usingizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nikifanya jambo la msingi nasikia usingizi, nikishika simu unapotea, kwanini?

    Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka huu pekee nimewadunga mimba wanawake watatu, sipati usingizi

    Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kukosa usingizi wa kutosha hupelekea kupungua kwa Nguvu za Kiume

    KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume. Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba na tisa. Hata hivyo, watu wengi huwa hawazingatii muda huo kutokana na aina ya kazi wanazofanya au...
  4. raxx

    JamiiForums Tanzania Nini kiliendelea baada ya Adam kupewa usingizi mzito Eden?

    Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Mungu kutaka kumuumba Mwanamke Adam alimpa usingizi mzito na jambo moja alilofanya ni kuchomoa mbavu moja kwa Adamu kwa ajili ya material ya kumuumba Mwanamke. Je, ni hilo tu ndilo lililofanyika Adam akiwa usingizini? Pengine hichi ndicho kipindi Mungu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ndo vitoto vinavyonyima usingizi wanaume wa Dar

    Yaani hawa watoto wanawafanya nyie wanaume wa Dar msilale.....
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtoto chini ya miaka 10 kumkatisha usingizi kisa masomo uchwara; Saa 11 Alfajiri?

    Kwema Wakuu! Shida zako zisikufanye uwe Mpumbavu kiasi hicho mpaka umtese mtoto wako WA kumzaa mwenyewe. Yeye anamakosa gani gani umtese hivyo. Yaani matatizo yako ya maisha unavyodhani yalisababishwa na wewe kutokusoma ndio unahamishia hasira na Mateso yote Kwa mtoto, huo ni upumbavu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

    Habari wadau wa JF. Kwa miaka takriban minne sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula. Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Afya: Je, Unapata Usingizi wa kutosha?

    Mara nyingi watu hupunguza muda wa kulala kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kazi, majukumu na kifamilia au hata kuangalia kipindi kizuri Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) mtu anaweza kupata madhara kiafya ikiwa kukosa usingizi wa kutosha ni sehemu ya maisha yake ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

    Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu! Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa yanga kwenye hili la timu ya wanawake mmelala usingizi wa pono amkeni mnatuaibisha

    Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa tu kiholela na simba kila wanapokutana karibia msimu wa 4 sasa akuna mbinu mbadala ya kujinasua na...
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania Simbachawene hizi rushwa za polisi zinatuumiza sisi wapenda usingizi, baa zisizo na vibali zashamili Tegeta, Boko, Bunju

    Wana Jf Nawatoe wasiwasi wapenda raha , lakini kila mtu ana raha yake kutokana na mazingira inayoishia. Wapo wanaooenda kukesha kama popo na milupo pembeni, lakini wapo pia baada ya kupata tatu na nne bariidi wanapenda wakapunzike na mama chanja. Kumekuwepo na utitiri wa baa zisizo na vibari...
  12. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli bado anawanyima usingizi wapinzani wa Tanzania

    Historia imeandikwa na hakuna anaeweza ifuta kwamba John Pombe Magufuli ni rais bora kabisa kuwahi kutokea Afrika. Dunia nzima na Watanzania wote wanajua namna alivyoipenda nchi yake na namna alivyowapigania Watanzania haswa wale wa hali ya chini. Hii ni kitu hakuna anaeweza kuja kuifuta hata...
  13. kimsboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi mkutanoni Glasgow

    Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow Nov 03, 2021 10:48 UTC Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden na kutwanga usingizi mfupi wakati wa vikao vya Mkutano wa Hali ya Hewa unaofanyika Glasgow huko...
  14. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya kuondoa usingizini

    SALAAM WAKUU. Mimi nimeajiriwa Kampuni X ambayo nafanya kazi kwa masaa nane saa 2-10 Jioni. Ila Kwa Neema ya Mungu nimepata kazi ya Online Kampuni Fulani kwa mkataba wa miezi Minne hivyo hii kampuni ya Online nafanya kazi kuanzia saa 5-12 asubuhi. Hivyo kutokana na Majukumu haya muda wangu wa...
  15. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Bila kulewa huwa sipati usingizi kabisa

    Hello JF, Naombeni ushauri wa nini cha kufanya. Mimi kwa kifupi bila kunywa pombe huwa sipati usingizi,mimi sio mlevi yule wa kulewa mpaka kubebwa, na pombe zangu kubwa ni Heineken, Windhoek na Serengeti Lite but for sure huwa siwezi kupata usingizi bila kupata bia. Mfano, usiku wa kuamkia...
  16. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Kongole Usingizi wa Magufuli Terminal mnajitahidi kwa usafi

    Licha ya kwamba stand hii haijakamilika vzuri mnajitahidi sana katika suala la usafi...Hii pia imechagizwa na kuwaondoa wale wamachinga ambao walishaanza kujenga vibanda ndani ya stand hii ya kimataifa. Usafi unaridhisha kuanzia vyooni hadi mazingira ya nje. Kuna dustbin kila mahala na abiria...
  17. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii inanitesa sana na kuninyima usingizi

    Hii ndoto nimeota usiku wa kuamkia leo ilikua hivi. Nilikua maeneo ya uwanja wa mpira, kulikua na watu wengi sana. gafla angani likaonekana wingu ambalo juu yake kuna mlima, watu walikua wakilishanga tu, katika ule mlima walishuka watu wa wawili wenye mavazi meupe (kanzu) mmoja alisimama kulia...
  18. BAK

    JamiiForums Tanzania CCM yaiagiza Serikali kununua mahindi tani 100,000

    By Mtanzania Digital | September 8, 2021 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua tani 100,000 za mahindi katika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya awali kukunua tani 24,000 sababu ni kutokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la machinga: Sasa Serikali imeanza kuamka toka usingizi wa ganzi

    Toka Serikali ya Awamu ya Tano ilipoanza kuwatukuza "wanyonge" kundi ambalo wamachinga wakaingizwa, ganzi iliingiwa kisawaswa katika vyombo karibia vyote vya dola. Rsis wa wakati huo alirudia rudia kuwa yeye yupo pale kwa ajili ya wanyonge, hivyo wasibugudhiwe mijini. Matokeo ya miaka mitano...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu njia zitakazokupa usingizi au kulala vyema

    Nini hasa manufaa ya kulala au usingizi mzuri? Huimarisha na kuboresha ukuaji wa mwili. Hujenga na kuimarisha kinga mwili. Hukuweka katika hali nzuri (mood). Hukuongezea kumbukumbu. Hurefusha maisha. Huboresha tendo la ndoa. Huondoa msongo wa mawazo. Haya ni baadhi tu ya manufaa ya kulala...
Back
Top Bottom