Bila kulewa huwa sipati usingizi kabisa

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,813
15,077
Hello JF,

Naombeni ushauri wa nini cha kufanya.

Mimi kwa kifupi bila kunywa pombe huwa sipati usingizi,mimi sio mlevi yule wa kulewa mpaka kubebwa, na pombe zangu kubwa ni Heineken, Windhoek na Serengeti Lite but for sure huwa siwezi kupata usingizi bila kupata bia.

Mfano, usiku wa kuamkia leo nilijiambia nijaribu kulala bila kuonja bia, but surprisingly usingizi umekata since saa 7 usiku.
What should I do ,coz nataka kuachana na unywaji wa pombe?
 
Acha pombe ndugu hapo unadumisha hilo tatizo,subiri waje wataalum wakuelezee ila kunavitu viwili naomba nikushauri navyo ni unapokosa au kabla ya kulala jisomee kitabu penda kusoma na kutafakari usingizi utaanza kukujia na ukijizoesha mwili utazoea Kisha fanya na mazoezi sio lazima yawe ya muda mwingi hata kidogo tu ila yenye impact kubwa.
 
Fanya mazoezi kabla ya kuingia kulala mazoezi mazuri ni ya kutoa jasho. Pia ushughulishe mwili usiwe umekaa tu kutwa nzima. Na usitumie vinywaji kama energy na kahawa.
 
Acha Kupata Tabu Kiongozi Kama Una Connection Dodoma
Nunu Dry Wine Litres 5 Tshs 40000/= Weka Ndani
Tembea Na Glass Moja Unalala Safi Utasahau Yote
 
Jiwekee mazoea ya kurudi home kabla ya kupita bar/grocery,na hakikisha unakula chakula cha usiku,Mwenyewe utapata uvivu wa kuzinywa ukishakula
 
Back
Top Bottom