fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,995
- 24,786
Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya inanipa nafasi ya muda mwingi kuwa free na kuassociate na watu wengi eneo la kazi na nyumbani pia. Tatizo limekuja sasa, kwa maamuzi yangu mwenyewe bila kushurutishwa nimeamua kusimama kunywa pombe, sasa kipya kilichotokea ni kwamba nakosa usingizi karibia usiku mzima. Yaani kama nikisinzia basi ni nusu saa au lisaa then nashtuka, hapo inaweza ikachukua mpaka masaa manne mpaka nane bila kusinzia tena.
Hii hali imepelekea kutumia muda mwingi kwenye social media kama JF au kuangalia movies especially series kama bundle la Internet limekata huo usiku. Usiombee uwe addicted na Internet alafu bundle likakuishia usiku wa manane alafu usingizi hauna😂😭. Imefikia hatua sasa naona kama maamuzi niliyochukua yanataka kuniletea madhara mengine ambayo sikuwahi kuyaexperience hapo before. Imefikia hatua nawaza sana mambo mengi usiku hata kubadirisha habit ya kula( Sikuwaga na tabia ya kula usiku wa manane siku za nyuma, ila kwasababu muda mwingi niko macho njaa inauma inabidi nipate chochote nilichokiacha jioni).
Sasa nauliza niendelee kukaza labda hapo mbele hali itabadirika ila ndio naingia mazima kwenye insomnia na madhara yake? Karibuni wakuu tushauriane.
Arushaone
min -me
Mbaga Jr
Dr Adam Francis
Dr Ahmed Albah-Shahwa
Seran
Na wengineo