usingizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Nimedhulumiwa MilionI 10, siku ya Tano sasa sijapata Usingizi

    Niliungana na rafiki angu tukaunda timu na tukafanya project na kampuni ya wa Asia, project tuliifanya kwa muda wa miezi tisa. Na hapa kati hakukua na malipo ya ziada au ya kazi zaidi tu ya malipo ya vitu vinavyohitajika wakati wa Project hasa accomodations na transports tu. Huyu jamaa yangu ni...
  2. Twinawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka leo hajanitafuta, nakosa usingizi kabisa

    Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni. Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtu kukosa usingizi wa kutosha kunaweza kumfanya awe mpweke

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha #California, Berkeley ulibaini Mtu kukosa usingizi wa kutosha kunaweza kumfanya awe mpweke, kujitenga na wengine au kutamani kuwa pekee yake muda mwingi Watu wasiopata usingizi wa kutosha huwa hawavutii Watu wengine kijamii na hata Watu waliopumzika vizuri huhisi...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni yatangaza nafasi za kazi ya kulala mshahara milioni 3.2

    Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi. Kampuni ya Eachnight ilisema inawatafuta watu wa kujiunga na kikosi cha utafiti kama weledi wa kulala kubaini umuhimu wa usingizi na hasara yake. "Kwa sasa tunaajiri kikosi cha watu...
  5. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini suluhisho la kukosa usingizi kwa mama mjamzito?

    Naomba msaada wenu. Wife wangu amekuwa na tatizo la kutopata usingizi wakati wa usiku na mjqmzito wa miez 3. Hii hali imekuwa tete sasa. Kwa maana anaweza asilale hata wiki nzima wakati wa usiku lakin ikifika midaa ya 12. Hapo anapata usingiz mpka midaa ya saa 4. Sasa hofu yangu ni afya yake...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi kumsaidia mwanao kupata usingizi mwanana

    Fanya hivi kumsaidia mwanao kupata usingizi mwanana. Pale unapomuona mwanao amelala kamwe hutaacha kutafakari uzuri wake na kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake! Hata hivyo watoto wengi huwa na changamoto ya kulala au kupata usingizi. Punguza dukuduku na msongo wa mawazo kwa kuandaa vizuri ratiba...
Back
Top Bottom