Nakosa usingizi

Nakosa usingizi

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
5,551
Reaction score
11,692
Weekend yaendaje waungwana?

Mimi ni mtu ninayependa majira ya usiku (night owl). Mda huo nakuwa more active dunia imetulia

Hii kitu Imenifanya vibaya sana professional wise ila siiachi.. Napenda sana usiku, hasa majira ya kuanzia saa 7.

Nikichelewa kulala usiku huwa nalala mchana, ila kwa kipindi cha hivi karibuni mambo yameenda kombo!

Ilianza kidogo ila sasa imekuwa intense.

Usiku nachelewa kulala, mchana na yenyewe silali, mwili una choka kabisa, na macho yana kuwa yanauma ila hayafumbi kulala

Wataalamu nisaidieni, nini kimenipata?
 
Tumia pombe kama sehemu ya kupumzisha akili.Ukishapata msosi unagonga bia zako mbili au tatu.Unaenda kulala.

Ubongo wako unaitaji madini na yanapatikana kwenye bia.
Ila usifanye pombe kama ulevi.
 
karibu jamii forum usiku wa manane utajichatisha mwenyew mpka unapitiwa na usingizi au unaweza kukutana na popo wenzio mkaunda ka group kenu 😅

enweiii pole sana mdau ngoja wataalam waje utapata utatuzi
 
Mawazo mengi , ama una uraibu wa pombe, sigsra, ugoro , majani ama tabia za kunywa chai, kahawa usiku acha !
Ukiona bado jianzishie ratiba ya mazoezi kila jion, mwili automalically utachoka na unapata usingizi !!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom