi.

Mercedes Benz EQS ya 2022 ikaleta Acceleration Boost (inakuongezea horsepower 60 hivi) ambayo unalipia $1,200 kwa mwaka. Million tatu plus.

Elon Musk nae kuanzia 2021 kwenye Model 3 (na Tesla zingine) ili gari iwe na Full Self Driving (FSD) ujiandae kwa $99 kwa mwezi. Usipolipa inabaki autopilot ya kawaida jla self driving hamna.
IMG_6079.jpeg

Hata Nissan Serena e-Power kuanzia 2022 ikaleta ProPILOT Assist Advanced kwa $20 kwa mwezi. Hii feature ambayo ilikua free kwenye Nissan Leaf na nyingine sasa unalipia. Usipolipa unabakiwa na basic cruise control tu, advanced lane keep na auto overtaking zinapotea.

Kidogo Mchina NIO ana feature moja ya subscription inayo make sense, BaaS (Battery as a Service) ambayo unalipia $150-200 kutegemea ukubwa wa battery. Yenyewe unavyonunua gari una option ya kuswap battery kwenye stations zao. Usipolipia, unabaki na same battery iyo iyo.
IMG_6081.jpeg

Yaani me naona kabisa hii ni style nyingine ya haya nakampuni kuendelea kumnyonya mtumiaji. Ata makampuni ya simu sidhani kama yanafanya hivi. Yaani hardware ipo lakini isifanye kazi lazima activation. Ni kama umenunua iPhone yenye kamera tatu, lakini moja haifanyi kazi mpaka ulipe subscription.
IMG_6084.jpeg

Kila mtu anaipokea kivyake. Wengi tutasema huu ni ujambazi mchana kweupe ila wengine wanasema inasaidia kushusha gharama za kununua gari ila kuongeza izo features unazohitaji utalipia.

Sisi wazee wa used 10+ years leo tutaona kama haituhusu, ila kufika 2030 unakuta haya magari yametufikia. Sasa ndio tutaufufua huu uzi.
 
Endapo utaratibu huu unasaidia kupunguza gharama za malipo ya mkupuo ya thamani ya gari yenye hizo features mimo naunga mkono. Tena ili ieleweke kirahisi, watengenezaji wangeweka option ; ukitaka monthly payments bei yake, na ukitaka kulipia lifetime use bei yake
 
Tesla nadhani FSD ina option ya kununua kama package. Sikumbuki bei ila nadhani ipo.
 
Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription.

Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka (subscription) kama ilivyo kwenye Netflix, usipolipia iyo feature hauwezi itumia.

Baadhi ya features ambazo zimepamba moto kwenye subscription ni heated seats, acceleration boost, navigation systems, ADAS features (lane assist, adaptive cruise control), nk.View attachment 3472066

Hii kitu ilianza kimasihara na BMW (5 series) mwaka 2018/19 wakatoa heated seats subscription ambayo ilikua inataka ulipie kama $18 hivi kwa mwezi ili iendelee kufanya kazi. Tunaongelea elfu 50 kila mwezi, kama msimu wa baridi ni miezi sita inamaanisha Tsh 300k kwa mwaka.
View attachment 3472064
Toyota Crown ya 2023 nayo ikaleta subscription feature ya Remote Start kupitia App, ambayo unalipia $8 kwa mwezi ili iendelee kufanya kazi.

Mercedes Benz EQS ya 2022 ikaleta Acceleration Boost (inakuongezea horsepower 60 hivi) ambayo unalipia $1,200 kwa mwaka. Million tatu plus.

Elon Musk nae kuanzia 2021 kwenye Model 3 (na Tesla zingine) ili gari iwe na Full Self Driving (FSD) ujiandae kwa $99 kwa mwezi. Usipolipa inabaki autopilot ya kawaida jla self driving hamna.View attachment 3472063

Hata Nissan Serena e-Power kuanzia 2022 ikaleta ProPILOT Assist Advanced kwa $20 kwa mwezi. Hii feature ambayo ilikua free kwenye Nissan Leaf na nyingine sasa unalipia. Usipolipa unabakiwa na basic cruise control tu, advanced lane keep na auto overtaking zinapotea.

Kidogo Mchina NIO ana feature moja ya subscription inayo make sense, BaaS (Battery as a Service) ambayo unalipia $150-200 kutegemea ukubwa wa battery. Yenyewe unavyonunua gari una option ya kuswap battery kwenye stations zao. Usipolipia, unabaki na same battery iyo iyo.
View attachment 3472065
Yaani me naona kabisa hii ni style nyingine ya haya nakampuni kuendelea kumnyonya mtumiaji. Ata makampuni ya simu sidhani kama yanafanya hivi. Yaani hardware ipo lakini isifanye kazi lazima activation. Ni kama umenunua iPhone yenye kamera tatu, lakini moja haifanyi kazi mpaka ulipe subscription.
View attachment 3472067
Kila mtu anaipokea kivyake. Wengi tutasema huu ni ujambazi mchana kweupe ila wengine wanasema inasaidia kushusha gharama za kununua gari ila kuongeza izo features unazohitaji utalipia.

Sisi wazee wa used 10+ years leo tutaona kama haituhusu, ila kufika 2030 unakuta haya magari yametufikia. Sasa ndio tutaufufua huu uzi.
Kwanini unaita ni utapeli, kwanini pia hizo features upewe bure? Features nyingi pia ni ziada si za lazima.
 
There's no problem kama itasaidia kushusha gharama za magari. Kumbuka sio kila mtu anataka hizo features so anayetaka atazilipia, asiyetaka anafaidika kununua gari kwa bei rahisi
 
You're programmed to be consumer, yaani tuwatumikie wajanja wachache
 
"Ni kama umenunua iPhone yenye kamera tatu, lakini moja haifanyi kazi mpaka ulipe subscription."

Mkuu, tafadhali, chonde chonde, usiwape ideas sasa, maana wataanza apple, then wengine wataiga
 
Hizo features zina continuous management i.e. (overheads kwa mtoa huduma) ? : sababu kama ni ndio na zinahitaji input fulani kutoka kwao who is going to cover for the cost ?

After all kama ni extra na wala sio jambo la maana katika ufanyaji kazi wa gari lenyewe sioni tatizo; In this competitive world you need to be clever how to get continuous income, mpaka pale mwingine atakapotoa same features for free hakuna option zaidi ya kulipia...
 
Hardware washaweka kwenye gari baaaasi(in joti voice).
Hizo seat heat si huwa tunabypass then tunatengenezea switch yake inayojitegemea,au tunabadili switch ya kitu ambacho huna matumizi nacho sana tunaunga humo.
Maana ukiibypass kama ilivyo bila kuitengenezea njia yake ecu inablock activation

We are Swahili nation
 
Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription.

Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka (subscription) kama ilivyo kwenye Netflix, usipolipia iyo feature hauwezi itumia.

Baadhi ya features ambazo zimepamba moto kwenye subscription ni heated seats, acceleration boost, navigation systems, ADAS features (lane assist, adaptive cruise control), nk.View attachment 3472066

Hii kitu ilianza kimasihara na BMW (5 series) mwaka 2018/19 wakatoa heated seats subscription ambayo ilikua inataka ulipie kama $18 hivi kwa mwezi ili iendelee kufanya kazi. Tunaongelea elfu 50 kila mwezi, kama msimu wa baridi ni miezi sita inamaanisha Tsh 300k kwa mwaka.
View attachment 3472064
Toyota Crown ya 2023 nayo ikaleta subscription feature ya Remote Start kupitia App, ambayo unalipia $8 kwa mwezi ili iendelee kufanya kazi.

Mercedes Benz EQS ya 2022 ikaleta Acceleration Boost (inakuongezea horsepower 60 hivi) ambayo unalipia $1,200 kwa mwaka. Million tatu plus.

Elon Musk nae kuanzia 2021 kwenye Model 3 (na Tesla zingine) ili gari iwe na Full Self Driving (FSD) ujiandae kwa $99 kwa mwezi. Usipolipa inabaki autopilot ya kawaida jla self driving hamna.View attachment 3472063

Hata Nissan Serena e-Power kuanzia 2022 ikaleta ProPILOT Assist Advanced kwa $20 kwa mwezi. Hii feature ambayo ilikua free kwenye Nissan Leaf na nyingine sasa unalipia. Usipolipa unabakiwa na basic cruise control tu, advanced lane keep na auto overtaking zinapotea.

Kidogo Mchina NIO ana feature moja ya subscription inayo make sense, BaaS (Battery as a Service) ambayo unalipia $150-200 kutegemea ukubwa wa battery. Yenyewe unavyonunua gari una option ya kuswap battery kwenye stations zao. Usipolipia, unabaki na same battery iyo iyo.
View attachment 3472065
Yaani me naona kabisa hii ni style nyingine ya haya nakampuni kuendelea kumnyonya mtumiaji. Ata makampuni ya simu sidhani kama yanafanya hivi. Yaani hardware ipo lakini isifanye kazi lazima activation. Ni kama umenunua iPhone yenye kamera tatu, lakini moja haifanyi kazi mpaka ulipe subscription.
View attachment 3472067
Kila mtu anaipokea kivyake. Wengi tutasema huu ni ujambazi mchana kweupe ila wengine wanasema inasaidia kushusha gharama za kununua gari ila kuongeza izo features unazohitaji utalipia.

Sisi wazee wa used 10+ years leo tutaona kama haituhusu, ila kufika 2030 unakuta haya magari yametufikia. Sasa ndio tutaufufua huu uzi.
Waarabu, warusi, wairan, wachina na North Korea wametengeneza magari mazuri sana. Hizo features unatumia bure
Mimi ninayo gari imetengenezwa Iran, ni nzuri na hizo features natumia bure kabisa
 
Back
Top Bottom