utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Wasafi TV atoa Utabiri wa Mwaka 2024

    Nabii Clear Exaud Malisa ambao urusha matangazo ya kanisa lake kupitia Televisheni na Radio ya Wasafi, amekuja na utabiri wa mwaka huu 2024. Clear Malisa amesema mwaka huu 2024 umegubikwa na matukio makubwa sana ambayo ameorodhesha kama ifuatavyo. 1. Natural Disasters (Majanga ya kiasili)...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Utabiri kwa miaka hii miwili 2024 na 2025

    Kwanza nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufikia siku hii ya mwisho ya mwaka 2023. Kutokana na maisha yetu wanadamu kuwa na vipindi tofauti tofauti, nimeona niwaletee utabiri mfupi juu ya mwaka mpya inayokuja ya 2024 na 2025. Mwaka 2024 Huu mwaka unaonesha utakuwa na utulivu...
  3. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Wachungaji, Mitume na Manabii wote pita Huku: Ahadi za utabiri wenu haujatimia.

    Habarini ndugu katika jukwaa, Hongereni kwa uvumilivu kuelekea kuumaliza mwaka na tumshukuru Allah kwa kuturehem sisi. Hawa wenzetu manabii na mitume plus wachungaji katika majukum yao hututabiria baraka kem kem ilihali wao wenyewe hawajua chochote kuhusu kesho, utasikia huu kwaka ni wako...
  4. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Sugu atavunja record kwa kupata kura ambazo hakuna mgombea mwingine aliwahi kupata

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge. Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Cartoon ya The Simpsons na utabiri wa 2024

    Tunatoka mwaka 2023, tunaingia mwaka 2024. Huu ni mwaka ambao hao watawala wa dunia hii wanakwenda kufanya mambo makubwa sana, wanasema haijawahi kutokea. Kutakuwa na matukio makubwa ya vifo, hasa kwa viongozi wakubwa, kutakuwa na mambo mengi mabaya kuliko miaka mingine. Nilikuwa naangalia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Yanga Sc kuishia na alama 5 tu katika makundi ya CAF Champions league

    Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
  7. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC 📆 20.12.2023 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 4:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Yanga!! #DaimaMbeleNyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Medeama Kinachoanza. Dakika ya 33' Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome. Yanga 1 -...
  8. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

    Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo. Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
  9. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
  10. Rhz4567

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba Sc na Young Africans hawana uwezo wa kufuzu Robo fainali Club bingwa Africa msimu huu

    Simba Sc na Young Africans hawana uwezo wa kufuzu Robo fainali Club Bingwa Africa Msimu huu. Wajipange msimu ujao waje kivingine
  11. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Hali ya Hewa: TMA ipewe maua yake

    Sipendi sana kutumia huo msemo, ila kwakuwa ndio uko kwenye chati, wacha niutumie kuwapongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini kwa kutoa utabiri wenye viwango. Wote ni mashuhuda wa utabiri wa mvua za mafuriko kutoka TMA japo wako watu waliobeza ila muda umethibitisha. Waliochukua tahadhari...
  12. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

    Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo. Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu. Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka...
  13. Street brain

    JamiiForums Tanzania Utabiri: CAFCL up to final

    Habari wana jf,,,, natumai mko pw kwa waliobahatika kuona ule utabiri wangu wa group stage ambayo imetoka leo,, Niliitabiri wiki moja before jinsi makundi yatakavyokuwa na ndivyo hivyo yametokaeo hiiiii.. Natabiri from group stage up to final yaani nani atapita makundi na nan ataingia robo na...
  14. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

    Naona ibaki hivi hivi: 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐀: • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • CR Belouizdad 🇩🇿 • Al Hilal 🇸🇩 • Medeama 🇬🇭 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐁: • Wydad AC 🇲🇦 • Simba SC 🇹🇿 • ASEC Mimosas 🇨🇮 • Jwaneng Galaxy 🇧🇼 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐂: • Al Ahly 🇪🇬 • Petro de Luanda 🇦🇴 • Yanga SC 🇹🇿 • FC Nouadhibou 🇲🇷 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐃: • ES Tunis 🇹🇳 • Pyramids...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ndiye yule ajaye

    Wapendwa wana JF, ni matumaini yangu mko vizuri. Nimeota mara kadhaa kwamba Wakili Msomi Mwabukusi atakuja kuwa kiongozi mkubwa kabisa katika nchi yetu. Atakuwa ni Rais mpole na mnyenyekevu kuliko wote waliomtangulia. Lakini wakati huo huo, atakuwa ni Rais mkali zaidi kuwahi kutokea...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  17. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako Bayern Munich Vs Man Utd, Allianz Arena leo

    leo kuna mtanange kabambe wa UCL pale Allianz Arena ni Bayern Munich Vs Man Utd. Utabiri wako upoje?
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan. Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
  19. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Kila kitu kuhusu Kesi ya mkataba wa Bandari (DP World na Tanzania) kati ya Mawakili wanne dhidi ya Serikali

    Ni siku kadhaa sasa tangu Kesi ya kubatilisha mkataba wa Bandari ipelekwa mahakamani ,na Tarehe 7/8 tulitegemea kusikia maamuzi ya mahakama juu ya .mkataba huo(Judgment) kwa bahati mbaya Judgment imesogezwa mbele. Siko hapa kutabiri judgment jamani bali natamani ni wajuze vitu vichache kuhusu...
  20. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Utabiri 1977: Waalimu wa UPE wanaenda kutengeneza Taifa la wajinga na sasa miaka 50 imepita. Je sisi tuna akili au sisi ni wajinga?

    Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE? Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni...
Back
Top Bottom