Leo nawapa siri ya vijana kupenda mashangazi ,mashangazi yameshaingia menopause hakuna mambo ya kukwepa mdinyano kisa upo period mashangazi mda wote unadinya ule ubabaifu wa kuwekewa tomato kwenye pedi haupo.
Kero yangu ipo kwenye mfumo wa chuo Cha elimu ya biashara (CBE) Upande wa account za wanafunzi toka mwezi wa 12 mpaka sasa mwezi wa pili mfumo unasumbua wahitimu tunashindwa kufanya maombi ya vyeti na tuliomba ukifika chuo unaambiwa mtandao unasumbua hovyo tunapata tabu tupo nyumba ya soko la...
Anonymous
Thread
cbe
chuo
chuo cha cbe
mfumo
mkubwa
usumbufu
uzembe
uzembe mkubwa
wake
walimu
watendaji
Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi.
Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa:
Trafiki: RTOC
Parking:
Parking
Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi.
Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana.
Mtu anapaki gari katikati ya Barabara bila kujali watu wengine wanapata taabu kiasi gani.
Kama huyu...
Wakuu hii app ya CRDB ni pasua kichwa. Inaweza kukuaibisha muda wowote.
1. Ukitoa hela kwa cardless hautumiwi msg
2. Ukihamishia hela kwenye simu inashindikana
3. Ukituma hela bank nyingine ni kizungumkuti.
CRDB mmefail sana kwenye hii app
Yani tangu Tigo iwe yasi kuna mambo mengi ya kukera lakini kubwa zaidi ni changamoto ya kutuma pesa kutoka Tigo kwenda mitandao mingine has ikifika usiku.
Imagine unatuma pesa, kisha wanakwambia usubiri masaa 72 ndio utapata majibu kama pesa itarudi au itafika kwa mhusika.
So kujiepusha na...
Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa.
Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
Japo naheshimu usalama wa viongozi kuwa kipaumbe ilinwahakikishiwe usalama maana wanapatikana Kwa gharama na Kuna ugumu kuwapata wengine
Leo nipo Mwanza Kuna foleni na usumbufu mkubwa barabara ya Buswelu kupitia Saba Saba,
Magari yamesimama masaa 3
Sijui Kuna kiongozi gani yupo Mwanza? Askari...
Kuna principle inasema to every rule there is always an exception, hata kwenye kundi linalosifika kuwa wasumbufu wapo waliotulia mpaka utashangaa na katika wale wanaojulikana wametulia wapo ambao ni wasumbufu pasua kichwa, kwahio haimaanishi ni wote.
kwanini wanawake wa makabila haya wanaongoza...
Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha.
Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
Heshima sana wanajamvi,
Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana.
Makonda alianza na harakati za vipimo (Matibabu) katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Zoezi hili lilileta faraja hasa...
Wakuu,
Kusema watumishi wa umma wafanyie kazi nyumbani huku sekta nyingine zinafanya kazi kama kawaida ndio mmepunguza nini?
Kwanza tunajua serikali hainaga utaratibu wa ku-work from home. Hiyo ni holiday ya moja kwa moja. Akifunga vitu ijumaa atakuja kuendelea jtatu pale alipoishia.
Lengo la...
Wakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
Hapa Mtaani kwetu Magomeni Jitini katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda wa wiki tatu sasa.
Kuna Barabara imechimbwa, hakuna ujenzi unaoendelea mpaka sasa, hali inayofanya madereva kutumia njia moja hali inayosababisha kero ya...
Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja...
Kenya imeanzisha mpango wa kutumia sumu kuua Kunguru Milioni moja katika Miji ya Watamu na Malindi, ili kuzuia wasisambae Jijini Nairobi
Kunguru wamekuwa wakishambulia Wanyamapori, kuvamia maeneo ya Watalii, na kuvamia na kushambulia kuku katika Mashamba yao
Inaaminika Kunguru waliletwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.