Nabii wa Wasafi TV atoa Utabiri wa Mwaka 2024

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Nabii Clear Exaud Malisa ambao urusha matangazo ya kanisa lake kupitia Televisheni na Radio ya Wasafi, amekuja na utabiri wa mwaka huu 2024.

Clear Malisa amesema mwaka huu 2024 umegubikwa na matukio makubwa sana ambayo ameorodhesha kama ifuatavyo.

1. Natural Disasters (Majanga ya kiasili). MUNGU mwenyewe ameruhusu yatokee.
2. Mabadiliko ya hali ya hewa makubwa sana. Wakati wa kiangazi ambao hakuna mvua, mvua itatokea
3. Kwa mara ya kwanza kwa mwaka huu Alama ya mpinga kristo inaenda kuwa wazi duniani, mwanzoni mlikuwa mnaambiwa tu ila sasa inaenda kuwa wazi. Na alama hii itafosiwa kwenye mataifa, vitu vingine uwa havifosiwi lakini hii itafosiwa. Nabii malisa akamuuliza mungu tutajuaje kama ni yenyewe, akasema mtaona ishara na ishara mtaona meli kubwa ikiungua, na meli hii kubwa ikishaungua na alama itakuwa Introduced.

Amehitimisha kwa kusema ukiona alama imekuwa introduced basi Yesu yu karibu kurudi kuchukua kanisa lake.

Lakini pia aliongeza na kusema Tarehe 31/12/2023 alitabiri kutakuwepo tetemeko kubwa la ardhi nchini Japani, na unabii ukatimia ndani ya masaa 12 tetemeko likatokea japani.

Tunzeni hii Video, tutarudi hapa Tarehe 31/12/2024 kujua mbivu na mbichi.

View: https://www.instagram.com/reel/C1yv3G6tPzD/?igsh=MXA3MnVvc2M4ZXUxNQ==
 
Mchungaji anaejitambua anarushaje matangazo yake wasafi tv?

Dah, kazi kweli kweli.

Kuna yule alisema katabiri mafuriko ya hanang kufuatilia kumbe alifoji.
 
Mwambie huyo Nabii akufundishe kuandika kwa ufasaha kwanza,

Neno kama urusha liandike hurusha.
Na wewe mwambie mwalimu wako wa Kiswahili akufudishe kuwa we dont give a f*ck about your f*cking language and grammar on social media, mind your business MTF.

Mnajifanya nguli wa kiswahili mitandaoni wakati mitihani yenu ina F ya somo la kiswahili. Mbona umeshindwa kuongoza taifa kwenye mitihani ya kiswahili.

Unataka kujifanya ujaelewa namaanisha nini kwenye hiyo sentensi, wewe umeona grammatical error tu
 
akufundishe
hujaelewa

Mbona povu kijana? hupendi kusahihishwa? au unapenda kuendelea kufuga ujinga kwenye hilo fuvu?
ndio maana uzi wako umesusiwa,nishukuru mimi angalau najazia jazia hapa.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hakuna jipya hapo, natural disasters zimekuwepo tangu mwanzo wa dunia, mabadiliko ya hali ya hewa ni jambo linalozungumzwa na wanasayansi na viongozi wote wa dunia,
Utapeli mtupu.
 
akufundishe
hujaelewa

Mbona povu kijana? hupendi kusahihishwa? au unapenda kuendelea kufuga ujinga kwenye hilo fuvu?
ndio maana uzi wako umesusiwa,nishukuru mimi angalau najazia jazia hapa.
Nakupa Povu ufulie nguo angalau upate muda wa kuwa busy ku-mind issue zako.

Kama kutojua kuandika kiswahili fasaha ni ujinga bora niendelee kuwa mjinga... Wewe mwerevu mwenye kujua kiswahili fasaha, umefika wapi. Au kutwa kushinda humu JamiiForum. Mwenye akili aangaiki kutafuta kasoro kwenye vitu vya kijinga, au wewe Mwalimu wa kiswahili. Kama wewe Mwalimu wa kiswahili sema mapema tukutafutie kazi BAKITA au TUKI.

Mimi sijali kuhusu kususiwa Uzi, nina content nyingi sana zenye engagement kubwa hapa JamiiForum... Labda wewe ndio unaogopa au unajali mambo ya kususiwa. Tafuta kazi, kuposti JamiiForum na kupata engagement sio achievement kijana au mashindano
 
Rubbish.
 
Hakuna jipya hapo, natural disasters zimekuwepo tangu mwanzo wa dunia, mabadiliko ya hali ya hewa ni jambo linalozungumzwa na wanasayansi na viongozi wote wa dunia,
Utapeli mtupu.
Swali sio hazikuwepo au zimekuwepo kwa muda gani.

Hapo swali ni zinatokea kipindi gani na ni za aina gani, ndio maana halisi ya utabiri.
 
Na wewe mwambie mwalimu wako wa Kiswahili akufudishe kuwa we dont give a f*ck about your f*cking language and grammar on social media, mind your business MTF.

Mnajifanya nguli wa kiswahili mitandaoni wakati mitihani yenu ina F ya somo la kiswahili. Mbona umeshindwa kuongoza taifa kwenye mitihani ya kiswahili.

Unataka kujifanya ujaelewa namaanisha nini kwenye hiyo sentensi, wewe umeona grammatical error tu
Wewe mpumbavu sana acha matusi
Jifunze kuandika kiswahili.
ujaelewa andika hujaelewa.
 
Namwamini Mungu tu. Na mchungaji anayetambulika kamilifu niyule aliyesomea na kufanyia mazoezi halafu ni yule aliyepakwa mafuta nakuonwa kafaa na amekabidhibiwa vitu vya kiuchungaji au upadri hao ndio watanishika kichwa kuniombea ,jingine anaambiwa na mafreemanson chakusema maana wanaweza kujua yajao yakuharibu dunia na wao ndio wanapanga uharibifu huo na mnaendelea kumuamini. Ogopeni watu kama wao ni wabaya wanakuharibu na kukuchukulia maisha tu yako mengine nope
 
Back
Top Bottom